Utafanya nini UKIMFUMANIA mwenzi wako AKIKUSALITI?

Utafanya nini UKIMFUMANIA mwenzi wako AKIKUSALITI?

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
918
Je, utampiga, utamshambulia anayechepuka naye, utamshtakia kwa ndugu wa karibu ama kwa viongozi wa dini, utamungalia tu ama utaachana naye kabisa?
 
Adhabu kali kabisa ni kumuacha that's all no politics there
 
Je, utampiga, utamshambulia anayechepuka naye, utamshtakia kwa ndugu wa karibu ama kwa viongozi wa dini, utamungalia tu ama utaachana naye kabisa?

kama na mimi si mwadilifu basi nitajua nimepata adhabu ya Allah... na nitajirekebisha mimi kwanza na kumkanya ... na kama mimi si mchepukaji kwa kweli nitamwambia tu '' NAFUMBA MACHO NIKIFUMBUA NISISIKIE HATA HARUFU YA KIKWAPA CHAKO... YAANI UPOTEEMBELE YA MACHO YANGU NA MOYONI PIA VINGINEVYO NAWEZA TOA KITUKO....
 
Ntamsikiliza main point yake then...ntaithaminisha nikishajua kwann ananisaliti alafu sasa ntafanya maamuz sahihi hapo
 
Hapo ujue hakupendi ww jambo lakufanya ni kujiweka naye pemben. Kila mtu achukue njia yake
 
Kwanza ntalewa na kuparty saana club siku hiyo hadi nizime,, kesho akili ikiwa sawa ntamuuliza tatizo ni nini
 
Back
Top Bottom