Recent content by geophrey140

  1. geophrey140

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The best smartphone 2017... Samsung galaxy S8

    kwa maono yangu iPhone iko poa zaidi kwasababu ni simu yenye ubora zaidi kwa sababu operating system iko tofaut sana ,ila tatizo haipo compatible na maisha ya kibongo app nzuri unalipia pia ipo compatible na PC kwenye kuingiza baadh ya vitu
  2. geophrey140

    JamiiForums Tanzania Itifaki ikoje kati ya Mkuu wa Mkoa na Makamu wa Rais katika kufika sehemu?

    nasikia sikuiz baada ya jp ni RC
  3. geophrey140

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Mwalimu

    NI LAKI 750
  4. geophrey140

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watoa sauti ya Hussein Bashe akiwahimiza makada wa CCM wawapige CHADEMA kwani mahakama na polisi ni za CCM

    hivi hawa viongozi wana jijali wenyewe tuuu .....MUNGU ANA WAONA
  5. geophrey140

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Asubiriwa Kwa Hamu Nairobi

    mungu ibariki tanzania mungu ibariki afrika
  6. geophrey140

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The best smartphone 2017... Samsung galaxy S8

    honest huawei mate 10 pro ni the bst wanajua sana nime kuwa mpenz wa mate series wako vizur japo napenda os ya iphone
  7. geophrey140

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuanzisha Biashara Ya Kufuga Kuku Yenye Mafanikio

    Tanzania ni nchi yenye walaji wa nyama wengi na kuku huliwa kwa kiasi kikubwa sana. Hata kama bei zinapanda, ulaji unaendelea kukua. Matokeo yake ni kwamba kufuga kuku inaweza ikawa biashara yenye faida kubwa kwako kwa kuwa yanahitajika kwa wingi. Kwa nini ufugaji wa kuku inafaida sana...
  8. geophrey140

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    mpooo like ni like txt ako
  9. geophrey140

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe asema CHADEMA haitatetereka kwa wanachama kuondoka

    Kwa ufupi Amesema kuna mkakati mkubwa unaotumia fedha unaofanywa kuwalaghai viongozi na wanachama wake kukihama chama hicho.
  10. geophrey140

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo wanawake wanaopaswa kudai haki sawa

    huu msemo wa haki sawa ita fatana una utumia wapi .....hakuna haki sawa hapa duniani ...una enda hospitali mzee ana pewa kipao mbelee kuna usawa au ni hekima hutumika na sio usawa
  11. geophrey140

    JamiiForums Tanzania Wachaga na Escudo/Rav 4 Model za zamaniii..T 107 A..

    k kwenye escudo hapoo
  12. geophrey140

    JamiiForums Tanzania Makonda aongeza saa moja katika usiku wa tigo fiesta Dar

    nakupenda sanaaa RC.makonda kwa kuwa kiongozi mwenye misimamo yako
  13. geophrey140

    JamiiForums Tanzania Josephine Mushumbusi: Hongera Patrobas, Mwenye chama angegundua unahama CHADEMA, tungekusoma kama Ben Saanane

    siasa ni mchezo mchafu (shamba la bibi)
  14. geophrey140

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wa JF na facebook ni wachovu tofauti na wanaume wa mitandao mingine

    hivi huwa watu wanafikilia nini humu ndani au wana hisi tupo kwenye mitandao ya kuwekaweka ujinga .......
Back
Top Bottom