Mzee Farijala wa CCM Amshambulia Dkt. Charles Kitima

Na ufinyu wa kufikiri na uzee umemwingia msamehe bure maana hajui maana ya vyama vingi, so kwa mawazo yake anataka kila mtu abaki chama kinachojiaminisha kuwa ni cha wafanyakazi na wakulima, but is this true?
 
Msomi wa chuo kikuu?! Kwa taarifa yako huko vikuu ndio kuna wasomi wanao tumika kuliko unavyofikiri! Hivi unajua mbunifu wa kauli mbiu "Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya?", unamjua mbunifu wa kauli mbiu "Maisha bora kwa kila mtanzania?" Ni mtu mahiri aliye chuo kikuu! Ukiulizwa kauli mbiu zake zimefanyaje kazi kupitia mtu aliye muandikia utashangaa! Au hujui kuwa hata aliye sema "We will mafucture teachers" naye ni msomi wa chuo kikuu cha dsm?! Au hujui kuwa hata aliyesema kuwa "Sijui sababu za wananchi wangu kuwa maskini?" Naye ni mshika shahada wa chuo kikuu bora Afrika

Muambie huyo msomi wako wapenda vya bure ni wale wanao hongwa chumvi, kofia, t shirt na khanga ili wachaguliwe.

Tumia akili usitumike tu bila kushirikishaa ubongo wako.
Duh! mkuu kama ni ngumi basi hii umempa ya chembe na lazima hapa refa asimamishe pambano.......safi sana
 
Salam Wana JF,

Bila kutarajia asubuhi hii nimejikuta nalazimika kuitazama television ya TBC1 kwakua mazingira niliyokuwepo ndio channel pekee ya nyumbani inayoonekana.

Mtangazaji wa TBC1 amemkaribisha studio mzee Farijala ambaye ni kada wa CCM. Katika mazungumzo yake amejikita katika kumshambulia aliyekuwa Makamu Mkuu wa chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) cha Mwanza Dkt. Charles Kitima, kwamba pamoja na kuwa amesomeshwa na CCM lakini amekuwa akiikisoa sana na kuilaumu serikali ya CCM.

Mzee huyo anadai kuwa anamfahamu sana Dkt. Kitima kwamba ametoka katika familia duni sana alikuwa akivaa kaniki lakini leo hii amesahau fadhila ya serikali ya CCM.

Pia amezungumzia wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu kutofanya siasa kwa madai kuwa wako vyuoni kusoma na si kufanya siasa akitolea mifano vyuo vya SAUT TABORA NA SAUT MWANZA.

Hayo ni mawazo yake na wala si ya ccm. Utakuwa mwendawazimu kama utashindwa kuitambua kazi iliyofanywa na Dr. Kitima! Ni fadhila zipi anzozitarajia kutoka kwake?
 
Salam Wana JF,

Bila kutarajia asubuhi hii nimejikuta nalazimika kuitazama television ya TBC1 kwakua mazingira niliyokuwepo ndio channel pekee ya nyumbani inayoonekana.

Mtangazaji wa TBC1 amemkaribisha studio mzee Farijala ambaye ni kada wa CCM. Katika mazungumzo yake amejikita katika kumshambulia aliyekuwa Makamu Mkuu wa chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) cha Mwanza Dkt. Charles Kitima, kwamba pamoja na kuwa amesomeshwa na CCM lakini amekuwa akiikisoa sana na kuilaumu serikali ya CCM.

Mzee huyo anadai kuwa anamfahamu sana Dkt. Kitima kwamba ametoka katika familia duni sana alikuwa akivaa kaniki lakini leo hii amesahau fadhila ya serikali ya CCM.

Pia amezungumzia wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu kutofanya siasa kwa madai kuwa wako vyuoni kusoma na si kufanya siasa akitolea mifano vyuo vya SAUT TABORA NA SAUT MWANZA.
Mwita Maranya,

Mkumbusheni Mzee Farijala, kwamba Nyerere alianzia siasa Makerere, au Makerere siyo University?
Aaache kuendekeza njaa, atumie ubongo wake vizuri!
 
Last edited by a moderator:
Salam Wana JF,

Bila kutarajia asubuhi hii nimejikuta nalazimika kuitazama television ya TBC1 kwakua mazingira niliyokuwepo ndio channel pekee ya nyumbani inayoonekana.

Mtangazaji wa TBC1 amemkaribisha studio mzee Farijala ambaye ni kada wa CCM. Katika mazungumzo yake amejikita katika kumshambulia aliyekuwa Makamu Mkuu wa chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) cha Mwanza Dkt. Charles Kitima, kwamba pamoja na kuwa amesomeshwa na CCM lakini amekuwa akiikisoa sana na kuilaumu serikali ya CCM.

