M-Pesa ni Gharama Sana ! , Soma Hii Muhimu

M-Pesa ni Gharama Sana ! , Soma Hii Muhimu

Tulifanya kosa kubwa sana kuwakumbatia ccm maana ndio waliopelekea kwa makusudi kabisa na bila huruma kuliua shirika la TTCL. Tukisema walishindwa kulisimamia pia inaweza kuwa sahihi kama walivyoshindwa kusimamia nchi, lingelikuwa liko vizuri ina maana pesa zote hiz zingelikuwa zinazunguka hapa kwetu. Sasa angalia, ukimjua anayemiliki karibia 50% ya hisa za vodacom utatoa hata machozi ... Mzee Mwanakijiji aliwahi kutoa angalizo na sina uhakika ni wangapi walilielewa.
 
Pamoja na kulalamikiwa sana kuhusu gharama za miamala ya M-pesa ikiwamo kutoa, kutuma na kuhamisha fedha kuwa gharama kubwa mno na za kinyonyaji (ukilinganisha na mitandao mingine ya simu), lakini kumbe kuna zaidi.
Nilikuwa sijui kuwa kwa M-pesa hata kuangalia salio unatozwa fedha, fedha inakatwa kwenye akaunti yako.

My Opinion:
The responsible authorities should standardize and control this mobile banking business to protect the customers and ensure fair trading !




Hamia airtel "HAKATWI MTU HAPA"
 
Wewe mpaka leo unakatwa ukiangalia salio,kuwa mjanja bwana...me huwa sikatwi nikiangalia salio!
 
pamoja na kuwa ghali lakini imekuwa msaada mkubwa hasa kwetu sisi tuishio vijijini.hizo bank hatuzijui wala hiyo tigo
 
Hii huduma ya M-Pesa ina gharama sana. Binafsi nimetoka kutuma laki 7 mda si mrefu. Imagine mimi ninayetuma nimekatwa 1500 na yule anaepokea anakatwa 7000. Unadhani kuna usawa hapo? Kwa nini malipo yawe instituted pande zote mbili? This is more than just a theft. Hata mabenki hakuna huduma kama hii.
Nadhani kwa style hii tunayoenda nayo itabidi turudi back to our conventional ways of transaction, that is -banks. Thats the only way I see fit in this economic situation we are in.

hahahaaa...... Ulibug meeen... Chezea KAZI NI KWAKO!!!!
 
Its the fact ndg!! wapo ghali sana with no reason za maana!!

Unawalinganisha na mtandao upi ambao ni cheap? Bila data za ulinganifu siyo rahisi kuamini.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Si uhamie huko kwa bei nafuu,nani kakulazimishwa au umetumwa na ...........................
 
Tusipende kulalamika dawa ni kujitoa tu ndo wapate akili, tukilalamika huku tunazidi kutumia haisaidii
 
Wachangiaji wengi wa hii topic ni mawakala wa mpesa
 
Ha ka twi mutu hapa sasa ni bukhee tuma pesa kwa sherii oho sherii.

====================
Ukipata Ujumbe wa Chuki Matusi Futa Delete Kabisa.
====================
 
Back
Top Bottom