Blood groups: Differences and conspiracy theories, ukweli ni upi?

Aisee jf ni bonge ya darasa, ok @watu8 nami niambie, mie ni group O+ na mume wangu ni B+ watoto watakaozaliwa hapo watakuwa na group gani?
Cis AB is a rare ABO Blood group antigen genotype which is phenotypically almost the same as AB.

Kwa mantinki hiyo ni AB Blood group pekee ndio wanaoweza kuwa mutant, groups nyingine nadhani zipo safe.
 
Aisee jf ni bonge ya darasa, ok @watu8 nami niambie, mie ni group O+ na mume wangu ni B+ watoto watakaozaliwa hapo watakuwa na group gani?

Mwanao au wanao watakuwa na kundi B au O, lakini chance kubwa kwa kila uzao ni mtoto mwenye kundi B.

+ve & +ve inatoa either +ve au -ve.
 
Anauliza baba na mama wana damu group O+, mtoto atakaezaliwa na wazazi hao wawili atakuwa na group gani la damu?

Nami naongeza swali, Baba ni group B+ na mama ni O+, watoto watazaliwa na gruop lipi la damu

Cc: watu8, MziziMkavu mnahusika hapa
 
Last edited by a moderator:
kwa kesi ya kwanza. mtoto atakuwa ni blood group O+.
na kwa kesi ya pili.
mtoto anaweza kuwa na blood group B kama baba ni BB+ au blood group O+ kama baba ni BO+. all in all hyo ni probability tu !
 
Sasa Mkuu mbona umenichanganya tena? Nimeuliza simple tu "kama baba ni B+ na mama ni O+" mtoto au watoto watatoka na group lipi hapo?

kwa kesi ya kwanza. mtoto atakuwa ni blood group O+.
na kwa kesi ya pili.
mtoto anaweza kuwa na blood group B kama baba ni BB+ au blood group O+ kama baba ni BO+. all in all hyo ni probability tu !
 
Kama wazazi wote no Blood Gruop 0 Rh+ basi mtoto LAZIMA atakuwa naye atakuwa 0 Rh+. Hivyo hakuna wasi wasi.
 
Nami naongeza swali, Baba ni group B+ na mama ni O+, watoto watazaliwa na gruop lipi la damu

Kuna uwezekano wakazaliwa watoto mchanganyiko wenye kundi B na O au kundi moja toka kwa wazazi likadominate (yaani watoto wote B+ au O+)...
 
Anauliza baba na mama wana damu group O+, mtoto atakaezaliwa na wazazi hao wawili atakuwa na group gani la damu?

Nami naongeza swali, Baba ni group B+ na mama ni O+, watoto watazaliwa na gruop lipi la damu

Cc: watu8, MziziMkavu mnahusika hapa

ma group makuu yapo matatu,A,B,O.KATIKA MUUNGANIKO NDO TUNAPATA A,B,O,AB,AO,BO,HIVYO BASI KAMA BABA NI B+ NA MAMA NI O+,MTOTO ANAWEZA KUWA B+,O+ AU Bo.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Mie mwenyewe kanichanganya nikajiuliza hii BB+ ndio group gani hili

Kuna genotype BB lakini mwisho wa siku hili ni kundi B la damu...

Hivyo unapotaka kutaja hili kundi la damu ukiambatanisha na rhesus factor, simply unataja B+
 
  • Thanks
Reactions: ram
Back
Top Bottom