Bujibuji!umenikosha.USIOGOPE.Hofu ya nini ndugu zanguni?
Biblia yangu imeniambia mara 365 kuwa USIOGOPE. Hii inamaana kila siku ninaambiwa nisiogope, na mimi siogopi kitu.
Kama serikali ya Tz inahofu na Wanyarwanda si ifanye miundo mbinu tuungane nao?
If you cant fight them, join them.
Hapo utakuwa salama
Nakuunga mkono ndugu yangu.Huyo mjeshi katorokea wapi!?? inside job hiyo.. subject sílenced and deleted permanently... hiyo ya kutoroka ndo jibu kwa mke na watoto...
Tangu lini tumekuwa tukisikia kuwa wanyarwanda wengi wamejaa kwenye secta muhimu hapa nchini? jeshini, secta muhimu hadi ikulu?
huyu mwanajeshi aliyetorokea Rwanda ni fundisho tosha, ndio maana kagame ana kiburi kwasababu amekuwa akipokea siri za tz tangu kitambo, anao watu wake hapa, na hawa watu wake ndio walewale aliowatumia kumuua Prof mwaikusa. anaweza kuifanya lolote tz kwasababu amejaza mamluki wake hapa. Tz beware.
pia, ule mchakato wa kufurumusha wahamiaji haramu ilikuwa ni danganya toto tu, mbona hawafukuzwi? hao ndio wanaokuja kuisaliti tz baadaye, yapaswa waondoke wote, kagera na kigoma iwe safi, polisi wanajeshi na usalama safisha maeneo haya. pia kuna umuhimu kwa secta muhimu kuchuja watu wa aina gani, wazalendo kiasi gani na historia za maisha yao zichunguzwe kabla ya kupewa nafasi muhimu. wamarekani wanafuatilia mtu hadi alipozaliwa, ila tz tunapeana tu vyeo, ona sasa afisa mkubwa wa jeshi anapeleka siri za nchi yetu nje? tutakuwa na ujasiri kuivamia rwanda kweli? si wanatujua? wanatuona tuko uchi hadi wanatudharau
mwaaaaaaaaaaaaBujibuji!umenikosha.USIOGOPE.
Hofu ya nini ndugu zanguni?
Biblia yangu imeniambia mara 365 kuwa USIOGOPE. Hii inamaana kila siku ninaambiwa nisiogope, na mimi siogopi kitu.
Kama serikali ya Tz inahofu na Wanyarwanda si ifanye miundo mbinu tuungane nao?
If you cant fight them, join them.
Hapo utakuwa salama
Tanzania ina raia wake watutsi kuondoa waliojipenyeza toka rwanda. Hawa watu kwa asili wana uzalendo wa kimbari kuliko wa taifa kwa hiyo tumeshafanya makosa tuwe macho mbele ya safari.Tangu lini tumekuwa tukisikia kuwa wanyarwanda wengi wamejaa kwenye secta muhimu hapa nchini? jeshini, secta muhimu hadi ikulu?
huyu mwanajeshi aliyetorokea Rwanda ni fundisho tosha, ndio maana kagame ana kiburi kwasababu amekuwa akipokea siri za tz tangu kitambo, anao watu wake hapa, na hawa watu wake ndio walewale aliowatumia kumuua Prof mwaikusa. anaweza kuifanya lolote tz kwasababu amejaza mamluki wake hapa. Tz beware.
pia, ule mchakato wa kufurumusha wahamiaji haramu ilikuwa ni danganya toto tu, mbona hawafukuzwi? hao ndio wanaokuja kuisaliti tz baadaye, yapaswa waondoke wote, kagera na kigoma iwe safi, polisi wanajeshi na usalama safisha maeneo haya. pia kuna umuhimu kwa secta muhimu kuchuja watu wa aina gani, wazalendo kiasi gani na historia za maisha yao zichunguzwe kabla ya kupewa nafasi muhimu. wamarekani wanafuatilia mtu hadi alipozaliwa, ila tz tunapeana tu vyeo, ona sasa afisa mkubwa wa jeshi anapeleka siri za nchi yetu nje? tutakuwa na ujasiri kuivamia rwanda kweli? si wanatujua? wanatuona tuko uchi hadi wanatudharau...
mkuu njoo njoo huku tegeta boko bunju uone jinsi walivyo jaa wanamiliki majumba na biashara za hardware ni aibu mkuu.tulisha sema kama serikali inania ya dhati kuwaondoa hawa itoe number za simu tuwaonyesha wawakamate ingawa wanauchumi mzuri wanaweza kuwapa rushwa wakawaachia kama si wazalendo.
tangu lini tumekuwa tukisikia kuwa wanyarwanda wengi wamejaa kwenye secta muhimu hapa nchini? Jeshini, secta muhimu hadi ikulu?
Huyu mwanajeshi aliyetorokea rwanda ni fundisho tosha, ndio maana kagame ana kiburi kwasababu amekuwa akipokea siri za tz tangu kitambo, anao watu wake hapa, na hawa watu wake ndio walewale aliowatumia kumuua prof mwaikusa. Anaweza kuifanya lolote tz kwasababu amejaza mamluki wake hapa. Tz beware.
Pia, ule mchakato wa kufurumusha wahamiaji haramu ilikuwa ni danganya toto tu, mbona hawafukuzwi? Hao ndio wanaokuja kuisaliti tz baadaye, yapaswa waondoke wote, kagera na kigoma iwe safi, polisi wanajeshi na usalama safisha maeneo haya. Pia kuna umuhimu kwa secta muhimu kuchuja watu wa aina gani, wazalendo kiasi gani na historia za maisha yao zichunguzwe kabla ya kupewa nafasi muhimu. wamarekani wanafuatilia mtu hadi alipozaliwa, ila tz tunapeana tu vyeo, ona sasa afisa mkubwa wa jeshi anapeleka siri za nchi yetu nje? Tutakuwa na ujasiri kuivamia rwanda kweli? Si wanatujua? Wanatuona tuko uchi hadi wanatudharau...
Tangu lini tumekuwa tukisikia kuwa wanyarwanda wengi wamejaa kwenye secta muhimu hapa nchini? jeshini, secta muhimu hadi ikulu?
huyu mwanajeshi aliyetorokea Rwanda ni fundisho tosha, ndio maana kagame ana kiburi kwasababu amekuwa akipokea siri za tz tangu kitambo, anao watu wake hapa, na hawa watu wake ndio walewale aliowatumia kumuua Prof mwaikusa. anaweza kuifanya lolote tz kwasababu amejaza mamluki wake hapa. Tz beware.
pia, ule mchakato wa kufurumusha wahamiaji haramu ilikuwa ni danganya toto tu, mbona hawafukuzwi? hao ndio wanaokuja kuisaliti tz baadaye, yapaswa waondoke wote, kagera na kigoma iwe safi, polisi wanajeshi na usalama safisha maeneo haya. pia kuna umuhimu kwa secta muhimu kuchuja watu wa aina gani, wazalendo kiasi gani na historia za maisha yao zichunguzwe kabla ya kupewa nafasi muhimu. wamarekani wanafuatilia mtu hadi alipozaliwa, ila tz tunapeana tu vyeo, ona sasa afisa mkubwa wa jeshi anapeleka siri za nchi yetu nje? tutakuwa na ujasiri kuivamia rwanda kweli? si wanatujua? wanatuona tuko uchi hadi wanatudharau...
wabongo tunaposikitisha ndio hapa, wivu tu! hao ni watanzania wenye asili ya Rwanda, sio lazima wawe wahamiaji haramu. wabongo tumejibweteka tu, wenzetu hawa wametoka kwenye shida wakija bongo wanapiga kazi, wakifanikiwa tunaanza ooh wanyarwanda...ooh this and that. wewe nani kakukatza usimiliki mijumba na biashara za hardware, acha kuona wivu piga kazi! au kama vipi kawaombe ushauri.mkuu njoo njoo huku tegeta boko bunju uone jinsi walivyo jaa wanamiliki majumba na biashara za hardware ni aibu mkuu.tulisha sema kama serikali inania ya dhati kuwaondoa hawa itoe number za simu tuwaonyesha wawakamate ingawa wanauchumi mzuri wanaweza kuwapa rushwa wakawaachia kama si wazalendo.
