Utapeli mwingine bhana.....duh!

Utapeli mwingine bhana.....duh!

Hakuna utapeli hapo wala sio kosa

cute watu tunatumia cm kwa vitu vya msingi co mambo ya kijinga kama hayo ya kuwasiliana watu wenyew huwafaham,hajakaa vizur nitumie votcher what the hell
 
Unakuta mtu anajifanya kakosea namba then basi anatafuta kuwa rafiki yako humjui hakujui,siku mbili tatu ashaanza kukuita baby sasa sielewi huo ubaby umekujaje hapo khaa!!

aaa! Kumbee mbona unakubali nikikuita bby na unasema nikuelekeze nyumban kwang ili uje kugegedwa
 
Unakuta mtu anajifanya kakosea namba then basi anatafuta kuwa rafiki yako humjui hakujui,siku mbili tatu ashaanza kukuita baby sasa sielewi huo ubaby umekujaje hapo khaa!!

Ni strategy na sometimes inafanya kazi. so kama upo single bonga tu, wakati mwingine waweza kuta kapewa namba.
 
kwa kweli MAPI cjui kama ni yangu tu ila haipiti wiki mtu hasa w/wake ku wrong number kwangu(serious)
namba yako lazima itakuwa na kaharufu flani...haiwezekani kila wiki wewe tu..hahaha
 
cute watu tunatumia cm kwa vitu vya msingi co mambo ya kijinga kama hayo ya kuwasiliana watu wenyew huwafaham,hajakaa vizur nitumie votcher what the hell
Ukimu entertain lazima akugande ila ukimtimua harudi!!
 
Unakuta mtu anajifanya kakosea namba then basi anatafuta kuwa rafiki yako humjui hakujui,siku mbili tatu ashaanza kukuita baby sasa sielewi huo ubaby umekujaje hapo khaa!!

khaaa we ujui hapa duniani kila mtu ni baby?
 
ivi inakuaje mwanaume anakua na maandiko ya kike...?!
 
wanakera sana tena unaweza kukuta ni vitoto vya chekechea.
 
Hawezi tu kuanza ghafla kukuita baby mazingira ya kuitwa baby unayaweka mwenyewe wanaume wengine mtu akikosea number kosa tu asikie sauti ya kike atamganda kama kope za kichina ooh kwani we unaitwa nani mara uko wapi mara usiku mwema eeh una saut nzur sauti yako tu inaonesha we ni mzuri nataman kukuona utaacha kuitwa baby?
 
Hivyo ulivyoongea kama na ww ulishayapitia hayo 🙂....Usikasirike lakini shost naongelea hypothetically tu!
 
naishi na watu yameshawatokea watu wengi kwani wewe hujawah kukutana na story kama hii?
 
Back
Top Bottom