Recent content by Godlisten Vance

  1. Godlisten Vance

    Uchumi wa China waporomoka

    yeah me nilishaanzisha page yangu kwa wano trade binary options na pia nina private group kwa ajili ya signals......Tupo wengi sana aisee Tanzania Binary Options Traders Crew
  2. Godlisten Vance

    Uchumi wa China waporomoka

    Hey Guys kumbe kuna watu wanatrade Binary options and Forex???? Thats is super Amazing. Me nimekua nikitrade Binary options for about a year now and I am doing great.....wazima jamani nilikua natafuta watu wanotrade binaries au forex tubadilishane mawazo I am super Happy......angalia matokeo...
  3. Godlisten Vance

    Sikushauri ufungue hapa.

    ahahahaahah dah af eti na me nifungua kabisaaaa
  4. Godlisten Vance

    Sio vibaya kujua hili baada ya tendo la ndoa

    Thank youuuu so much imetulia saaana hiyo.. dah mapenzi matamuu ila saaa dah hayo magonjwa sijui yametoka wapi nayo ah!!
  5. Godlisten Vance

    Utafanya nini UKIMFUMANIA mwenzi wako AKIKUSALITI?

    aha yaani hapo ni kama kawaida naachana naem, naendelea na maisha yangu kama kawaida. http://www.maishasimple.com/unataka-kuingia-kwenye-mahusiano-vitu-utakavyokosa-pindi-uingiapo-kwenye-mahusiano/
  6. Godlisten Vance

    Mom Fay nakuombea kila lililo jema Mke wangu kipenzi.

    Hayaaa naona watu wanapendanaaa mpaka raha.. afa me huwa nashangaa hivi haters huwa wanatokea wapi maana me sielewi yaani wakiwaona mko peace all day wanaaanza kuleta zao. Hivi wanatokeaga wapiii? Unataka Kuingia Kwenye Mahusiano? Vitu Utakavyokosa Pindi Uingiapo Kwenye Mahusiano. | Maisha Simple
  7. Godlisten Vance

    Kwani lazima kila mtu jina lake linanzie na HEAVEN/MISS?

    hahahaahahha nimeona Miss bilionea hapooo duhhh ila wanafeel happy eti kujiita hivyo si unajua ukijiita hivyo kidogo inakupa motisha ya kuishi kuliko kujita Magala Makubi weeeeee. Maisha Simple | Maisha Ni Rahisi.
  8. Godlisten Vance

    Consolatha alipotelea wapi jamani?

    mh me nahisi atakua amemurejea muumba mungu na labda maswala ya mitandoa ya kijamii ameachana nayo... Maisha Simple | Maisha Ni Rahisi.
  9. Godlisten Vance

    Tahadhari kutoka Utumishi kuhusu Utapeli wa Ajira na Mikopo

    Daah hao saiku hizi wapo wengiiii saaaana yaani. me kidogo nitume aisee ila nikafanya research saaana baada ya kuamnbiwa nitume helaa mwisho nikagundua sio kweli ni biashara ya mtu na me nsio nilikua mteja nanunua bidhaa ambayo siijui. Yaani inabidi ufanye reseach kubwa saaana ndio uwaamini...
  10. Godlisten Vance

    Jiunge na mfuko wa afya ya jamii!

    yeah hiyo ni sahihi kabisa. nimeupenda ushauri wako, me ningejiunga ila sa tayari nimeshaunganishwa sehemu nyingine. Maisha Simple | Maisha Ni Rahisi.
  11. Godlisten Vance

    Hivi Uingereza waliwezaje Kutawala Dunia?

    daaaha hawa jamaaa me mwenyewe huwa nawaaangalia tuuuu http://www.maishasimple.com/426/
Back
Top Bottom