Jiunge na mfuko wa afya ya jamii!

Jiunge na mfuko wa afya ya jamii!

Tunashukuru kwa taarifa. Ila ni matibabu yapi hayo ya kawaida?
Mfano iwapo patatokea mgonjwa na akalazwa hspt isiyokuwa ya serikali na anaugua let say figo, je hiyo account inaacomodate hayo matibabu?

Nilihudhuria Mkutano moja wilayani Kisarawe Kata ya Mzenga, baada kuskia matangazo ya watu wa Bima ya Afya ya upimwaji wa Afya (kama miezi mtatu hivi iliyopita. Niliuliza swali kama hilo, na jibu nlilopewa ni kwamba Halmashauri yaWilaya intakiwa kuingia mikataba na hospitali binafsi zilizomo wilayani humo ili nao waweze kutoa huduma kuptia CHF. Nadhani hili likitekelezeka mpango huu takuwa mkomoziwa sisi walala hoi hai.
 
Ayoo ni maneno tu ndugu yangu ,ukweli ni wangapi wenye mifuko ya bima ya afya wanasumbuliwa? Mimi naona ukiwa na kadi yako ya bima nenda na pesa za ziada ukiona wanazingua toa pesa tibiwa jari afya yako mzee
 
jiulize ni wangapi wanaolipia cash wanasumbuliwa?
 
CHF Ina Changamoto Nyingi Kwani Kwa Huku Kiteto Kila Kaya Inatakiwa Ichangie 10000 Kwa Mwaka Lakini Wilaya Ya Kiteto Ni Kubwa Sana Hali Inayolazimu Wanachama Kwenda Wilaya Za Jirani Pale Wanapopewa Rufaa Kutoka Zahanati Au Vituo Vya Afya Sasa Wakienda Huko Wanachama Hulazimika Kuchangia Je Huoni Kuwa Ni Tatizo?
 
Ki ukweli hiyo yaweza kuwa changamoto na utatuzi wake naweza kuuweka katika hatua mbili au tatu hivi.

Mosi:Ni muhimu sana kwa kila jamii kujenga na kujihusisha moja kwa moja katika uendeshaji wa zahanati au kituo cha afya.

Pili:Kwa hatua za muda mrefu ni matarajio ya wataalamu wa afya kuwa CHF au bima ya afya itakuwa ni universal covarage na hivyo matibabu yatatolewa na vituo vyote ndio maana msisitizo unawekwa katika kila mmoja kujiunga katika eneo lake na hatimaye itakuwa mi ya kitaifa(ni mtazamo wangu )

Tatu:haikatazwi kuwa na CHF za wilaya mbili au hata tatu tofauti,kama unaona matibabu yako yatapatikana wilaya X kuliko wilaya Y basi jiunge huko!

Isitoshe uko utaratibu wa rufaa ingawa utekelezaji wake unahitaji mawasiliano na makubaliano kati ya hospitali na hospitali au wilaya na wilaya,kiutekelezaji ni ngumu kidogo.
 
Hongera kwa ufafanuzi huu, nahitaji kupata mawasiliano yako plz.
 
Asante kwa mawazo mazuri. Ni mfuko gani utaniwezesha kutibiwa popote Tanzania zikiwemo hospital binafsi kama Hindumandal nk?
 
Tatizo la CHF nikwamba mfano umejiandikishia temeke alafu ukapata safari ukaenda labda arusha ukafika arusha ukaumwa ukionyesha kadi ya CHF ya temeke wanakwambia hawaitambui sasa cjui tufanyenini wanainchi
 
Ongera kwa ushauri ila ingekuwa vizuri sana kama ungetupa utaratibu wa kujiunga na huu mfuko.
 
Wakandarasi wa barabara kwa ushauli wa bule jitahidini kuchora alama kuonyesha kivuko nikiwa na mana zebra sehemu kama mashuleni, vivuko vya wanyama na waenda kwa miguu, mfano mzuri shule ya mzingi mtoni wilaya ya Temeke na sehemu nyingine nyingi,
 
Kweli mkuu?
 
Mimi nina ndugu zangu kijijini wamejiunga na hii kitu nilipowauliza wanaona faida wameniambia inasaidia..maana wakijumlisha huduma wanazopata kwa mwaka inazidi 10000
 
Back
Top Bottom