Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Well, not that bad results. The only bad thing is Chelsea and City will win tomorrow and take the trophy challenge over from here. We got ourselves to blame for dropping the two points tonight.
 
2mepata point 1 na tunaingia mwezi wa 2 ambao ni mgumu sana kwetu but all kila la kher kwa Gunners.
COYG.
 
Ligi ya msimu huu ipo tight kila section. Title race, CL last 4 spot, Europa League spots na relegation/surving spots. Hadi mwezi wa tatu tutajua nani atawin kombe na yupi atashuka daraja. COYG!!!!!
 
Mbu atasingizia alikuwa anapiga box,leo golikipa wenu alikuwa Man of the match

yeah Golikipa kaokoa michomo mingi saana so katimiza majukumu yake kwa ufasaha.
BTW naona kule OT Jiwe walilolikataa waashi ndio limekuwa jiwe la msingi.
 
Thanks Gunners.

Hatukuwa na jinsi, point moja ni bora kuliko kuchoma mafuta mpaka Southampton na kurudi London na yellow or red card kama ilivyotokea kwa Flamini.

Timu yetu inapokosa viungo ambao ni wazuri katika diffensive and offensive game kama Ramsey, Wilshere and Rosicky huwa tunapwaya sana hasa kama timu pinzani watakuwa ni wazuri katika ball possession.

Huduma kwa Giroud zilikuwa zimekatika kwa sababu Arteta na Flamini hawawezi kucheza pamoja kwa vile football mentality yao ni moja ambayo ni defensive game wakati huo huo Ozil na Kazorla ni wazuri tu offensive game.

Tumeingia kipindi kigumu sana ambacho kinahitaji wachezaji wote wawe salama na hasa kulingana na idadi ya wachezaji tulionao.

I'm happy to take a point back to London.

Once a Gunner, Always a Gunner.
 
Poleni sana,nasikia Ramsey amemfuata Diaby wodini

Noma sana. Angetusaidia katikati maana hatuna Jack, Flamini na Rosicky sijui pua yake kama imeshapona. Anyway, tutawagonga magozigozi wk end. Naomba Spurs na West ham wafanye miujiza ya kumbadilisha panya tembo kesho.
 
Back
Top Bottom