Recent content by gesundheit

  1. gesundheit

    WHO yatoa wito wa kuongeza Ushuru kwenye Vilevi ili kupunguza Vifo vya Watumiaji

    Kwani tukifa wao WHO wanapungukiwa nn? Hatuishi milele, watuache tufurahie maisha, life is short!
  2. gesundheit

    Naomba kufundishwa namna ya Kutongoza Mwanamke

    Hivi bado kuna kutongoza hadi siku hizi? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. gesundheit

    Special thread : Messi Magics

    Messi kitu ingine aisee,asifananishwe na vitu vya kijinga Sent using Jamii Forums mobile app
  4. gesundheit

    Polisi wavamia Tallying Center ya UKAWA na kuizima

    Damu itamwagika!ccm fojini tu hilo goli la mkono muone!
  5. gesundheit

    Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    asilete upuuzi huyu kifaranga,tutamfinyanga!!ohooo!!!
  6. gesundheit

    Tunawasubiri CHADEMA mje na sababu zenu Igunga!

    ccm bila wizi haiendi!angalieni sana ccm mnaojidhania kuwa mmesimama sasa kwani ipo siku mtaanguka kwa kishindo!
  7. gesundheit

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    I completely hate what is being done to Ghaddafi,he has done alot but kweli binadamu hatuna shukrani. To hell all waasi,i hate u!!!
  8. gesundheit

    Ajali ya Meli: SMZ yakataa misaada ya VODACOM

    Ni kweli walichokifanya voda si kizuri na wanapaswa kujifunza kutokana na hilo!kv vp wote wenye laini za voda tususie kwa siku tatu ili wajue kuwa tuko msibani.
  9. gesundheit

    MSAADA: Mpenzi wangu ananisachi!

    inaonesha hakuamini>embu mjengee imani akuamini,otherwise ana wivu kupindukia,muonye!!!
  10. gesundheit

    What was my mistake?

    teh teh!labda aliona dudu kubwa akaogopa na kuanza kulia na hatimaye kukuacha kbs la sivyo yangemkuta ya kumkuta au kukimbia na kufuli mkononi na ndo maana ameamua aachane na wew kbs!!!
Back
Top Bottom