Consolatha alipotelea wapi jamani?

Consolatha alipotelea wapi jamani?

Status
Not open for further replies.
lara 1 njoo ujibu hoja ya LIKUD!

kumbe nina bifu ya PM na kubwa la maadui? hahahaaa!!

ngoja nim-pm tena nione kama ntapata kofiee!!

Btw, bado niko interested na mada....

So u have to know kuna michezo ya kijinga inafanyika hapa.
 
So u have to know kuna michezo ya kijinga inafanyika hapa.

Mkuu bado hujaimaliza kesi ya lara 1, tell us, are among laraz with lara ID, unless otherwise utuambie una uhusiano wa kiundani na huyu mmama, Do you share something through PM?
 
Last edited by a moderator:
Mmh ule uzi yaani b yake na mie yalinishuka. Acha nisutwe looh.
 
ni ndugu yetu huyu lazima tufahamu....... asante sana

hahahaa! mkuu huyu bhana usimhusishe sana na huu msala, hii taarifa imeshafuta lile duku duku lake la kupakaziwa kuwa ID ya consolatha ni yake, kumbe bhana ID hii ni ya kidume mtu mzima kabisa humu..

kwani unajua nini kuhusu huyu?
 
hizi ndio staili zakumtaka mtu....

mkuu kabanga, huyu MCHUNGUZI HURU alikuwa haishi kunifuata inbox na kunishushia lawama na tuhuma za usagaji kupitia hii Id ya Consolatha.
Nashukuru Mungu ukweli umejulikana
Na yule mwanamke mchambia steelwire mtu amquote ili aone na aaibike milele.
Namwambia hivi, kila mtu na maisha yake, alipoamkia yeye, nilikuwa nimelala mimi.
Kila mtu kaja mjini kwa michongo yake....sijali lolote, napumua kwa raha zangu, silipi VAT, sidaiwi kodi ya nyumba wala pesa ya umeme.
Sijui yeye kutwa kuhama majumba na mikoa kwa mabwana wa JF.....hahahaah, kwa mwanaume gani....pumbu mzigo, mboo kisado.....twamjua from Ukoko to Matandu.
anipishe mieeeeee........
Likimchoma.....akantangazeeeeeeee!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mjukuu mwenzangu Kongosho na kaka Excel....
bora hata mlivyowafumbua macho hawa watu wazima waliozaliwa wima labour.
 
Last edited by a moderator:
Madame B anatakiwa aombwe msamaha kwa hili.

Kongosho ukiona watu wanakujadili ujue wanakuogopa.
walianza Pm....wakaenda weee....walivyoona mhh mazito mmoja mmoja akaanza kunifata inbox kuniambia wanachonijadili.
Kama kweli wao walikuwa waongeaji wangeyaweka hadharani niyasikie.
Nathubutu kusema tena kuwa waliniogopa ndio maana walinijadili kimya kimya.....

Wengine tuna nyota za Waridi, kutwa twanukia.....sijui wao waliokuwa na nyota ya chipsi dume, kutwa kupendwa na wanafunzi.
 
Last edited by a moderator:
kwani Madame B amepotelea wapi wakuu? nauliza tu

Kama nakuona vile ndani ya boxer ulivyoloa kende.
Mwanaume kutwa kutaka kujua yangu...hebu tulia umlee mkeo uliyeozeshwa kwa ndoa ya mkeka.
Kiko wapi sasa!!!
Mfyuuuuuu!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Acheni umbea nyie mods wanajua walicho kifanya na nilisha ripoti hii ishu

Heheeeee.....watu walifuga mbwa kwa kutegemea kinyesi cha mlevi.
Mlevi kafa, mfugaji kaumbuka.
Na bado......
 
Tena na wengine nawastahi kwa kuwa mliniwahi inbox kwa kujishuku....lakini ingekuwa ni mwendo wa madongo kwa madongo mpaka mtu atapike nyongo.
Mmenifanya nikosane na kaka yangu wa hiyari, kwanini lakini.
Waja mna roho ngumu kama chuma cha pua.
!!!
Mwanifanya mwanijua sana kuliko mama yangu mzazi aliyeniweka tumboni miezi 9?
Au kuliko mpenzi wangu ambae kutwa namzungukia uchi chumbani?
Waja vibaya hivyo nawaambieni, najua mnaisoma kimya kimya hii movie.
Nami nasema, acha movie iendelee.....waja waaibike.
Mnanigeuza ndondocha mwana wa mwenzetu ili nikawalimie mashamba usiku?
Maana watu mliishupalia mtadhani mmetoka ubavuni kwangu.
Mishipa ya shingo iliwakakamaa mtadhani wacheza judo.
We mtu mzima mchamba wima, waite wenzio mje kuchungulia huku, maana nawe ulishakuja huku.
Wafadhilaka msiojua kushona viraka.
Mtakufa vinywa wazi nawaambia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom