Recent content by Godfrey Saguda

  1. G

    JamiiForums Tanzania Robert Mugabe: Waafrika sasa tuache utegemezi

    picking Mugabe as a SADC new chairman mighty be tricky of the western also,. but i hope it shall not end that way!!!!??????GOD bless Africa, GOD bless Mugabe for the sake of our African dignity!
  2. G

    JamiiForums Tanzania Watu 10,800 wapitishwa kuwania nafasi 70 tu Uhamiaji!

    daima utabaki kuwa MUNGU,litukuzwe jina lako daima na milele.AMEN
  3. G

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa maji UDOM na athari zake...

    acheni hizo siasa,,mbona maji yapo?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Watanzania wawili wakamatwa na maiti iliyofichwa dawa za kulevya

    aaah,,njaa imezidi na shida zikaongezeka!na bado kulana nyama tu kudadek,,we unadhan inahitajika roho ngum kias gan kukaa na mait tna iko sebuleni,,,,,,,TAFAKARI!
  5. G

    JamiiForums Tanzania FIB Tanzania (special forces in Congo) yaichukua ngome kuu ya M23!

    wonderful,,,keep on pushing it harder!
  6. G

    JamiiForums Tanzania Museveni kusuluhisha mgogoro kati ya Tanzania na Rwanda

    watanzania tunapenda kujidhalilisha ama tunapenda kudhalilishana
  7. G

    JamiiForums Tanzania Museveni kusuluhisha mgogoro kati ya Tanzania na Rwanda

    huu ni upuuz,,suluhu kwa kosa lipi?itafikia pahala tuamin rumours tunazoskia kuwa jk na kagame wanakaugomvi flan ka binafsi.....
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mzee Farijala wa CCM Amshambulia Dkt. Charles Kitima

    huyo kitima anazingua sana kwanza hapo saut penyewe anatuhumiwa kwa uongozi mbovu wa kimabavu usiozingatia haki wala misingi ya utawala bora,,..
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

    Am very much suprised with you guys who doubt Mtikilas' allegation towards Kagame,that man he is never play a joke even once.Look at what is going on in Congo DRC and think carefully before you try to prove Reverand Mtikila wrong!
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kidato cha sita 2013 wanatakiwa kuripoti JKT 24/06/2013

    kuna jinsi ambavyo hili tangazo halieleweki na wala halifafanui mambo muhimu
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nani Kachora.........?

    Hahahahahaaaaaa,nimekubali meku aiseee.ni nooo,ni noma.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Sheria na taratibu za kujenga nyumba mbili kwenye kiwanja kimoja

    Mukuu fanya utafute ki2 kimoja kinaitwa Land Use Act,.kina sheria na taratbu zote utakazohtaj kuhusiana na haja yko.Mind you,.."ignorance of the law has no defence"!play safely
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

    utakapomtia mimba huyo beki 3 ndo utajua kama unakosea au unapatia
  14. G

    JamiiForums Tanzania BBC News: Wamasai zaidi ya 1,000 (Loliondo) watupilia mbali kadi za CCM!

    kama vp vp 2:yo::yo:
  15. G

    JamiiForums Tanzania Lissu, Msigwa, Wenje, Kiwia wafungiwa kuhudhuria Vikao vya Bunge!

    lissu nae apunguze kukurupuka kwn hyo ni tabia mbaya ya ukaid,,anawagharim sna wananchi.bunge limekuwa genge ss na kw hal hyo ni kama wanatuigizia 2 na baada ya kikao wanakutana kwny sebene kama kawa,,,
Back
Top Bottom