The best smartphone 2017... Samsung galaxy S8

The best smartphone 2017... Samsung galaxy S8

hizo zote tatu ni high end phones na zote ziko vizuri kwa upande wa specs...ila kilichonifanya kuiweka lg v30 kuwa ya kwanza ni jinsi walivyoweza kuoptimize matumizi yake ya battery...ukichunguza video nyingi zinazo onesha battery drainage comparisons kati ya hizo simu hapo juu lg v30 imekuwa ikishika no 1...

S8 nimeiweka ya pili kwasababu ya designing yake plus specs ,ijapokuwa kwa specs hawajaachana na v30..designing iliyonivutia ni jinsi walivyoweza kuzipunguza zile bezels bila kualter performance yake.

google pixel 2 XL nimeiweka ya tatu kwa ajili ya camera , S8 iko poa kwenye camera ila kwa selfie hamgusi huyu jamaa. (waweza fuatilia comparisons zilizoko mtandaoni ujionee hizo picha zilizopigwa na hizi simu)...

ONE plus 5T nimeikubali cuz haiko kwenye makundi ya price ya hizo simu tatu nilizozitaja hapo juu ila inakupa specs na performance karibia na hizo hapo juu naweza sema kwa asilimia 88% - 94% ....hata pia nashangaa kwanini mtu anachanganyikiwa na iphone X wakati hata huyu ONE PLUS 5T anaweza kupa performance nzuri kuliko iphone X ....

binafsi naona ni kejeli kufananisha (S8 , google pixel 2 au lg v30) na iphone X

mtazamo tu , sio sheria.
Mkuu hii ONE PLUS 5T mpya kwa bongo naweza pata kwa shs ngapi na maduka yapi?
 
Mkuu Mimi sijatoa hoja kwa mapenzi binafsi nimetumia reference ya tech radar ambayo pengine ni reliable kuliko wengine labda mkuu Chief-Mkwawa atuambie kwake ni forum ipi ipo more accurate
Mkuu hii tech radar naisikia leo ngoja nijiridhishe na gsm arena maana naikubali sana ktk haya mambo ya uchambuzi wa simu
 
Mkuu hii ONE PLUS 5T mpya kwa bongo naweza pata kwa shs ngapi na maduka yapi?
imezinduliwa juz juz tu ndugu yangu, binafsi bado sijafanya utafiti kibongo bongo inapatikana wapi..ila kuna wadau hapa waweza kuwa na insight ya upatikanaji wake...brother Lusungo msaaada tafadhali .
 
Mkuu nami sifahamu na hata kwenye sites za nje sizioni naona mzigo bado haujaingia sokoni
 
honest huawei mate 10 pro ni the bst wanajua sana nime kuwa mpenz wa mate series wako vizur japo napenda os ya iphone
 
usifananishe IOS na vitu i
vya kijinga Android Security ipo chini sana hata Camera Quality Samsung ni hewa kabisa Samsung kwa jina lingine ni simu za wadada Selfie ina filter zakutosha halafu simu Android ukinunua leo after 2 Years imepitwa na wakati tofauti Iphone 5s mpaka now inapokea Latest Ios Version
 
hata Ram na Processor za Android ni hewa simu ina Ram mpaka 6 Gb unanunua simu ina Apps 60 ya nini Iphone hakuna huo ujinga
 
umeishawahi kuona kuna mdada kapiga selfie chooni na samasung,jibu unalo ni simu gani zinapendwa na wadada na zinawapendeza.
 
hata Ram na Processor za Android ni hewa simu ina Ram mpaka 6 Gb unanunua simu ina Apps 60 ya nini Iphone hakuna huo ujinga
Ios flagship 2017 ina ram 3gb yanini wakati hata 1gb ya ios ni efficient???

12mp za camera za nini wakati 5mp ni safi tu??

Android ni simu kubwa sana.haiwezi pewa 6.2 inch display na ram ya kichovu.
 
Mkuu hii ONE PLUS 5T mpya kwa bongo naweza pata kwa shs ngapi na maduka yapi?

imezinduliwa juz juz tu ndugu yangu, binafsi bado sijafanya utafiti kibongo bongo inapatikana wapi..ila kuna wadau hapa waweza kuwa na insight ya upatikanaji wake...brother Lusungo msaaada tafadhali .

Mkuu nami sifahamu na hata kwenye sites za nje sizioni naona mzigo bado haujaingia sokoni
Nimeibamba kwa hawa jamaa huko zoom...

One Plus 5 in Tanzania | ZoomTanzania
 
umeishawahi kuona kuna mdada kapiga selfie chooni na samasung,jibu unalo ni simu gani zinapendwa na wadada na zinawapendeza.

baada ya kuona samsung ni hewa wanahama taratibu nimetumia S7 edge ni hewa kabisa bora hata Iphone 6 hamna kitu
 
baada ya kuona samsung ni hewa wanahama taratibu nimetumia S7 edge ni hewa kabisa bora hata Iphone 6 hamna kitu
Iphone 6 iwe bora kwa s7 unaota wewe.

Embu weka hata kigezo kimoja ulichokitumia.
 
samsung inakuja na accessory inaitwa dex, ni kikalio ambacho unachomeka simu yako na kukuwezesha kuitumia simu kama desktop.

au-feature-ee-mg950-dex-station-68128014

hii dex unaiconect na display yoyote ya kisasa inaweza ikawa monitor au TV, hio display itageuka na kuwa desktop computer.

mwanzo ilikuwa inarun android tu ila sasa hivi samsung wanaongeza na linux distro.

kama una kazi ya kuchapa kwa simu inakuwa ngumu unaweza tumia keyboard na mouse na tv yako nyumbani ukachapa kazi yote hadi ikaisha.
price please! je bongo zipo?
 
Back
Top Bottom