KUMEKUCHA: Tanzania Kupokea 5% Ya Project Bomba La Mafuta Kutoka Uganda, Kinyume Na Magufuli Alivyowaaminisha Raia Wake

Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
8,738
2,000
Acheni kupotosha watu ...sjui kwann watz tumekuwa wajinga kias hiki unafaidika nni kupotosha umma

Magufuli alisema bomba hili litakuwa Tanzania kwa aslimia 70 na 30 Uganda kwa maana ya eneo la kupita bomba hili linakuwa eneo la Tanzania kwa asilimia 70 na 30 Uganda ndio alichosema Kama ukuelewa ndio alichoomaanisha na akasisitiza kwenye ujenz wa bomba hili wakat linajengwa tz wahusika wawe wazawa ili kunufaika na ujenz wa bomba

Hivi wew kwa akili zako tuu uwez kufikiria umiliki thaman kwa asilimia kubwa kuliko muhusika inaingia akilin kweli acheni kupotosha umma
Ila mkuu tuliambiwa litaleta faida kubwa wengine humu walifikia kusema tutapata faida kuliko hata wawekezaji mimi niliwauliza tunapata kiasi gani kwa bomba la TAZAMA ili tuone huo mchanganuo na TOTAL na vyovyote vile mbona mikataba mnasema ya umma mbona haijadili bungeni na wananchi kama ina faida au laa maana sio biashara ya mtu binafsi ni ya Watanzania sasa taarifa nyeti zipo ikulu huku total wakimwaga mtandaoni kwa kuwa wamewin vita...
 
kidunula1

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
5,677
2,000
Bro! Wewe sio alexander the great tena kuanzia leo..nakubatiza na kukuita chakubanga the fool! Hizo ni hesabu rahis sana na ni jambo la kawaida kabisa kwenye mikataba ya total. Ebu fuatilia mikataba na nchi zingine utajua the same thing is done.
Ha ha ha
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,866
2,000
Mleta mada mwongo yaani sisi tupate asilimia 70 kuwazidi hats wenye mafuta yao Uganda na TOTAL ? Hata kwa ajili ya kawaida tu unajua uongo
 
Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
12,370
2,000
Soma uelewe wewe mdudu. Sio unakimbilia kubweka bweka hovyo kama una kichaa cha mbwa (distemper).

Nenda kwenye thread za Diamond Platnumz mkabishane kama amenunua ndege au amenunua kipeperushi hicho, huku hapakufai kijana.

Mzee wenu alikua ana laana ya uongo.
TAZAMA (Tanzania Zambia Mafuta) Pipelines Limited was incorporated in 1968 and is owned by the government of the Republic of Zambia with 66.7% share capital and the government of the United Republic of Tanzania with 33.3% share capital.
The company was formed for the purpose of cheaply transporting crude oil or its petroleum products from the port of Dar-es-Salaam into landlocked Zambia

The Tazama Pipeline, also Tanzania–Zambia Crude Oil Pipeline, is a 1,710 kilometres (1,063 mi) long crude oil pipeline from the port of Dar-es-Salaam, Tanzania, to the Indeni Petroleum Refinery in Ndola, Zambia

SIYO KWELI KUWA BOMBA LA MAFUTA KUTOKA UGANDA TO TZEE NI refu zaidi
The agreement, signed in the Ugandan capital Kampala, paves the way for the construction of a 1,440 km crude oil pipeline from Uganda's Albertine region to Tanzanian seaport of Tanga
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
4,101

We kiboko aise, yani umejitutumua huko ku google na kucopy kwenye mtandao ili uje uthibitishe kauli ya urefu kuwa sio kweli.

Soma maana ya "LONGEST PREHEATED CRUDE OIL PIPELINE", halafu ndio utaelewa kwanini ni refu kuliko yote duniani. In short, angalia tofauti ya mabomba yanayosafirisha mafuta kienyeji na mabomba yanayo safirisha mafuta kwa kuyapasha moto.