Mzee huyo anadai kuwa anamfahamu sana Dkt. Kitima kwamba ametoka katika familia duni sana alikuwa akivaa kaniki lakini leo hii amesahau fadhila ya serikali ya CCM.

Pia amezungumzia wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu kutofanya siasa kwa madai kuwa wako vyuoni kusoma na si kufanya siasa akitolea mifano vyuo vya SAUT TABORA NA SAUT MWANZA.
Akumbushwe kuwa CCM ile ya Ujamaa na Kujitegemea ilikufa na imebaki CCM ya wachumia tumbo hakuna Elimu tena!.
 
Yule kitima ni janga kuu la taifa, mtokwa povu tu. Njaa inamsumbua

hivi unawajua wenye njaa wewe au unaropoka tu?hebu muache DVCAA wangu inaelekea hata hujielewi siasa waachie wanasiasa...mengine yakupite sio kila kitu unatakiwa ucoment
 
Huyu mzee Farijala ndio wale wazee maboya wanaotumika kudidimiza wananchi kwa sera mbaya za MAGAMBA kwa vile ni sheria yao kuwa chochote kinachosemwa na magamba usikipinge hata kama ni kibaya kwa wananchi,kwanza hata kituo cha tv alichotumia ni wale wale magamba tu,hajajua kuwa wanaongoza magamba kwa sasa wote wako kwa maslahi yao binafsi na sio ya nchi,ukweli umeonekana kwenye bajeti ya jana kupitishwa kibabe na vitisho kuwa wakiipinga rais atavunja bunge hivyo wameipitisha ili wasipoteze vibarua vyao na sio kwa matakwa ya kuwajali wananchi,2015 M4C ndio yenyewe kuwaondoa wazee kama hawa na magamba yao
 
Muda utazungumza kama Dr Kitima ni mpumbavu au Farijala ndo mpumbavu!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
huyo kitima anazingua sana kwanza hapo saut penyewe anatuhumiwa kwa uongozi mbovu wa kimabavu usiozingatia haki wala misingi ya utawala bora,,..
 
Salam Wana JF,

Bila kutarajia asubuhi hii nimejikuta nalazimika kuitazama television ya
TBC1 kwakua mazingira niliyokuwepo ndio channel pekee ya nyumbani
inayoonekana.

Mtangazaji wa TBC1 amemkaribisha studio mzee Farijala ambaye ni kada wa
CCM. Katika mazungumzo yake amejikita katika kumshambulia aliyekuwa
Makamu Mkuu wa chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) cha Mwanza Dkt.
Charles Kitima, kwamba pamoja na kuwa amesomeshwa na CCM lakini amekuwa
akiikisoa sana na kuilaumu serikali ya CCM.

Mzee huyo anadai kuwa anamfahamu sana Dkt. Kitima kwamba ametoka katika
familia duni sana alikuwa akivaa kaniki lakini leo hii amesahau fadhila
ya serikali ya CCM.

Pia amezungumzia wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu kutofanya siasa kwa
madai kuwa wako vyuoni kusoma na si kufanya siasa akitolea mifano vyuo
vya SAUT TABORA NA SAUT MWANZA.

kama kweli ccm wanakipenda chama chao ni vyema wakakaa pembeni ili qwajipange, la sivyo chama kitakuja kufa kifo kibaya sana kama KANU n.k
 
Yule kitima ni janga kuu la taifa, mtokwa povu tu. Njaa inamsumbua

Nyie ndio NJAA inawasumbua, ndio maana kutwa kucha mpo hapa mnatoa MAPOVU kupiga deal za Buku SABA SABA kutoka Lumumba. NYAMBAF..U NYIE
 
Salam Wana JF,

Bila kutarajia asubuhi hii nimejikuta nalazimika kuitazama television ya TBC1 kwakua mazingira niliyokuwepo ndio channel pekee ya nyumbani inayoonekana.

Mtangazaji wa TBC1 amemkaribisha studio mzee Farijala ambaye ni kada wa CCM. Katika mazungumzo yake amejikita katika kumshambulia aliyekuwa Makamu Mkuu wa chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) cha Mwanza Dkt. Charles Kitima, kwamba pamoja na kuwa amesomeshwa na CCM lakini amekuwa akiikisoa sana na kuilaumu serikali ya CCM.

Mzee huyo anadai kuwa anamfahamu sana Dkt. Kitima kwamba ametoka katika familia duni sana alikuwa akivaa kaniki lakini leo hii amesahau fadhila ya serikali ya CCM.

Pia amezungumzia wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu kutofanya siasa kwa madai kuwa wako vyuoni kusoma na si kufanya siasa akitolea mifano vyuo vya SAUT TABORA NA SAUT MWANZA.

