Recent content by Gatekalii

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nimepanga kwenda kuishi Msituni/Porini sana

    Mkuu umeandaa nyenzo gani za kupambana na wababe wa pori?
  2. G

    JamiiForums Tanzania KUMEKUCHA: Tanzania Kupokea 5% Ya Project Bomba La Mafuta Kutoka Uganda, Kinyume Na Magufuli Alivyowaaminisha Raia Wake

    Hivi bado dunia ya leo bado Kuna mambumbumbu kama wewe? Zero brain kabisa
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

    Mimi nimeoa mchanga. Kama kungekuwa nauwezekano wa kurudisha mda nyuma, nisingeoa mchanga. Kunawakati natamani kumuacha lkn nikitazama watoto huruma hunijia juu ya wanangu. Kuoa mchaga ni changamoto
  4. G

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu tunakuomba iangazie jicho Shule ya Msingi Lukooni Chanika, Dar es Salaam

    Mzee hili suala linatuumiza sana
  5. G

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu tunakuomba iangazie jicho Shule ya Msingi Lukooni Chanika, Dar es Salaam

    Shule ya msingi ya lukooni iliyopo wilaya ya Ilala chanika Dsm imeanzisha utaratibu wa kufundisha tuition hapo shuleni kuanzia darasa la tatu mpaka darasa la Saba. Gharama ya tuition kwa kila mwanafunzi ni tsh 300 kwa Siku kwa kila mwanafunzi. Watoto wanaokosa hela ya tuition wamekuwa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Lindi: Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Msimamizi wa Uchaguzi na nyumba ya Mbunge

    NI nini dhamira yako juu ya kuleta hii habari? Tukio Hilo lilitokea kitambo
  7. G

    JamiiForums Tanzania NEC yatangaza Uchaguzi mdogo kwenye Kata tatu

    VIPI mngeshinda! ?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Media za Tanzania zinaweza kufa kipindi hiki cha miaka mitano ya CCM

    Yote haya unayanena kwasababu kura hazikutosha upande wa chadema, laiti Kama zingetosha Wala usingesema
  9. G

    JamiiForums Tanzania Media za Tanzania zinaweza kufa kipindi hiki cha miaka mitano ya CCM

    Kielelezo Cha ujinga hapa tz utakipata kwa wafuasi wa chadema na wafuasi wa lisu.
  10. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Makambako waanza ujenzi wa ofisi ya Jimbo

    Niwape pongezi kwa kujitambua
  11. G

    JamiiForums Tanzania Media za Tanzania zinaweza kufa kipindi hiki cha miaka mitano ya CCM

    Jipe pole wewe
  12. G

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa CHADEMA, Tundu Lissu na Ubelgiji: Kwanini Tundu Lissu alikimbia ubalozi wa Ujerumani?

    Kama kuna watu wa hovyo wamewahi tokea Tanzania Basi Lissu namba Moja.
Back
Top Bottom