Ama JF kweli ni kiboko yao. Kuna watu humu ukipima IQ zao hazifiki hata 2. Salaale.
 
magu2016

JF-Expert Member
Oct 8, 2017
6,225
2,000
Habari Wana Jamvi,

Katika pita pita za kuchambua, kudadisi, kufuatilia, kuchunguza na kuperuzi baadhi ya mambo yanayo endelea kwa maslahi ya taifa letu, mara baada ya report ya CAG kutoka na baadhi ya raia kuhoji kuhusu hatima ya project ambazo aliacha Marehemu Magufuli.

Raia tumefumbuliwa macho na CAG (Japo kuna baadhi yetu tulikua macho kibishi bishi kweli, hata kipindi Marehemu alipojaribu kutumwagia pilipili na upupu machoni ili tuyafumbe, na aliona haitoshi akaamua kututoboa macho kabisa tusione).

Nimekutana na hii issue ya project ya bomba la mafuta, ambayo nimeileta kama hoja binafsi mbele ya "BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA JAMIIFORUMS" ijadiliwe. Mheshimiwa Speaker, naomba muongozo niwakilishe hoja;

Nirudi kwenye mada husika,

Hivi karibuni, mara baada ya Rais Mama Samia kuapishwa tu, siku ya pili alifanya ziara ya kikazi kwenda nchini Uganda kufuatilia makubaliano yaliofikiwa na Rais Museven pamoja na Marehemu Magufuli.

Project hio ambayo inategemewa kuwa ndio bomba refu zaidi duniani la kusafirisha mafuta, lenye thamani ya Mabillioni Ya USD, ambalo linatarajiwa kuwa na;

1) Bomba Zenye Unene Wa 24" (Insulated 24 Inch Pipeline).

2) Ujazo Wa 216,000 Bopd (Design Capacity).

3) Bomba Refu Kuliko Yote Duniani Ya Kusafirisha Mafuta Kwa Kuyachemsha (Longest Trace Heated Pipeline In The World).

4) Mafuta Ghafi Mpaka Yenye Nyuzi Joto 45°C (45°C PP).

5) Vituo 16 Vya Usimamizi Na Plant 1 Ya Kukoat Mafuta Ghafi (16 Camps & 1 Coating Plant).

6) Vituo 6 Vya Kusukuma Mafuta (6 Pump Stations PS).

7) Vituo 2 Vya Kupunguza Presha (2 Reduction Pressure Stations PRS).

8) Generator Za Kisasa Katika Kituo PS 3 & PS 5 Na Terminal.

9) Marine Storage & Export Terminal.

Swala la mkataba wa makubaliano wa hio project ya bomba la mafuta liliwekwa wazi na Rais Magufuli alipo mkaribisha chato Rais Museven mnamo mwaka jana, na aliliongelea kabla ya umauti kumfika mwaka huu.

Tanzania iliingia makubaliano na Uganda ya ujenzi wa bomba hilo lenye thamani ya Mabillioni mara baada ya kuipiga chini Kenya (Ambayo awali ndio ilianza majadiliano na Uganda).

Rais Magufuli alisema "Tanzania ndio nchi itakayo faidika zaidi na bomba hilo kwa asilimia 70%" pindi alipomkaribisha Rais Museven chato, jambo ambalo raia waliamini na kufurahishwa sana nchi nzima. Raia kwenye hii project walijua hakika tumepiga bingo haijawahi kutokea katika taifa letu (70% si mchezo).

Binafsi, nlishtuka na mahesabu hayakuingia akilini, yaani Tanzania ipate 70%, halafu 30% Uganda na Kampuni Ya Total wagawane. Ila sikuwa jinsi ila kuamini kwasababu mikataba haikuwekwa wazi.

Hivi karibuni, report zimeanza kuwekwa wazi na wahusika wa project hio (Ikiwemo kampuni kubwa ya Mafuta Duniani TOTAL) mara baada ya Rais Samia kufanya ziaya ya kikazi nchini Uganda na kukamilisha sambamba na kumalizia kazi alioianza Rais aliemtangulia.

Mataifa ya wenzetu HAYANA USIRI pamoja na kuwa na UWAZI kwenye mambo yenye maslahi ya kitaifa na makampuni yao. Tofauti na hapa kwetu.

REPORT; Tanzania itapata 5% (Sio 70% kama Magufuli alivyosema na kuwaaminisha Raia), Ugands itapata 15%, wakati CNOON Ltd itapata 8%, na 72% zitachukuliwa na kampuni nguli kutoka nchini France ya TOTAL.