JF for Great thinkers: Tuanze na hili kuwa ana mfahamu sana anatoka familia maskini sana...hili halina uhusiano na akili ya mtu kuchambua mambo kwani akili hazitokani na utajiri bali makuzi. Na kumbuka jamii zote zinakua toka umaskini kuelekea uhali bora...kwa hiyo kama kakua toka umaskini hadi kuichambua CCM anapaswa kupongezwa maana katimiza malengo ya MDG kwa kutoka katika umaskini wa mawazo nadhani hata wa kipato maana kama ni Doctor wa kusoma mapato kwa mwezi si chini ya 3m.
Pili kwamba alisomeshwa na CCM...Farjala una CV ya Dr. Kitima? Au ni kusema tu kwa mazoea ili watanzania wakuone una la maana la kusema. Mi namjua kama mwalimu wangu wa sheria na CV yake haina kusomeshwa na CCM isipokuwa shule ya msingi tu ambapo ilikuwa ni UPE kadiri ya Nyerere. Baada ya shule ya Msingi alienda Dungunyi Seminari (kwani hapo ni pa CCM?, Kisha akaenda Rubya Seminary kidato cha tano na sita - hapo CCM imewekeza nini zaidi ya kuwanyima pesa za SEDEP eti wao wanatayarishwa kwa kazi za kanisa si za serikali?, kisha akasoma Kibosho Seminary (Falsafa) huko ni enzi za Lyatonga Mrema akiomba kuwa mbunge wa Moshi Vijijini...huko kuna nini cha CCM? Kisha akaja Tabora Kipalapala (Theology)...ni mali ya CCM hiyo? Baada ya hapo akapaa kwenda University of Urubanian Rome, Italy akabobea katika sheria zote za kanisa na za kiraia...kawaulize TCU kama hawaja-approve PhD yake...! Ebu nambieni huko CCM waliwekeza nini? Labda kwa kuruhusu kupata passport ambayo kisheria ni haki ya raia na kusafiri ni haki msingi inayompa mtu yeyote uhuru wa kujumuika (right to association)...Najua tu alitaka kusoma ualimu Singa Chini akapaona mapema hakukaa hata wiki mbili kaenda zake Dungunyi...sasa huyu Farijala anabwabwaja ya CCM juu ya Dr. Kitima akitoa wapi mambo yake? Uhuni na kutokusoma vema mambo ya watu ndiko kunakompatia matatizo. Haya juu ya vyuo hivi sijui wasifanye siasa wasome...amuulize Museveni na JK walianzia siasa wapi? Mbona serekali hii hii ya CCM ilikuwa imeweka makatibu wa matawi kila shule enzi za Mwalimu hiyo ilikuwa siyo siasa?

Mawazo yangu, kila mtu anayo haki ya kutoa maoni yake juu ya chochote maadamu hatukani wala havunji katiba...isichukuliwe kuwa watanzania tunapaswa kufunga midomo hata pale unaponyang'anywa mbuzi wako kwa ajili ya kulinda na kutetea maslahi ya watawala dhaifu...ufalme na ubwanyenye katika nchi huru na ya kidemokrasia haina nafasi. Tutaendelea kumheshimu na kumpenda raisi wetu, na kumwambia kuwa suruali yako imetoboka chini ya goti ni sehemu ya kumpenda maana tungependa aonekane nadhifu kama anavyotamani yeye mwenyewe. Kumpigia makofi kwamba ua la surauali yako chini ya goti ni zuri wakati ni kiraka ni kutomtakia heri raisi wetu na ni kutoipenda nchi yako kama wewe kweli ni Mtanzania
 
Huyu mzee huwa namuona wakati wa mijadala ya asubuhi RFA.Huwa nashangaa kwani huwa hana hoja.Hivi RFA huwa mmekosa watu mahili.
 
Sasa Kama alikuwa akivaa kaniki. So what?. Wazee wengine akili zao huzeeka vibaya sana Kama Huyu Pumba Fatjala
 
hii ndo sampuli ya wazee wasio na akili nadhan ndo wale waliokua wanakua wamwisho darasani.... kwani wale wanaokuaga wa mwisho darasani wanakufaga si wanakua wakubwa??? alafu pili anatakiwa ajue kua sisi tuliosoma bure hatujasomeshwa na ccm kama anavyotaka watu wamuamini kwani sisi tumesomeshwa na wazazi wetu na watanzania wenzetu kwa jasho lao wenyewe through kodi hakuna mtu wa ccm aliyenisomesha!!!!

Akili yake matope kama ya Chama wa Gongo la Mboto! Ndiyo bado wanaimba wimbo wa ccm kusomesha watu bure wakati ni matunda ya kodi zao zilizokuwa zikitumiwa vizuri na akina Nyerere wacha akina KIKWETE ambao kila leo wanazurua ULAYA kuomba msaada wa Vyandarua badala ya kuwekeza kwenye Elimu!

CC. chama
 
Back
Top Bottom