Recent content by Genghis Khans

  1. Genghis Khans

    JamiiForums Tanzania PICHA: Majadiliano kati ya Tanzania na Barrick Gold yaendelea

    Inaonekana tanzania wametuma mwakilishi mmoja tu. The professor . Team imekamilika wataleta hata watu mia lakini prof wetu yupo fit sana.
  2. Genghis Khans

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Magufuli hakuhudhuria kuapishwa kwa Rais Kagame kule Rwanda?

    Watanzania tupo negative sana. Kwani comment nyingi vinamkashifu JPM kwa kutokwenda Rwanda. Tunashindwa kufikiria positive side ya kwanini ameshindwa kwenda Rwanda.
  3. Genghis Khans

    JamiiForums Tanzania Nani atampa Mbowe vibali vya mikutano ya siasa ya hadhara mikoani?

    Nathani anataka kupimwa mkojo kamanda. Watakuta mbege ya kutosha kwenye mkojo.
  4. Genghis Khans

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Uhamiaji Waziri Mwigulu amechemsha sana! Imemshinda kazi!

    Tanzania tunakabila la kisomali? Kwa mwendo huu tunaongeza kabila la wachina na wazungu vilevile
  5. Genghis Khans

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

    Speed ya JPM inamsumbua Lissu. Anatafuta msaada wa kumsimamisha .
  6. Genghis Khans

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Polisi Wameua majambazi sita

    MM nashanga sana kuona Adui amenzungukwa halafu inatokea wengine wanatoroka. Inaonyesha police wetu sio makini wakati wa pigano na adui. Kuna room of improvement wajifunze kutokana na makosa wanayofanya mpaka adui anatoroka.
  7. Genghis Khans

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli nakujuza, usishushe upanga uliopewa na watanzania

    Nathani CCM wameanza mchakato wa kuanzisha chuo cha leadership. Nathani kitatoa viongozi watakao weka maslahi ya nchi kwanza.
  8. Genghis Khans

    JamiiForums Tanzania Wanahabari Wakimfuata Nyuma Mwanasheria Mkuu Wa Zamani Andrew Chenge Kutaka Kumhoji

    Huyu jamaa alitakiwa awe gerezani.
  9. Genghis Khans

    JamiiForums Tanzania ACACIA waweka ushahidi hadharani kwa kampuni yao kusajiliwa nchini

    Fake licence. Unaweza kukuta wamepigwa kama vyeti fake
  10. Genghis Khans

    JamiiForums Tanzania I need a boyfriend

  11. Genghis Khans

    JamiiForums Tanzania Mwl mwenzangu anataka mume

    Upo serious njoo private.
  12. Genghis Khans

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli ateua Naibu Magavana wawili wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT)

    Naona Gavana wa benk kuu anaondolewa soon
  13. Genghis Khans

    JamiiForums Tanzania Harmorapa kajiunga Freemason?

    Nikuuliza kunamtu anajua maana ya Freemanson? Ningependa kwa mtu ambaye anajua anachoongea siyo uliyosikia kwa mtu au watu. Kwani wengi wetu tuna upotofu fulani kuhusu hawa jamaa wa Freemanson.
  14. Genghis Khans

    JamiiForums Tanzania Barrick Gold Corporation yailiza Serikali ya Pakistan

    Hawawezi kutupeleka mahakamani, sio wajinga hivyo. Ngojea tuone mwisho wa hii movie.
Back
Top Bottom