Recent content by Georgemotika

  1. G

    Nape: Wapinzani ni failures!

    Jamani uyo ni vuvuzela ajiulize kwanza wakati Wa ufisadi ulipoanza lowasa alijiuzulu uwaziri mkuu baadae Kamati kuu ya cc ikakaa wakaamua wavue gamba wote waliousika akiwemo rostam ,chenge na lowasa wakimaanisha wajiuzulu nafasi zao zote ukiwa na ubunge rostam akaachia wengine ikashindikana...
  2. G

    Hivi Mawaziri waliovuliwa Uwaziri Watalipwa Mafao Yao?

    Abari ya kulipwa atutaki kusikia kwanza waachie wadhifawao mpaka ubunge alafu wakutane na vyombo vya Sheria wanazo pesa nyingi sana.
  3. G

    baada ya lema kuvuliwa ubunge mikutano ya kimataifa yarejea arusha

    Aijalishi kwani ndo wamemzuia kwa harakati iyo mikutano hatujui tunanufaika nayo vipi.Kwanza likizo ya Kamanda lema Ina maana sana katika mageuzi ya kidemokrasia tumuombee afya njema na maisha marefu.Kwani bado tunamuitaji awe kiongozi wetu na Kama lema alisababisha mikutano isifanyike basi lema...
  4. G

    January Makamba atoswa uwaziri

    Ni ivi atakama anao uwezo Aruba Imani nao tena
  5. G

    Hukumu ya Segerea Watanzania tumejifunza nini?

    Sikilizeni jamani uozo Wa mahanga unajulikana na hao wasimamizi walitangazaje matokeo kabla ya vituo vyote kuwasilisha kura zote inamana walishaona mahanga kapigwa na M .Zoe sasa Kama kweli hakimu ameona mkurugenzi na msimamizi wanatakiwa kukupa garama za kesi basi uchaguzi huo haukuwa Wa haki...
  6. G

    Rais wangu JK usimchague Makongoro kwenye baraza jipya, atakuchafua

    Ni ivi ata akipewa uwaziri mwisho wake 2015 .
  7. G

    Mizengo Pinda aomba kujiuzuru

    Jamani CAG nendeni kakagueni malaka ya hifadhi ya Ngorongoro kuna ufisadi Wa hatari.
  8. G

    Mizengo Pinda aomba kujiuzuru

    Bora apumzike kwani keshapoteza mvuto utendaji wake sio mbaya lakini nashauri kabla hajaachia ngazi CAG imkague kwanza aiwezekani matrilion zote izo ziliwe alafu wizara yake isifahamu never Brother UTOH kamata mwizi Men.
  9. G

    Mizengo Pinda aomba kujiuzuru

    Bora apumzike Hana mvuto Tena lema alimkosakosa bungeni kwani Hana maamuzi kwa sababu ya upole wake pumzika baba . 20: ..Kuna uvumi umeenezwa kuwa Waziri Mkuu ameomba kupumzika asiwemo katika Baraza jipya (linalosukwa upya). Inadaiwa kuwa Mzee Pinda amesisitiza kuwa asifikiriwe kuendelea...
  10. G

    Makongoro Mahanga Kusema tujiandae kushangilia tarehe 02/05/2012 tafsiri yake nini?

    Kwanini watanzania tunakuwa wapole kila kukicha huyu mahanga kashindaje hii kesi wakati alikuwa tayari ameshaiba kura
  11. G

    Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    Tafadhalini tujuzeni yanayojiriri uko mahakamani au wameairisha iyo hukumu?
  12. G

    Wabunge chadema tafuteni ufadhili mtimize ahadi zenu..!

    Wewe nadhani unayako miaka amsini ya uhuni magamba wameaidi mangapi.Kwanini wao wasitimize walio aidi mwenyekiti Wa Ccm ametoa ahadi zaidi ya sabini na Saba Leo ziko wapi serekali imekuwa ya mafisadi ivi wewe aikuumi wadogo zako wanatembea peku kwenda shule mi nadhani wewe kwenu mboga Saba ugali...
  13. G

    Nanyaro: James Ole Milya sahau kabisa uongozi ndani ya Chadema

    Kamdanda nanyaro waambie ukweli
  14. G

    Maandamano viwanja vya mnazi mmoja kila Ijumaa kuanzia 27/4/12

    Ni heri vita inayotafuta haki na usawa kuliko Amani inayopumbaza na kudhalilisha utu Wa mwanadamu
  15. G

    Mtaalamu wa uchumi (CCM) apigia chapuo sera ya CHADEMA ya serikali ndogo

    Huyu jamaa naisi katumwa sasa msichangie hoja yake mtampa mailej sana wakati hastaili asiejua maana msimwambie kwanza namshangaa sana hii Nchi si ya Ccm ni ya watanzania wote.
Back
Top Bottom