Recent content by General Yankyu

  1. General Yankyu

    JamiiForums Tanzania Matukio ya Mapinduzi barani Afrika ndani ya Mwaka 2021

    Sema hiyo haitasaidia kama wameamua kupindua watapindua tuuu... Alpha Conde alimuamini sana doumbouy kwa kuwa tayari naye alikuwa ni wa kabila moja na wanatoka sehemu moja ya kuzaliwa na mbaya zaidi alimwezesha kupata mafunzo mengi zaidi akiamini kupitia yeye ulinzi utakuwa madhubuti mwishowe...
  2. General Yankyu

    JamiiForums Tanzania Msumbiji: Kambi ya Wapiganaji yasambaratishwa

    Akumbuke pia Tanzania kitovu cha kushukikia masuala ya ulinzi
  3. General Yankyu

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Taliban yawataka Wanawake wanaofanya kazi kubaki Nyumbani

    Pengine wanataka kurejesha sheria zao za kipindi cha nyumba kabla ya wao kusambaratishwa na wa Marekani
  4. General Yankyu

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa zamani wa Bolivia ajaribu kujiua akiwa Gerezani

    Duuu, huyu si raisi ambaye wali fremu video ya ngono bayo ilisambaaa sana baada ya kuingia madarakani
  5. General Yankyu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mama amzika mtoto wa siku moja baada ya mumewe kumlaumu kuzaa nje

    Roho mbay iliyo pitiliza
  6. General Yankyu

    JamiiForums Tanzania Shambulio la Mogadishu: Vikosi vya Somalia vyazima shambulio baya katika Elite Hotel

    Hawajamaaa, si dhani kama watakuja kumalizika looh! * wasio na hatia ndio wanaoteketea zaidi
  7. General Yankyu

    JamiiForums Tanzania Kila mtoto chini ya miaka 18 kusafirishwa kutoka eneo moja kwenda jingine kwa kibali cha mzazi na cha Serikali ya mtaa

    Nafikiri wew hujamuelewa vizurimie nimemuelewa alisema maa ana maanisha kwamba , ikiwa mtoto anasafiri yeye mwenyewe bila uwepo wa mtu mzima ndio itahitaji kibali cha mzazi na serikali za mtaaa. Vinginevyo hayo ni mawazo yako tuu na huo mfumo ulikuwepo sana miaka ya nyuma sema kwa kipindi cha...
  8. General Yankyu

    JamiiForums Tanzania RC Shigela: Marufuku Mtanzania kupimwa Corona nchini Kenya kama ukishapimwa Tanzania. Itawaletea matatizo ya ubongo

    Uamuzi mzuri lakin lazima akutane na wa upande wa pili sasa.
  9. General Yankyu

    JamiiForums Tanzania Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

    Sijawahi kwenda kuangalia mpira uwanjani licha ya kukaa hapa DSM licha ya kukaa hapa jirani na uwanja wa taifa
  10. General Yankyu

    JamiiForums Tanzania Mjue Vice President wa Makampuni ya Alibaba Duniani: Judy Wenhong

    Hahaha eti kawa mwanaume
  11. General Yankyu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli lipa Mafao ya Wastaafu kabla ya Uchaguzi Oktoba 2020

    Wawaone huruma hawa Wazee aiseee
Back
Top Bottom