View attachment 1762911

HOJA YANGU;

Sio Tanzania kupewa asilimia chache (5%) katika hio project, hapana, hata tungepewa 2% isingekuwa tatizo. ila point ni "KWANINI VIONGOZI WALITUMIA UONGO KUWAAMINISHA WANANCHI".

Hii sio mara ya kwanza viongozi wa nchi kudanganya raia, ilitokea kwenye;

1) Swala la ATCL kuwaaminisha watanzania kwamba shirika linafanya kazi kwa "FAIDA" kupelekea hata kuipa serikali gawio la faida.

2) Swala la Corona, raia walidanganywa na kuaminishwa kwamba hakuna Corona nchini, ila watu wengi walipoteza maisha kwa Corona (Mpaka baadhi ya Viongozi Wa Vyama Vya Upinzani na Maproffesor Wa Ngazi Za Juu).

3) Swala la kuaminisha watanzania kwamba hakuna ufisadi na upotevu wa hela za wanyonge katika serikali ya awamu ya 5. Ila report ya CAG imetoa hati mbaya kwa baadhi ya wizara kwasababu ya matumizi makubwa ya pesa za watanzania (Wizara nyingine kutumia hela zaidi ya budget walizowekewa).
Dada uelewa wako ni mdogo sana! Aliposema TZ itanufaika kwa zaidi kwa 70% ni kweli kabisa ujue kuna manufaa ya direct na indirect wewe umechukua manufaa ya direct pekee hujafikiria manufaa ya indirect. Jua kuwa bomba hilo almost 75% litapita kwenye nchi yetu sasa fikiria manufaa ya bomba hilo kupita TZ. Ila kwa kuwa akili yako bado haijabarehe ngoja tukuache uendelee kubwabwaja tu.
 
Paul buildings agency

JF-Expert Member
Dec 10, 2012
3,471
2,000
Swala la ushuru wa 60% hakuna mtu ana uhakika nalo, wala hakuna mtu aliesoma huo mkataba akaona kuna hio asilimia 60% ya mafuta.

Kwanza haiingii akilini yani "YANI USHURU UWE 60% KWA KILA LITRE", mmewahi kusikia wapi ushuru ukawa "ZAIDI YA NUSU YA THAMANI YA KITU (MORE THAN 50%).
Mkuu nakuomba tuliza kichwa.

Iko hiviii kila pipa la mafuta litakalopita katika hilo bomba litalipiwa ushuru. Mfano ushuru wa pipa moja ni 20000, hivyo Basi asilimia 60 ya huo ushuru itachukua Tanzania na asilimia 40 itaenda Uganda. Tanzania itachukua ushuru mkubwa KULIKO Uganda kwasababu bomba Hilo sehemukubwa liko upande wa tanzania.

Usipoelewa hapa utanisamehe bure.
 
Gobole

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
944
1,000
TATIZO MNALO NYINYI KWASABABU TAARIFA ZA MIKATABA MNAZIFICHA MPAKA HAPO WATU WANAPOANZA KUDODOSA NA KUWAITA WEZI NDIO MNAANZA KUTOA TAARIFA KIDO KIDOGO. SIO SAHIHI KUJA NA POVU NA KUANZA KULAUMU WACHANGIAJI.
WATU LAZIMA WABISHANE KWASABABU WATU WANA MITAZAMO TOFAUTI. SIKU HIZI WATU HAWAOGOPI KUDUKULIWA AS LONG AS THEY ARE CONSTRUCTIVE. ACHENI KUFICHA TAARIFA KAMA NYIE SIO MAADUI WA NCHI HII. MNANGOJEA MPAKA MTUKANWE NDIO MNAJITOKEZA KUTETEA KILE MLICHOKIFANYA!
Hoja hupingwa kwa hoja na sio matusi, watu mliokosa hoja kukimbilia kwenye matusi ni rahisi sana maana unataka kuchangia ili uonekane na ww umechangia au unalijua jambo ht km hulijui ila tatzo linakuja huna cha kuchangia, so the only option you are left with ni matusi...

