Recent content by GH Revolution

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa 10M rehani kwa shamba 10 hekta

    Eleza utarudishaje huo mkopo, una biashara, kama una Biashara nenda Pima eneo lako nikupe hata million 20.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Hivi Procurement And Supply Management Na Accounting Ipi Inaoppotunity Kwenye Soko La Ajira..

    Kwa sasa kusoma na kuandika umemaliza kazi, kwa sasa hayo yote hayna maana maana tulisoma hizo tunachina mtaani.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Rais afungue mipaka kwa tahadhari ya njaa 2017

    Ukweli mtupu nina jamaa yangu ana mashine lakini Siku hizi anakaa hata week bila kufanya kazi, hakuna mahindi na yakipatikana ni ghali.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nadharia kuhusu chanzo na maana ya heshima ya kijeshi ya Mizinga 21

    Yale majani siyo mchicha.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Top 5 ya wasanii waliomake mkwanja mwingi kwa huu mwaka 2016

    Weka namba ueleweke mkuu, hizi story mbona hata kwenye kahawa tunapiga, ili hali tu unajua kupopoma..
  6. G

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ubabaishaji serikali imemfanyia Dangote alifikia hadi kutengeneza reli lakini imeshindikana

    Ahsante kwa kuweka taarifa sahihi mkuu.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Wakuu wa mikoa 7 wakalia kuti kavu

    Huyu Simba naamini hata yeye anatamka lakini hana way forward Juu ya nini kifanyike kupata hayo madawati. Anyway wa Simiyu tumemsikia.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Rais wa wanafunzi SUA anapotaka kung'ang'ania madaraka

    Hebu weka na picha yake mkuu ili kusudi aepukwe asijekugombea hata uenyekiti wa kitongoji, Mbali na hilo ina maana anataka kuwa rais wakati november anagraduate,
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Handeni kazi imeanza

    Picha linaendelea
  10. G

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Serikali haitaweza kukusanya zaidi ya 60% ya makadirio yake

    Jenga hoja ya kukinzana naye yeye katoa fact, kama mapato ya bandari yameshuka kwa kiasi hicho na hatuoni mikakati ya kuongeza hayo mapato, kwa vyovyote vile uwezekano wa kutofikia target upo,
  11. G

    JamiiForums Tanzania Karibu upate msaada na kufungiwa dripe

    Ndo utupe mchanganuo wa bei mkuu, na maelezo zaidi. Hiyo drip line inacontain vitu gani zaidi
  12. G

    JamiiForums Tanzania Diamond amkabidhi Makonda madawati 600 kwa ajili ya shule za jijini Dar es Salaam

    Binafsi nimependezwa sana na hilo keep, ndo baraka zenyewe hizo
  13. G

    JamiiForums Tanzania Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    Chief nimekuelewa vizuri mno and being interested, naomba nutumie hiyo package including cost kwenye email stephenndezu@gmail.com
  14. G

    JamiiForums Tanzania Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    Safi sana mkuu, naulizia semina ni lini, I wish kupata information zaid maana nimekuwa inspired sana
Back
Top Bottom