Elimu ya juu huleta umasikini

Elimu ya juu huleta umasikini

Lengo la elimu katika jamii ni nini? Miafrika kweli ndivyo tulivyo! Hatujui elimu hii tuliyoletewa na wazungu ina lengo gani. Mbona waliotuletea wenyewe wanaitumia vizuri?

Kama lengo lako la kwenda shule ni kutajirika basi unapoteza muda. Acha hata leo anza ujasiriamali. Lakini kama lengo lako kwenda shule ni kujipatia maarifa anuai kuhusu mambo mbalimbali hapa duniani na kukufanya uishi vizuri (hata kama siyo tajiri) basi nenda shule.

Wenzetu Ulaya kule siyo ajabu kumwona msomi profesa akienda kazini kwa baiskeli. Na ukiulizia utaambiwa profesa huyo pengine ndiye aligundua nadharia hii au ile. Kwa wenzetu usomi ni kurithisha mawazo yao kwa kizazi kipya na kuchangia knowledge kwa kizazi kijacho na ubinadamu kwa ujumla. Sisi ni kutajirika. Na tofauti hii ndiyo inayoitafuna Afrika kiasi kwamba hata wasomi wetu tunaona hawana faida kwa sababu wako bize wanatafuta utajiri. Watafanya utafiti lini? Wataandika mawazo yao lini? Watagundua vitu vipya lini? Watatoa mchango wao katika kuendekeza ujuzi wa binadamu lini? Afrika - bara la giza!!!
 
Nimekuwa nikijiuliza Mara nyingi kuwa elimu inayotolewa nchini Tanzania hulenga nini na ni faida kwa nani? Sio Siri imechukua muda mrefu kutambua kuwa elimu ya Tanzania hususani ya juu huwapoteza watu katika direction ya maisha. Serikali ingeweka mfumo ambao mtu akisoma awe na uwezo wa kuajiriwa na kujiajiri pia tofauti na ilivyosasa.

Mtu anamaliza chuo kikuu akirudi mtaani hana tofauti na yule aliyekomea la saba labda tofauti ya kuvaa yaani msomi atakuwa anamodoa nguo zake lakini wa la saba anavaa kipapaa.

Wale ambao wameajiriwa ni watumwa, mfano mwalimu anakipindi kimoja kwa wiki lakini analazimika kuhudhuria shuleni muda wote wa kazi yaani SAA 7:30 mpaka 3:30 harusiwi kutoka njee ya kituo cha kazi kufanya Mishe zake.

Umewahi sikia kuna mwalimu tajiri? Umewahi sikia kuna nurse tajiri? Umewahi sikia kuna askari tajiri? Umewahi sikia kuna dactari tajiri? Utajiri umeumbwa kwa ajili ya nani? Kwanini ung'ang'anie kutafuta ajira? Watu wamekuwa wakisoma ili wapate makaratasi(vyeti) bila kujua makaratasi hayo yanamchango gani kimaisha.

TAFUTA FEDHA USITAFUTE ELIMU
Kuna madaktari na walimu matajiri....
 
mtoa mada una elimu gani?
(Nanunua kesi hii kwa hoja)

kujua elimu yake kutakusaidia nini ikiwa hujaelewa ujumbe wake?
au katika kuelewa ujumbe lazima ujue cv ya mtu?

"unaweza kumpuuza mwehu, ila kamwe usipuuze maneno yake"

akisema "nitakuua" unatakiwa ujihadhari, usipojihadhari yanakukuta mauti!

kwa mantiki hiyo angalia ujumbe na mantiki yake, usitafute kujua elimu ya mtoa ujumbe.
 
Nimesikia Chenge ana mihela Uswiss
 
Kwani watu wa kada tajwa hapo wanafanya kazi usiku na mchana ili iweje!?

Its simple wa nataka utajiri wa masese, shekeli, au visenti mkuu. Utajiri wa roho wangeenda kwa Gwajima na kuachana na kazi zao maana huo unapatakina huko.
hakuna utajiri wa theory, utajiri ni sifa inayopatikana kwa vitu halisi!
 
