Mourinho akili zake za ovyo sana,naamini kama Arsenal au Man City au hata Liver wangemtaka angewagoomea kuwauzia.SHAME...............
Mourinho akili zake za ovyo sana,naamini kama Arsenal au Man City au hata Liver wangemtaka angewagoomea kuwauzia.SHAME...............
Mourinho ana mapenzi na Manchester, huwa ana ndoto za kuja kuifundisha,.timu anayoongoza kuichukia Primier League ni Arsenal, ya pili Man City..kwa Mfano msimu huu Ba alikua anatakiwa kwa Mkopo lakini baada ya kuona Gunerz wamemsajili Ozil akabana badala yake kamtoa Lukaku Eveton,.kuna kipindi Arsenal ilimtaka Lasana Diara, akasema bora kumuuza Africa, Tunisia..angalia alivyoshangalia kinafiki alivyowafunga City..angalia akiwafunga Man u huwa hapigi kelele..
Asernal Agree deal of 37m for julian Draxler..julian fly today in london for personal talk with asernal wenger
souce:jamaa angu yupo london ndo habari ya mjini leo