Rais wangu JK usimchague Makongoro kwenye baraza jipya, atakuchafua

Hawezi kusikiliza kilio chako kwa sababu yeye ndo alie-play kufanikisha ushindi wake...!! Angetaka hivyo wala asingejaribu kumsaidia kushinda kesi yake
 
Huyu ni mmojawapo kati ya wale waliosema Lowasa akivuliwa gamba wanaondoka naye. Akirudishwa kwenye baraza nitashangaa sana.
 
Kwan Baraza kuu limekubali Jakaya ndo Rais? Maana kama mnalalamika Bin Mrisho nae aliiba kura iweje mpeleke malalamiko ya mwizi wa kura za ubunge kwa mwizi wa Kura za Urais?

Umeuaaa!
Teh teh teh. Kesi ya nyani umpelekee tumbiri?
 
Jamani kesi imeisha na mshindi ni mahanga msipoteze muda kujadili majungu.....anyway ushauri utasikilizwa lakini maamuzi ni yake mwenyewe kwA mujibu wa katiba ya JMT
 
Jamani kesi imeisha na mshindi ni mahanga msipoteze muda kujadili majungu.....anyway ushauri utasikilizwa lakini maamuzi ni yake mwenyewe kwA mujibu wa katiba ya JMT

Hakuna anayejadili hukumu ya Mahanga kwamba ni batili au si batili, swala la msingi ni mtazamo wa watu juu ya ushindi wake ni bora ukapewa kipaumbele.
 
Jamani naomba mjijuze nackia jaji wa awali wa bwana mahanga alijitoa baada ya kupata shinikizo la kubadili hukumu je! hii ipo sawa kwa wanao lijua hili yafadhali then tuendelee na mjadala tutakuwa tumepata jibu
 
Back
Top Bottom