Maneno huumba aisee... Nina amini katika hili, nina mfano hai wa mama mmoja wa karibu yangu saaana!
Waliwahi kuwa na ugomvi juu ya watoto, kama mjuavyo watoto wakigombana na wazazi kuingilia ugomvi. Basi huyo mama wa karibu yangu akamwambia mama yule mwingine "Na utaona,
na mwanao atakufa" Jaman baada ya siku kadhaa yule mtoto si akafa.. Mchawi wa kwanza kufuatwa ni yule mama wa karibu yangu.
Ile familia ilizunguka kwa waganga mpaka basi ili kumdhuru yule mama, ila kwa kuwa yule mama ahakudhamiria alissali sana na hakuna baya lililompata wakajua kuwa yule mama ni kiboko... Kumbe wala!!
Ila kingine nimeamini huyu mama aliyekaribu yangu mambo mengi anayoniambia huwa kweli na hutokea... Na amekuwa mshauri wangu...
Kwa mujibu wa
Pasco nahisi huyu mama atakuwa na Nguvu flani ndani yake!