Recent content by Gambisgrey

  1. G

    Uchunguzi wa BOMU ARUSHA jionee mwenyewe

    Vilaza mpo wengi! Ukweli upo unajulikana hacha kupindisha.
  2. G

    Mtoto aliye jeruhiwa na Bomu Afariki leo

    Ungekuwa karibu ningekupiga ngumi. Ipo Siku tutazichapa kavu kavu!
  3. G

    Duh utumishi kimya kimezidi

    Mambo vipi wanajf, Nimekuwa na utamaduni daily lazima nicheck matangazo ya ajira utumishi. Mategemeo yangu nitakuta update zozote cha kushangaza hata tangazo la watu kuitwa job la May bado lipo wakati tupo mwezi june unaoishia. Website yao ipo too static hamna update zozote. Average watu...
  4. G

    Kuitwa kwenye usaili TANAPA

    ukweli utabaki ukweli tu, kwa kweli tanzania yetu imeoza yaani kama humjui m2 kupata kazi ni ishu sana. Nawashauri ni bora nguvu zenu nyingi izitupie kwenye ma ngo, maresearch yanayoendeshwa na wazungu maana wazungu hawana fitina kama ngozi nyeusi kama mkali utapata kazi bila zengwe.
  5. G

    Sasa naanza kuelewa maana ya kauli hii "nchi haita tawalika"

    Kweli aliyeshiba hamjui mtu mwenye njaa, hata siku moja no peace in golden table, watu wanakula na kusaza wengine hawajui kesho yake. Ugumu wa maisha ndo chanzo cha yote! kila kitu dar kwani mikoa mingine watu hawaishi.
  6. G

    Soma hapa jinsi ya kujiajiri na kuondokana na umaskini

    Ndugu wana jamvi natumaini wote wazima wa afya. Nimeonelea leo niwape mbinu za kujiajiri, jaribu hii bahati utaona mafanikio yake. Fungua attachment inaeleza vizuri soma vizuri utaona mabadiliko katika maisha yako. Siku njema!
  7. G

    Rich dady, poor dady

    There is a Need Does school prepare children for the real world? "Study hard and get good grades and you will find a high-paying job with great benefits," my parents used to say. Their goal in life was to provide a college education for my older sister and me, so that we would have the greatest...
  8. G

    ULEMAVU WA kuipenda DAR ES SALAAM KWA WASOMI KIKWAZO CHA KUKOSA AJIRA

    Mtoa hoja hajafanya utafiti, mimi nipo mikoani na nilishawahi kuhudhulia interview ilikuwa Halmashauri ya wilaya ya kilolo, yaani ni mbali sana kutoka iringa mjini usafiri wenyewe ni malori mtu unafika kwenye interview umejaa vumbi cha kushangaza nilivyofika nikaona mtu nyomi. Nikapata marafiki...
  9. G

    Jamani, katika hili JK apongezwe!!

    Hamna chuki zozote, watu wanapenda amani ila wachache wanaipoteza na bado mpaka sasa kesi zake hazijatolewa maamuzi. Je tuendelee kupongezana wakati maafa yanaendelea kila kukicha? Tayari matukio mengi yametokea kipindi kifupi sana unategemea kesho kitatokea nini kama unataka tupongezana wakati...
  10. G

    ushauri wenu watafuta ajira wezangu kwa hili

    Kazi nyingine za kuajiriwa sio zenyewe yaani aheri m2 upike maandazi uuze maana kila siku unaomba advance kwa muhindi mwisho wa mwezi ukifika hata hela ya kula huna. Nauli ndo usiseme yaani unaweza kupiga mguu mpaka soli inaisha uwezo wa kununua viatu huna. Unajua wakati mwingine visomo vyetu...
  11. G

    ushauri wenu watafuta ajira wezangu kwa hili

    kuacha kazi kupo kwa haina mbili, unaweza kutoa notes ya 24 hrs ambapo utatakiwa kumlipa mwajiri mshahara wako wa mwezi au notes ya mwezi ambapo uta2mikia bure bila ya kulipwa. Chagua mwenyewe
  12. G

    faida za ukosefu wa ajira

    Unajua swala la kujiajiri zuri sana nami naunga mkono, nilishajaribu kujiajiri nikafunga kuku wa mayai 800 tatizo likatokea ugonjwa wa typhoid yaani kila nikiwapa dawa wapi, kumbe madawa feki. Mambo kama haya yanaua ujasiliamali, yapo mengi napata kwa wafanyabiashara nitayaweka wazi ili iwe...
  13. G

    recruitment agencies

    niko mbioni kuandaa tanzania hackers forum itawasaidia kupata fedha kwa ubongo kwa watu wa it
  14. G

    recruitment agencies

    Niko mbioni kuanzisha Tanzania Hackers forum ili watu wa IT waweze kujipatia fedha kwa njia ya ubongo.
  15. G

    Kikwete: Sijashindwa kuiongoza Tanzania!

    iliyobaki bado mingi natamani hata leo 2fanye uchaguzi.
Back
Top Bottom