Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Nawe miakaa kila siku inabadilikaaa mara 23 mara 25 umekua Wema Sepetu!!!
mtu akiwa muongo awe na kumbukumbu
ni muongo hadi anachiosha
Nawe miakaa kila siku inabadilikaaa mara 23 mara 25 umekua Wema Sepetu!!!
Usisahau kunitumia matokeo ya chelsea vs liverpool. Huku sudani ya kusini kuna mgao wa network.
Habari z jumapili wakuu
Sasa ni hivi,baada ya kutoka club jana usiku na mpenz wangu leo nimeamua niachane nae rasmi!moyo wangu ndiyo umeamua hivyo sijashawishiwa na mtu yyte!
Tatizo linakuja ntakuwa na na nani,vijana walioniuproch hawana hela kivile so siwez kuwa nao,kuna wababa kama wa3 watu wazito wanantaka nafikiria niwe na mmoja japo simpend hata kidogo,nijiweke tu kwa mda,cz siwez kuwa alon au nifanyaje wapendwa coz siwez mpotezea mkaka wa watu muda nimeamua nimuwache atafute mtu wa dini yake awowe!
Nipeni ushauri
Usinitukane coz ndo lyf yangu

Jitegemee..ili upate heshima acha kupenda mtelezo. Hata hao wababa wakikuchoka wakupa buti reeefu
Ndo akantangaze nijulikanee!
Pacha una akili mpaka zinamwagikaaa. Aweke picha kwanzaaaa!
huhuhuhuh hata m naunga mkono..muonekano kwanza
Kama hivi
Mnanichanganya tu apa aaaagggr
Mnanichanganya tu apa aaaagggr