napenda
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 485
- 90
GREEN HOUSE
Hebu piga hesabu vizuri 1/8 ya ekari ni 500mita za eneo sawa na 50m*10m au 25m*20m. sasa wewe unasema 8m*15m =120mita za eneo hii sio 1/8mkuu kwani ekari ina 4000mita za eneo rekebisha hapo. pia nisaidie tank la lita500 linamwagilia mda gan kwenye vipimo vyako vya 8*15 likiwa limejaa? pia 8*15 idadi ya miche ni mingapi?
Mleta mada, taarifa hii ni ukweli mtupu, data zako ni za biaphara haziko sahihi umezizidisha mara nne, zinatakiwa uzigawe kwa nne ndio zinakua sawa, muache kudanganya, tunashidwa kuwaamini, nyie mnawaza kuuza tu