Nikiona makalio makubwa yanatingishika napatwa na kizunguzungu, msaada tafadhali

Gogle

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
1,495
867
Habari zenu wana JF.

Wakuu nimekuwa na hili tatizo kwa zaidi ya miaka 10 sasa, limekuwa likijirudia mara kwa mara.

Yaani ni kwamba imekuwa kawaida nikiwa natembea njiani nikiona mdada mwenye makalio makuwa yanatingishika inabidi nikae chini kwanza au niegemee nguzo au ukuta, nisipofanya hivyo huwa naanguka kabisa kwa kizunguzungu.

Kama miezi nane iliyopita hili tatizo liliondoka kabisa ila ndani ya siku saba zilizopita limenitokea mara mbili.

Naomba msaada wenu
 
Hahahah daah asee, ugonjwa wa taifa huo, ukweli hata mm nikiona chura kubwa utumbo unavurugika, mafaili kichwani yanagongana
Kuna Rafiki yangu tulienda Kariakoo, akawa ananipa stori mara ikapita Chura ya kwenda..... Bwana yule akaanza kusema BASI ILIVYOKUA BASI ILIVYOKUA BASI ILIVYOKUA yaani kaganda hapo hapo tu stori haiendelei, nakuja kumstua ananiuliza Eheeeeeee...... nilikua nakuhadithia nini vileeeee
 
Hahahaaaah🤣🤣🤣🤣🤣
 
Dah! Ugonjwa kama wangu kabisa huo...
Juzi nilianguka kutoka juu ya mnara baada ya sanchoka kupita chini ya mnara mi nikiwa juu.

Napa nilipo nimefungwa p.o.p la shingo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom