Kwa kweli inasikitisha sana kwa rais wa wanafunzi SUA anapopanga kulazimisha kubakia katika madaraka japo muda wake kimasomo umemalizika. hii imetokana na yeye kwa kushirikiana mshauri wa wanafunzi wamejaribu kuizuia tume ya uchaguzi ya wanafunzi iliyochaguliwa na bunge la wanaSUA (USRC) kwa kigezo cha kutumia mgogoro wao kati yake na ofisi ya bunge.
inasemekana alipandikiza mtu wake katika tume japo tume ilitoa majina 5 waliopita awali kisha wakagundua jambo na kurudisha wagombea wote 9. kwa kuwa mpango wake uli fail, akaamua kumshawishi dean of students kuzuia tume kuendelea na shughuli za uchaguzi. ni miezi kadhaa sasa imepita tume haijatoa taarifa rasmi ya ni lini uchaguzi utafanyika. hata hivyo wanachuo wanamalizia mitihani yao wiki hii ambapo wataondoka kwenda field. kwa tetesi zilizopo ni kwamba Mr. Ndunguru (rais) ataendelea kuwa katika nafasi hiyo hata kama amemaliza masomo yake maana yeyey ni fainalist kwa sasa. je, nani atawakilisha wanafunzi katika vikao mbalimbali?? je, anang'ang'ania ili iweje? maskini wana SUA hawafahamu mabo ya migomo ni shule tu. hivi sio jambo la muhimu serikali ya Jamhuri kuingilia kati haki za wanafunzi hawa waungwana kunyang'anywa hivi hivi? NDUNGURU ANAKUWA NKURUNZIZA LIVE WA SUA. anapenda madaraka japo hajui Utawala.