Uchumi wa China waporomoka

Uchumi wa China waporomoka

pia nataka ku base na EU/USD ONLY!!... i know one jew boy he is very successful na ye ni mtaalamu wa EU/USD basi....! he doesnt trade anything else ... so anaijua hii pair kama amezaliwa nayo
So binary una trade na broker gani?
 
Binary umeweza vipi mkuu? Mi naona it is more gambling.. hata mimi nlikuwa napenda sana ku trade binary one day sema sasa brokers wake kila nikiwa search naona kama most ni scams

haha! yes most of brokers ni wababaishaji wapo ambao wana reputation nzuri....

tuna forum yetu watu binary word pamoja na strategies zote! Binary Options Edge - Trading Forums

ila mi nataka niachane nayo kwa sasa niingie kwa big boys Fx
 
Top Option – Hem , kwa web based nilishawahi ku withdraw pesa nikapata lakini hii kampuni imenunuliwa na jamaa wengine mwaka mpya ulipoingia sijui watakuwa wababaishaji au vipi

na kwa MT4 platform Online Forex Trading - Currencies, CFD & Spot Trading sijatoa pesa bado nasubirsubiri kwanza
Mimi kwenye binary option nilikuwa nawafuatilia NADEX ila nikakuta hawa recruit client kutoka Tanzania. Wapo credible sana.. ila so far plan zangu nikuanza kwenye FX maana kama ukiwa successful kwenye FX market ku swtch kwenda kwenye Binary inakuwa easy maana utakuwa una trade the same thing
 
Mimi kwenye binary option nilikuwa nawafuatilia NADEX ila nikakuta hawa recruit client kutoka Tanzania. Wapo credible sana.. ila so far plan zangu nikuanza kwenye FX maana kama ukiwa successful kwenye FX market ku swtch kwenda kwenye Binary inakuwa easy maana utakuwa una trade the same thing

Nadex wana offer only 5min time frame alafu sijui imekaaje!! lakini yeh ni reliable broker ...

eu today.JPG



MKUU LEO ASUBUHI MIDA YA NNE NILICHORA HIZO TREND LINES EU / USD KAMA KAWA ILIKUWA INASEPA KWENDA CHINI ... NILIKUWA BUSY BUT NILIFANIKIWA KUPATA TWO ENTRY FOR BINARY OPTIONS ILA LENGO LANGU ILIKUWA KUONA KAMA HIZI fibonacci FIBONACCI LINES KAMA ZITAKUWA RESPECTED ! SASA HIVI NI SAA MBILI USIKU FIBONACCI BADO AMEZISHIKILIA PEAR KULIKUWA NA FALSE BREAK KWENYE LINE ZERO HAPO NILIWEKA 5MIN CALL .. NILIKUWA BUSY TU BUT SIKU YA LEO INGEKUWA NZURI SANA! .. ILA NITASUBIRI KAMA IKIPANDA MPAKA KWENYE LINE 61.81 KWENYE BLUE I WILL GO SHORT 5MIN !!

NADHANI HII PAIR NISHAANZA KUI MASTER AU SIJUI NIMEBAHATISHA ! SIJAWAHI KUCHORA FIBONACCI NAIKAWA RESPECTED KWA MASAA YOTE HAYA ...

ANZISHA UZI NADHANI WADAU WATAKUWEPO WA KUCHANGIA...
 
pia nataka ku base na EU/USD ONLY!!... i know one jew boy he is very successful na ye ni mtaalamu wa EU/USD basi....! he doesnt trade anything else ... so anaijua hii pair kama amezaliwa nayo

Yeah. Experience ina matter sana hasa uki trade kwa muda mrefu.

Mi nataka bei ya crude oil ikifika chini kabisa ninunue ya kutosha ili yakianza kurecover basi iwe neema.

Angalizo. angalia reviews za hao brokers kabla hujafanya nao biashara, wengi wanakuwa scams.
 
mimi broker yoyote ambaye yupo allowed ku operate USA ii take my chances .... and ofcoz sinto invest more than 100$ and i will withdraw kila ikifika 500$ wakizingua ntawahama ....

nawaogopa sana Cyprus Brokers

Uki trade na 100 USD kuna hatihati ya kuwa under capitalized hasa ukimake loss.

Ongeza atleast uweke 300USD.
 
Aisee the answer is NO and YES nlidhani nimeshakuwa expert ila nimegundua kuwa successful kwenye hii business kuna mambo mengi sana nyuma, ila sio mbaya naendelea kufunika magap maana naogopa kuanza live bila kujiimarisha vya kutosha maana pesa yenyewe hii ya kulenga kwa manati nikiingia kichwa kichwa nita blow up account.

Trade kwa target man.

Na usitamani kufanya kila kitu manake utakuta una trade kila kitu na kupoteza focus.
 
Kitu kingine kilichofanya uchumi wa china uporomoke ni kupanda kwa dhamani ya dola.
 
uchumi wa china waporomoka taasisi za fedha ndani ya china na nje ya china zimesema uchumi wa china umeporomoka kw kasi kubwa sana
kutokana na kuporomoka kwa uchumi wa china watu maefu kwa maelfu wameanza kukosa ajira vile vile masoko ya hisa nchini humo yameporomoka sana
Ohh China atamwangusha U.S..ooh China kamfikia US in GDP,ooh U.S hamalizi 2013 atakuwa thrown! Upumbafu. Jamaa GDP yao inategemea ujenzi.
 
Hey Guys kumbe kuna watu wanatrade Binary options and Forex???? Thats is super Amazing. Me nimekua nikitrade Binary options for about a year now and I am doing great.....wazima jamani nilikua natafuta watu wanotrade binaries au forex tubadilishane mawazo I am super Happy......angalia matokeo yangu hapa if you like Tanzania Binary Options Traders Crew
 
nilikuwa kwenye ulimwengu wa binary options na hawa jamaa wa Online Forex Trading - Currencies, CFD & Spot Trading still nipo nao

ulimwengu wa forex mimi ni mgeni mwenyeji ... I`m trading Demo huku nikijifunza strategies tofauti tofauti ..

kumbe kuna wadau wa Fx humu! .. kama vipi anzisheni Uzi tujifunze ! najua kutakuwa na experts humu we will learn from them
yeah me nilishaanzisha page yangu kwa wano trade binary options na pia nina private group kwa ajili ya signals......Tupo wengi sana aisee Tanzania Binary Options Traders Crew
 
Back
Top Bottom