ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Nov 8, 2012
3,860
2,000
Kuna wajinga humu wanadanganyana hiyo mahakama haiwezi kuwashughulikia watesi wetu, waacheni waendelee kudanganyana.

Wajue fika watapandishwa kizimbani hata kama ni baada ya miaka kumi, kuwa kwao madarakani sasa hivi kusiwadanganye, hiyo siku yaja, watavuna walichopanda.
Uchaguzi wa Kenya na machafuko yale ya wazi wazi akina Ruto na Kenyata kesi ikaota mbawa, ifikie mda viongozi wa chama wawe responsible na mambo wanayo yafanya, kiufupi upinzani bara ulijifia 2015.
 
Gatekalii

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
286
500
Kuna wajinga humu wanadanganyana hiyo mahakama haiwezi kuwashughulikia watesi wetu, waacheni waendelee kudanganyana.

Wajue fika watapandishwa kizimbani hata kama ni baada ya miaka kumi, kuwa kwao madarakani sasa hivi kusiwadanganye, hiyo siku yaja, watavuna walichopanda.
Dua la kuku halimpati mwewe.
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
6,576
2,000
Utasubiri Sana brother, nenda kasome vizuri jurisdiction ya hiyo Mahakama and under what curcumstances inaweza ku assume Majukumuu ambayo kimsingi yanapaswa kushughulikiwa na Nchi huska. By the way, hizi ni porojo na Namna ya kujicomfort baada ya kipigo cha Mbwa Koko.
Vitu vingine viko wazi. Take your time, Isomeke hiyo Mahakama, Soma crimes it has jurisdiction to try and kwa Mazingira gani inaweza ku intervene.
Mwisho kabisa, hii Mahakama imeshapoteza Credibility siku nyingi Sana, it is more or less like other Imperialism Machinery and every one's knows that!
Otherwise, endeleni kujifafiji Kama Kawaida yenu!
Wengi mnapiga kelele kujitutumua kwenye hii issue lakini nawaona mnahangaika tu.
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
6,576
2,000
ICC hawapokei na kushighulikia barua za individuals

Zitto kaandika peke yake akiwa kajifungia ndani na Maria Sarungi naye kajiandikia peke yake !!!
Sheria ipi inayosema hivyo? tuwekee hapa tuione. Usiwadanganye wajinga wenzio, kama wangekuwa hawapokei, wasingekiri wameshapokea.

Mimi ninafahamu wanapokea malalamiko ya individuals, tena mwenyewe unaweza kuandika malalamiko yako, au ukipenda unaweza kuwakilishwa na mwanasheria.
 
WILE

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
4,232
2,000
Ukiangalia hili suala kwa mtazamo wa kitanzania utaona serikali ipo matatani lakini ukiangalia kwa mtazamo wa kidunia Tanzania haipo hata top 10 kwenyenchi zinazovunja haki za binadamu. Hii kesi itakuwa upuuzi mtupu. Tanzania inahitaji chama mbadala chenye watu wenye akili za kutaka na kupenda maendeleo na siyo utoto.
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
6,576
2,000
Hawaelewi vitu hivyo huwa confidential kwanza wao wakaenda vyombo vya habari pili barua zimeandikwa na individuals sio taasisi!!!

Mfano Zitto Kabwe kaandika yeye Kama yeye Hakuna kikao chochote Cha chama iwe mkutano mkuu ulioamua yeye kajilalia kaamka kaandika

Maria Sarungi hakuwa hata mgombea udiwani Wala ubunge kajiiibukia tu

Ndio maana unaona wamejibu kuwa wanaangalia approriateness ya hicho kilichokuwa submitted Kama kimekidhi vigezo ila kwa haraka nikusaidia havijakidhi vigezo

Wanaotaka kupeleka mashtaka ICC kwanza Ni member countries wa ICC pili UN waweza peleka tatu maofisa wa ICC wenyewe

Na waweza shughulikia kesi zile tu haziko mahakama ya nchi husika mfano watu wamekamatwa kwa makosa unayoyasema wameshikwa ICC haiingilii hizo kesi sababu tayari ziko mikononi mwa vyombo vya sheria vya nchi mwanachama

Kazi ya ICC Ni mwiko kuingilia kolicho mikononi mwa sheria mwa nchi mwanachama mfano Kuna jitu gaidi limedakwa wewe unakimbilia ICC kuwa lile Ni political prisoner hawakusikilizi.wataachia nchi mwanachama wa ICC wamalizane nalo kwanza
Huna ujualo, wacha kupiga porojo hapa, weka sheria tuisome.
 
quimby_joey

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
381
250
Utasubiri Sana brother, nenda kasome vizuri jurisdiction ya hiyo Mahakama and under what curcumstances inaweza ku assume Majukumuu ambayo kimsingi yanapaswa kushughulikiwa na Nchi huska. By the way, hizi ni porojo na Namna ya kujicomfort baada ya kipigo cha Mbwa Koko.
Vitu vingine viko wazi. Take your time, Isomeke hiyo Mahakama, Soma crimes it has jurisdiction to try and kwa Mazingira gani inaweza ku intervene.
Mwisho kabisa, hii Mahakama imeshapoteza Credibility siku nyingi Sana, it is more or less like other Imperialism Machinery and every one's knows that!
Otherwise, endeleni kujifafiji Kama Kawaida yenu!
Mkuu tupe kidogo insight ya hii Rome Statute. Ni makosa gani au ya aina gani ICC wanashughulika nayo. Itasaidia sana kufunga huu mjadala
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
6,576
2,000
Ukiangalia hili suala kwa mtazamo wa kitanzania utaona serikali ipo matatani lakini ukiangalia kwa mtazamo wa kidunia Tanzania haipo hata top 10 kwenyenchi zinazovunja haki za binadamu. Hii kesi itakuwa upuuzi mtupu. Tanzania inahitaji chama mbadala chenye watu wenye akili ya maendeleo na siyo utoto.
Watu wanaangalia ushahidi uliowasilishwa mezani unaowatia hatiani, hii hoja yako ya "kidunia" ni ya hovyo kabisa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom