Nice thinking. wachache sana wenye ufikir huru kama wewe. Cha msingi tambua hakuna tajiri aliyeajiriwa hapa Duniani. .moja kati ya njia za kuongeza kipato ni kuacha kazi ya kuajiriwa. Big up to u. umefikir nje ya box. Mchukie Boss ona yeye ndo amefifisha ndoto zako,ametumia muda wako kama mkanda...
Elimu haitafuti utajiri kaka. Naona bado hujaelewa matumizi ya elimu. Ipo hivi elimu ni kitendo cha kimbadilisha mtu kifikra, kimtazamo,na kimrithisha tamaduni njema kutoka kizazi kimoja hadi kingine. katika fasili yangu kama nimegusia uhusiano wa elimu na utajiri fasili yangu haifai kusikilizwa...
Dah kweli watanzania bado sana. Unajua kuna watu wanaaibisha sana wasomi. Wewe ni moja kati ya watu wanaokamilisha dhana ya ujinga wa kasumba ya kuwa ukisoma UDSM unakuwa intellectual non sense. Nimefundishwa sana na walimu kutoka huko. Wengi wao wanapenda sana kujisifia kama walivyo Profesa...
Akili kubwa haiwezi kutawaliwa na akili ndogo. Kwanza umesema upo home tena mwenyewe unasema huyo jamaa anakulipia kodi halafu kila ukihitaji kupigwa mambo anakutumia nauli. Hujui unachosema na kwa haraka wewe hufanyiwi hivyo ila unawaza kwa mfano ikiwa hivyo. Ahahahahaaaa
Unajitamanisha nyau wewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.