Nataka tutafiti juu ya Yule Generali wa FDRA aliyetekwa pale mjini mwaka Jana na system ya Rwanda .....Hilo jambo lilitokea....hata Kama alikuwa wanted ...ilitakiwa akamatwe na watu wetu .....Othman na timu yake ya counter espionage ...wakiwamo watu wa MI....ni sawa na kupigwa kibao kwa mtuhumiwa yeyote kukamatwa bila msaada wao .....inamaana Nchi nyingine imeweza kupenyeza watu wake na waka complete mission bila kuhitaji msaada wa system yetu ????
Katika mikataba ya Nchi kiusalama ...kuna joint espionage missions ....ambapo unakuta mfano Kenya wana watu wao hapa wanted wanatuma timu inaungana na yetu na kuwakamata and vice versa ......Kama ilivotokeaga Wakati Tanzania na Kenya walipobadilishana watuhumiwa wa uhaini Kina Anko Tom ....
Ni Tusi Kama Rwanda walikamilisha mission Kweka bila kutushirikisha ...pale walipomteka General Deogratus Bigaruka Izabayo ....operation iliyoongozwa na Lt.col Tinka.
Lt col Tinka Ndie pia anasadikiwa kuwa na taarifa Za kutoroka kwa Lt.col Celestine Seromba ...au kumsaidia kutoroka kutoka kwenye senior officers mess temporary detention area..alipokuwa akisubiria kupelekwa kizuizini kwenye kambi maalum .
.Kama vile ilivomuuzi Zuma pale ma agent wa Rwanda walivojaribu kumuuwa general faustin kayumba Nyamwasa bila ridhaa ya ze cobras ( Nyamwasa is tipped to be the next president ...)
wabongo tunaposikitisha ndio hapa, wivu tu! hao ni watanzania wenye asili ya Rwanda, sio lazima wawe wahamiaji haramu. wabongo tumejibweteka tu, wenzetu hawa wametoka kwenye shida wakija bongo wanapiga kazi, wakifanikiwa tunaanza ooh wanyarwanda...ooh this and that. wewe nani kakukatza usimiliki mijumba na biashara za hardware, acha kuona wivu piga kazi! au kama vipi kawaombe ushauri.
Mkuu usisahau kwamba Tanzania tumebarikiwa ukarimu. Tunawakirimu wageni na kuwapeleka hadi vyumbani mwetu tukifikiri ni marafiki wazuri wenye nia njema kwetu kama tuliyo kwao, kumbe wanakuja na ajenda zao tofauti ambazo nyigizo ni hujuma kwa taifa letu. Ni mambo ya kujifunza na kuungalia upya ukarimu wetu.
Swali langu ni hili wewe una ushahidi gani kuwa ni haramu ukiacha kuwa wana asili ya Rwanda? Pointi yangu ni kuwa kuna watanzania wengi wenye asili toka nje ya Tanzania. hatuwezi kuanza kuharass watu bila sababu za msingi, tutaishia kuwa kama iddi amin kufukuza wahindi kwa sababu wana maduka na viwandaHao ni wahamiaji haramu, Hata kama wametoka kwenye shida rwanda na wakeja hapa na kufanya kazi kwa bidii na kumiliki ardhi.
Bado haiwahalalishi kuwafanya sio haramu. Bado watabaki ni wahamiaji haramu tu.
Sheria haziwaruhusu kumiliki ardhi mpaka kufikia kujenga makaadhi.
Tofautisha UKARIMU na UZUZU/UBWEGE/UJINGA nk.Hebu fikiri ni nchi gani inatabia kama yakwetu?!