Km mkataba ungefichwa ht ww usingezijua hizo %...kuna tofauti ya mkataba kufichwa na wewe kutokua na taarifa kamili, ushuri wangu nenda katafte proper information kabla ya ku argue, uwe na all the facts ukishazipata njoo tu argue km great thinkers...

Na uache kuandika kwa maandishi makubwa km watoto wa primary school.
 
Gatekalii

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
286
500
We kiboko aise, yani umejitutumua huko ku google na kucopy kwenye mtandao ili uje uthibitishe kauli ya urefu kuwa sio kweli.

Soma maana ya "LONGEST PREHEATED CRUDE OIL PIPELINE", halafu ndio utaelewa kwanini ni refu kuliko yote duniani. In short, angalia tofauti ya mabomba yanayosafirisha mafuta kienyeji na mabomba yanayo safirisha mafuta kwa kuyapasha moto.

Ama JF kweli ni kiboko yao. Salaale.
Hivi bado dunia ya leo bado Kuna mambumbumbu kama wewe?
Zero brain kabisa
 
0ozg Tz

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
1,765
2,000
Wamechakachua baada ya Magufuli kuinuliwa🙊! M7 ndio maana hukuwa na ujasiri wa kuhudhuria mazishi eeh😡!?
Magufuli asingekuwa part ya unyonyaji huu! Angewashauri Uganda wayaache mafuta mpaka watakapokuwa na uwezo wa kuchimba wenyewe!
RIP shujaa wetu Magufuli, tutakukumbuka daima kwa mema shujaa wetu 😭🙏!
Kuchimba mafuta tena!?,we kichwa panzi hakuna unachoelewa,umeshamsalimia shemeji yako?
 
Gatekalii

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
286
500
Swala la ushuru wa 60% hakuna mtu ana uhakika nalo, wala hakuna mtu aliesoma huo mkataba akaona kuna hio asilimia 60% ya mafuta.

Kwanza haiingii akilini yani "YANI USHURU UWE 60% KWA KILA LITRE", mmewahi kusikia wapi ushuru ukawa "ZAIDI YA NUSU YA THAMANI YA KITU (MORE THAN 50%).
Unajidharilisha ujue.
IQ yako ndogo sana aisee
 
Hero

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
3,640
2,000
Kuchimba mafuta tena!?,we kichwa panzi hakuna unachoelewa,umeshamsalimia shemeji yako?
Kwani mafuta yanaelea angani ww mtu! Hayako aridhini? Mbona unanivunjia heshima bila sababu 😡 kichwa panzi ni ww na uzao wako, sio mimi!
 
fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
3,790
2,000
Habari Wana Jamvi,

Katika pita pita za kuchambua, kudadisi, kufuatilia, kuchunguza na kuperuzi baadhi ya mambo yanayo endelea kwa maslahi ya taifa letu, mara baada ya report ya CAG kutoka na baadhi ya raia kuhoji kuhusu hatima ya project ambazo aliacha Marehemu Magufuli.

Raia tumefumbuliwa macho na CAG (Japo kuna baadhi yetu tulikua macho kibishi bishi kweli, hata kipindi Marehemu alipojaribu kutumwagia pilipili na upupu machoni ili tuyafumbe, na aliona haitoshi akaamua kututoboa macho kabisa tusione).

Nimekutana na hii issue ya project ya bomba la mafuta, ambayo nimeileta kama hoja binafsi mbele ya "BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA JAMIIFORUMS" ijadiliwe. Mheshimiwa Speaker, naomba muongozo niwakilishe hoja;

Nirudi kwenye mada husika,

Hivi karibuni, mara baada ya Rais Mama Samia kuapishwa tu, siku ya pili alifanya ziara ya kikazi kwenda nchini Uganda kufuatilia makubaliano yaliofikiwa na Rais Museven pamoja na Marehemu Magufuli.

Project hio ambayo inategemewa kuwa ndio bomba refu zaidi duniani la kusafirisha mafuta, lenye thamani ya Mabillioni Ya USD, ambalo linatarajiwa kuwa na;

1) Bomba Zenye Unene Wa 24" (Insulated 24 Inch Pipeline).

2) Ujazo Wa 216,000 Bopd (Design Capacity).

