Recent content by gateway

  1. gateway

    JamiiForums Tanzania Blood groups: Differences and conspiracy theories, ukweli ni upi?

    ma group makuu yapo matatu,A,B,O.KATIKA MUUNGANIKO NDO TUNAPATA A,B,O,AB,AO,BO,HIVYO BASI KAMA BABA NI B+ NA MAMA NI O+,MTOTO ANAWEZA KUWA B+,O+ AU Bo.
  2. gateway

    JamiiForums Tanzania Nigeria rejects Boko Haram prisoner swap for hostage schoolgirls

    mkuu,katika maswala ya kiusalama na hasa yanayogusa maisha ya watu,ikiwa na maana kwamba yule unayenegotiate nae ana uwezo wa kuyafanya chochote maisha ya watu anaowashikilia huwa hatutumii maneno HAPANA au HAIWEZEKANI.haya ni maneno ambayo ni mwiko kumwambia gaidi au mteka nyara.huwa...
  3. gateway

    JamiiForums Tanzania wa hivi wako wengi,ni basi tu.....

    ukikutana nae mtaani hataki hata umsalimie,ukimuhonga buku ten anasema sio hela....
  4. gateway

    JamiiForums Tanzania New Boko Haram video emerged

    kweli,muddy aliacha msala.....
  5. gateway

    JamiiForums Tanzania Getrude Mongella amvaa Rais Kikwete

    hiyo ndo yenyewe mkuu
  6. gateway

    JamiiForums Tanzania Kampuni hizi za Mabasi vipi?

    ngoja wataalam waje
  7. gateway

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa chuo apoteza maisha chumbani kwa mpenzi wake wa kiume alipokuwa anatoa mimba..!

    ngoja akamnyonyeshe mwanae aliyekuwa anataka kumtanguliza
  8. gateway

    JamiiForums Tanzania Getrude Mongella amvaa Rais Kikwete

    hizi kelele nishazichoka,wakiwa kwenye system kimya,wakitoka ndo makalele kibao,mmmanina...wakafie mbele huko
  9. gateway

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waifu ananitegea!

    hahahaha,kwanza akaunt yangu haijui na hajui kama nina akaunt jf,nilichomuaminisha ni kuwa hii ni blog ya habari tu so huwa naingia huku kusoma habari.vimbwanga vya huku havijui kabisa so kunishtukia itakuwa ngumu
  10. gateway

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanga Yavunja Rekodi za TACAIDS!

    unaepukika,ni juu yako mwenyewe kuuepuka au la
  11. gateway

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemuacha rasmi leo!

    una leseni ya u dereva?
  12. gateway

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania X wangu kaniambia nimemroga!

    dah aisee,kumbe uchawi upo wa aina nyingi hivi?na wachawi wengine wamo humu humu jf
  13. gateway

    JamiiForums Tanzania Kashakamatwa....hapo hatoki

    hapa lazima limbwata linahusika.naamini aliyemkamata yumo humu humu
  14. gateway

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waifu ananitegea!

    aisee,kweli we ndege tausi
  15. gateway

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waifu ananitegea!

    hiyo hana wala hatoi.
Back
Top Bottom