Inategemeana , na bodi ya mikopo ulipoBasic salary for degree holder is 716,000/=
Take home 540,000/=
Hapana mkuu watanzania wengi tunapenda mizaha mpaka baadhi wamekuwa wajinga sasa,, MTU ambaye ana degree hana tofauti na mtu ambaye hajui hata " a"Yaani mkuu watu wana hasira, wanakosa pa kuzitua
Dah! Yaani itafikia hatua watu wataogopa kuuliza maswali ama hata kuomba ushauri humuHapana mkuu watanzania wengi tunapenda mizaha mpaka baadhi wamekuwa wajinga sasa,, MTU ambaye ana degree hana tofauti na mtu ambaye hajui hata " a"
Sasa mkuu hizo sijui tgts one mara tgts d ungeweka amount kabisaMwalimu wa primary...Ni Tgts B1, wa sec. kama ni diploma Tgts C-1, kama degree ni Tgts D-1 hiyo ni kwa anaeanza kazi.
Yaani mkuu humu hatufamiani lakini bado panahitaji roho ya chuma! MTU akiwa na roho nyepesi anakata tamaa kabisa, na mkorofi atawashushia matusi ya kutosha.Mtu anauliza swali kwa nia njema , ila watu wanaanza kumshambulia kama ilivyotokea kwangu yaani wala Sina hata hamu ya kuulizia
23%+15% ya loan board=38%Duh kazi ipo! 23% yote inaondoka
JF sometimes watu wana hasira sana mpaka unajiuliza.Je hawa ndo Magreat Thinker?Mtu anauliza swali kwa nia njema , ila watu wanaanza kumshambulia kama ilivyotokea kwangu yaani wala Sina hata hamu ya kuulizia
Punguza jaziba mkuu, increment ya 7thousands tayarUKISHAJUA ????!!!!!
Wanapata pesa safi tu si tofauti sana na kada zingine, lakini wanaongoza kuishi maisha ya kimasikiniBasic salary for degree holder is 716,000/=
Take home 540,000/=