3) Bomba Refu Kuliko Yote Duniani Ya Kusafirisha Mafuta Kwa Kuyachemsha (Longest Trace Heated Pipeline In The World).

4) Mafuta Ghafi Mpaka Yenye Nyuzi Joto 45°C (45°C PP).

5) Vituo 16 Vya Usimamizi Na Plant 1 Ya Kukoat Mafuta Ghafi (16 Camps & 1 Coating Plant).

6) Vituo 6 Vya Kusukuma Mafuta (6 Pump Stations PS).

7) Vituo 2 Vya Kupunguza Presha (2 Reduction Pressure Stations PRS).

8) Generator Za Kisasa Katika Kituo PS 3 & PS 5 Na Terminal.

9) Marine Storage & Export Terminal.

Swala la mkataba wa makubaliano wa hio project ya bomba la mafuta liliwekwa wazi na Rais Magufuli alipo mkaribisha chato Rais Museven mnamo mwaka jana, na aliliongelea kabla ya umauti kumfika mwaka huu.

Tanzania iliingia makubaliano na Uganda ya ujenzi wa bomba hilo lenye thamani ya Mabillioni mara baada ya kuipiga chini Kenya (Ambayo awali ndio ilianza majadiliano na Uganda).

Rais Magufuli alisema "Tanzania ndio nchi itakayo faidika zaidi na bomba hilo kwa asilimia 70%" pindi alipomkaribisha Rais Museven chato, jambo ambalo raia waliamini na kufurahishwa sana nchi nzima. Raia kwenye hii project walijua hakika tumepiga bingo haijawahi kutokea katika taifa letu (70% si mchezo).

Binafsi, nlishtuka na mahesabu hayakuingia akilini, yaani Tanzania ipate 70%, halafu 30% Uganda na Kampuni Ya Total wagawane. Ila sikuwa jinsi ila kuamini kwasababu mikataba haikuwekwa wazi.

Hivi karibuni, report zimeanza kuwekwa wazi na wahusika wa project hio (Ikiwemo kampuni kubwa ya Mafuta Duniani TOTAL) mara baada ya Rais Samia kufanya ziaya ya kikazi nchini Uganda na kukamilisha sambamba na kumalizia kazi alioianza Rais aliemtangulia.

Mataifa ya wenzetu HAYANA USIRI pamoja na kuwa na UWAZI kwenye mambo yenye maslahi ya kitaifa na makampuni yao. Tofauti na hapa kwetu.

REPORT; Tanzania itapata 5% (Sio 70% kama Magufuli alivyosema na kuwaaminisha Raia), Ugands itapata 15%, wakati CNOON Ltd itapata 8%, na 72% zitachukuliwa na kampuni nguli kutoka nchini France ya TOTAL.

View attachment 1762911

HOJA YANGU;

Sio Tanzania kupewa asilimia chache (5%) katika hio project, hapana, hata tungepewa 2% isingekuwa tatizo. ila point ni "KWANINI VIONGOZI WALITUMIA UONGO KUWAAMINISHA WANANCHI".

Hii sio mara ya kwanza viongozi wa nchi kudanganya raia, ilitokea kwenye;

1) Swala la ATCL kuwaaminisha watanzania kwamba shirika linafanya kazi kwa "FAIDA" kupelekea hata kuipa serikali gawio la faida.

2) Swala la Corona, raia walidanganywa na kuaminishwa kwamba hakuna Corona nchini, ila watu wengi walipoteza maisha kwa Corona (Mpaka baadhi ya Viongozi Wa Vyama Vya Upinzani na Maproffesor Wa Ngazi Za Juu).

3) Swala la kuaminisha watanzania kwamba hakuna ufisadi na upotevu wa hela za wanyonge katika serikali ya awamu ya 5. Ila report ya CAG imetoa hati mbaya kwa baadhi ya wizara kwasababu ya matumizi makubwa ya pesa za watanzania (Wizara nyingine kutumia hela zaidi ya budget walizowekewa).
Uongo ndio sera kubwa ya marehemu
 
JOESKY

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
784

Njia ya mwongo ni fupi walidanganya wakijua hatutajua sasa wakati umefika aibu imewarudia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom