Nimetuma IMEI yangu kwenda hiyo Code ya TCRA imeniletea aina kampuni ya simu yangu pamoja na model yake.nadhani itakuwa TCRA wanakuhakikishia hiyo IMEI wao wanaitambua kuwa ni simu ya kampuni gani na ni ya aina gani kama walichojibu kitakuwa sawa na aina ya simu uliyonayo utakuwa na simu Original
Sidhani kama ni makosa ya Wenger kutochukua makombe kwa muda wote huo, kumbuka tumejenga Emirates Stadium uwanja bora zaidi baada ya Wembley Stadium pale Uingereza huoni alijua nini yatakayokuja mbeleni kama FFP inayoiumiza ManCity sasa hivi wewe unafikiri Mapato yangekuwa kama haya tuliyonayo...
Spika alisema suala hilo alishalibariki na Kamati ya PAC ikamuagiza CAG aanze ukaguzi wa hiyo Akaunti,nadhani isinge wezekana tena kwa hao wawili kulisemea bungeni wakati huu wanasubiri Taarifa ya CAG BUNGENI
Tatizo anamfanya Brendan Rojas kama scout wake embu angalia issue ya Salah nasikia alikuwa aende Liverpool yeye tayari kapandia dau anamchukua wakati ule ilikuwa Willian jamaa mpaka asikie wenzie ndio anamfuatilia
Tatizo wao waingereza kwao kuifunga Spurs ni tukio muhimu sana si uliona hata Wilshere alivyokuwa anacheza ni kama Carl Walker wa Tottenham alivyokuwa anajituma kwenye mechi ya leo
Hapo umenena mkuu na tujue leo Tottenham wamepania kutufunga kweli baada ya kuwafunga kwenye Premier League huku wakiwa wametumia £108M kusajili wachezaji sasa hawatakuwa na kisingizio cha wachezaji walikuwa hawajazoeana kucheza kitimu najua watajituma kupita kiasi ili washinde mechi ya leo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.