Recent content by Gobomoja

  1. G

    UN yakosoa TZ kwa kuwafukuza wahamiaji haramu

    Uko sahihi mkuu
  2. G

    Tanzania ndio nchi iliyoanza kujitenga na jumuiya ya Afrika mashariki na wala aikutengwa

    Mbona wazungu na waarabu wanajichukulia hizo mbunga na wanyama hai???kwetu majirani ndio imekuwa shida? Ni jambo la kukaa na kutafakari kabla ya kushabikia.
  3. G

    Utapeli mwingine bhana.....duh!

    Hata leo imenitoke,kajifqnyq tufahamiane,halafu tuanze kwa kuchati,
  4. G

    Mtego huu balaa, ingekuwa wewe binti ungeuchomoa

    Hongera lakini isiishie kwa huyo boss wako,tulia mka umate mwezio
  5. G

    Jinsi nilivyoteswa na 'Ujiko' wa kuwafikisha wanawake kileleni!

    Nimeisoma kwa bahati mbaya.......ulikotoka pabaya..mukifungua kanisa uwe unakesha huko.
  6. G

    Kuku aina ya Kenbro

    Mimi ninao Korongo wa Malawi,mienzi mine jogooo linakuwa mpaka kili tatu. Nipo Mbeya kwa watakao wahitaji wani pm...........
  7. G

    M-Pesa ni Gharama Sana ! , Soma Hii Muhimu

    Si uhamie huko kwa bei nafuu,nani kakulazimishwa au umetumwa na ...........................
  8. G

    Muongo Vs. Mengi. Kimenuka !

    KIsha oja lakini ajue kuwa watanzania wa sasa wamehudhuria japo shule za kata ba kufuta ujinga,tusubiri 2015 tu
  9. G

    Waziri Muhongo azomewa!

    Amekosea kwenda kununua dawa kwa wawekezaji wa ndani ambao hawana mitaji, alitakiwa kuweka order kiwandani Nchi za wenyewe; Nimeipenda apate somo.
  10. G

    JWTZ: Marufuku kuandika mgogoro wa DRC

    Wanataka kuturejesha Enzi zile za mwaklimu, Television alikuwa nayo yeye tu harafu anatujuza kupitia radio RTD aliyoyaona kwenye vyombo vya nje kupitia Luninga,ninachojua,tusipoandika sisi watanzania tunaoongopa amri halali ya viongozi wetu, vyombo vya nje vitaendelea kutujuza,wafunge na satlite...
  11. G

    JWTZ: Marufuku kuandika mgogoro wa DRC

    Wanataka kuturejesha Enzi zile za mwaklimu, Television alikuwa nayo yeye tu harafu anatujuza kupitia radio RTD aliyoyaona kwenye vyombo vya nje kupitia Luninga,ninachojua,tusipoandika sisi watanzania tunaoongopa amri halali ya viongozi wetu, vyombo vya nje vitaendelea kutujuza,wafunge na satlite...
  12. G

    WANYARWANDA wamejaa Jeshini hadi Ikulu Tz...

    Inaonekana una wivu na mali zao, una uhakika gani kama ni wahamiaji haramu?au kwa kuwa wanatoka kigoma na kagera,wa moshi,mara,mbeya,mtwara,Tanga,sumbawanga,songea mbona huwasemi wakati nao ni wampakani tu
  13. G

    Mitihani ya Big Results Now ni Big Failure Now

    To ensure the implementation of the FYDP I (2011/2012 –2015/2016), the Government through a Cabinet Retreat held in Dodoma from 22-24October, 2012 established a strong and effective system to oversee, monitor andevaluate the implementation of its development plans and programmes based on Ma...
  14. G

    Bei ya miti Tanzania

    Nasikia ukifanikiwa kupata mgao wa miti mita za ujazo mia nne tu Shamba la Miti Sao Hill, unaweza kuuza mgao huo mpaka Tsh 15,000,000 kwa wafanyabiashara waliokosa migao. Kama wanaweza kununua kwa kiasi hicho kikubwa cha pesa inamaanisha wanapata faida kubwa sana kwenye biashara hii,kwa nini...
  15. G

    Precision Air yatangaza hasara ya Bilioni 30.4 kwa mwaka 2012

    Au ni janja ya huyo Mkurungezi mpya, anataka ionekane ameanza wakati kampuni imechechemea,mwakani atangaze faida ionekane amefanya maajabu. Chezea Wakenya wewe!!!!watatatumaliza kwenye soko la ajira kwa sababu ya viujanja kama hivi.....fungueni macho.
Back
Top Bottom