Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo kikuu anaweza kuwa profesa?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,463
25,381
Wakuu hivi mfano mimi nilikuwa nafanya research yangu tangu nipo nasoma sekondari na nimekuja kukamilisha katika ngazi ya chuo mwaka wa kwanza na nikaiwasilisha na ikapitishwa je naweza kutunukiwa cheo cha uprofessa?
 
Katika kila ngazi ya elimu huwa kuna research. Sasa hiyo ulonayo kama uko degree level basi itakusaidia kupata shahada yako.
 
Kwa nini?

Mbona kikwete alitunukiwa cheo cha udokta ingawa hajafikia levo hiyo?

Many institutions, public and private, recognize individuals who make notable contributions to society by awarding them honorary doctorate degrees. Distinguished philanthropists, musicians, politicians, authors and scientists often receive acknowledgment for their exemplary accomplishments and achievements that serve a greater good.

Swali lako la kwanza; jibu ushapewa.
Unahitaji qualifications tosha ndio uwe Prof.
 
Wakuu hivi mfano mimi nilikuwa nafanya research yangu tangu nipo nasoma sekondari na nimekuja kukamilisha katika ngazi ya chuo mwaka wa kwanza na nikaiwasilisha na ikapitishwa je naweza kutunukiwa cheo cha uprofessa?
Somasoma walau hata phd mkuu utaipata ya kihalali ili ukitaka njia za panya kuwa ingia kwenye si hasa! Au usanii wa bongo
 
Unaweza kuwa professa wa kwaza bila hata ya PHD Kwa njia zifuatazo
1.azisha mgomo hapo chuo
2.pata sup kama 6
3.fanya fujo
4.kuwa na ma GF kama 8
5.usiwe unaenda darasan nenda hostel ulale
UKIFANYA HAYO UTAKUA PROFESSA WA KWANZA NGAZI YA CHETI NA PIA UTAKUA "ANFORGETABLE"
 
Back
Top Bottom