Unatafsiri VIP utajiri ndugu? Unadhan kua na hela ndio utajiri? Unajua kutofautisha mwenye Mali na MTU aliefanikiwa?? Unajua kuutofauyisha utajiri na mafanikio??? Labda unachanganya HIV vitu viwili
mafanikio siyo utajiri, mafanikio ni kuwa zaidi ya vile ulivyokuwa na kuwa na zaidi ya vile ulivokuwa navyo, hasa vile ulivyotamani kupata, au vyovyote bora vinavyokufanya kuwa na hatua ya kwenda mbele.

utajiri ni kuwa na mali nyingi na ukwasi (umiliki wa vitu watu na madararaka kutokana na utajiri wako)
 
Ni Tanzania pekee ambapo mtu anataka mtumishi wa umma awe tajiri kwa kutegemea ajira,.. Teh tehe kazi kwelikweli
 
Elimu haitafuti utajiri kaka. Naona bado hujaelewa matumizi ya elimu. Ipo hivi elimu ni kitendo cha kimbadilisha mtu kifikra, kimtazamo,na kimrithisha tamaduni njema kutoka kizazi kimoja hadi kingine. katika fasili yangu kama nimegusia uhusiano wa elimu na utajiri fasili yangu haifai kusikilizwa hata na kichaa. Aliyeuliza elimu ya mtoa post nafikiri alikuwa sahihi zaidi hasa akilenga namna ya kujibu hoja yake. Elimu ya juu haina maana ya umasikini au utajiri. Naona bado mtoa post anakumbuka ule mdahalo wa pesa na elimu kipi bora. Labda nikuamshe kidogo kaka hakuna sababu ya kutokwa na povu kama umekosa elimu rasmi. Namna ulivyo umetokana na elimu ama rasmi au isiyo rasmi. Katika jamii nyingi za kitanzania hasa vijijini mtu mmoja anafikiri kw niaba ya watu zaidi ya mia moja,jambo ambalo linakomaza mbegu ya umasikini. Nimeumia sana roho kuona elimu inabezwa eti kwa sababu wadau wake si tajiri. Hizo kada ulizogusa kuwa hamna tajiri wakijitenga ktk mkoa mmoja na ninyi wenye pesa kama mnavyojiita matajiri mkae peke yenu niamini mimi watu watatupa pesa zao ili wajiunge na watu wa kada ulizo gusa.
Elimu,Elimu,Elimu...............................................
 
(Nanunua kesi hii kwa hoja)

kujua elimu yake kutakusaidia nini ikiwa hujaelewa ujumbe wake?
au katika kuelewa ujumbe lazima ujue cv ya mtu?

"unaweza kumpuuza mwehu, ila kamwe usipuuze maneno yake"

akisema "nitakuua" unatakiwa ujihadhari, usipojihadhari yanakukuta mauti!

kwa mantiki hiyo angalia ujumbe na mantiki yake, usitafute kujua elimu ya mtoa ujumbe.
mkuu mbona swali rahisi lakini umelijibu kwa hisia. swali umelijibu kwa mtazamo hasi.
me nilitaka kujua mambo mawili
1.kama amefika elimu ya juu tungejadiri changamoto zinazopelekea hali hiyo.
2.kama hajafika elimu ya juu tungejadiri maarifa yanayopatikana ambayo yanasaidia katika maisha.
ni hivyo tuu!
 
Heading yako mbaya japo intention ilikua nzuri.
Me kipindi nataka kwenda chuo kuna dili nilipata nikajifanya kupiga chini eti niende chuo, aiseee nilifanya maamuzi mabovu kabisa. Nimemaliza chuo na kukutana na huyu bwana ni msoto big time.
 
Mshike sana elimu.tunasoma kuongeza maarifa sio kuwa matajiri
Ukiongeza maarifa sasa ndo inakuwa ushajibrand vizuri na kila MTU anakutaka umfanyie kazi yake inayohitaji maarifa yako.

Then automatically unajikuta umejitrap kwenye vicious circle of employed personnel and poverty. Quite different na mtu aliye na informal maarifa.

Ordinary au advanced level of education zinafaa kutolea tongotongo ikizidi hapo ujue wewe ni either utaishi daraja la kati au chini kabisa kwa akina hoehae huku ukifake maisha na technology devices.
 
Unatafsiri VIP utajiri ndugu? Unadhan kua na hela ndio utajiri? Unajua kutofautisha mwenye Mali na MTU aliefanikiwa?? Unajua kuutofauyisha utajiri na mafanikio??? Labda unachanganya HIV vitu viwili
Ngoja nikupe jibu rahisi, wanaongelea kama utajir wa bahresa vile
 
hakuna aliyesema watu wasisome. unabadilisha mada ili iweje? au na wewe ni kat ya wasom tunao ongelea?
 
Back
Top Bottom