Shame on you MWIGULU!!Makamanda mtoto mwingene afariki leo alijeruhiwa na bomu mungu aiweke roho yake pema peponi na katibu wa mbunge yuko I.c.u hali yake mbaya cna mh gabu anahali.mbaya cna tumwombeeni jamani tanzania inatakuwa somalia jmni mungu ibariki chadema mungu ibarki tanzania ccm na chadema zote zinapita tu vyama vya siasa zinapita tu tujali ubinadamu vyama vinapita tu tujenge mshkamano na upendo jmni r.i.p makamanda wetu siasa sio uwadui jamani viongozi wa dini iombeeni nchi yetu jamani inaelekea pabaya cna waislaam na wakristo ombeeni taifa hli jamani kesho ndyo tunawaaga miili ya marehemu uwanja wa soweto njooni tuwasindikize makamanda wetu
wewe inaelekea mgeni Tanzania.na kama una uraia basi wa kuomba.1995 ilikua NCCRUjio wa chadema umeleta ghasia vifo watu kuchukiana maandamano ujambazi mauaji vitisho kutekwa watu kuishi kwa hofu kubaguana kwa dini na kabila bunge lisilo na nidhamu .......
Unafki mbaya sana...ila kila mtu atakufa mzee awe ccm au chadema...mungu hataniwiMungu ampumzishe kwa Amani.
Kwa mwananchi wa kawaida akisikia neno CHADEMA akilini mwake inakuja taswira ya vita na machafuko.
CHADEMA ilaaniwe.
Nilipomuona Nape kwenye TV akiongea utumbo nilipatwa kichefuchefu. Sijui kama ni bangi au nini, mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya mambo haya akaendelea kuonyesha uso wake hadharani. Aliyemuua padre hajakamatwa, aliyemkosakosa padre hajakamatwa, aliyemuua Ulimboka kajakamatwa, aliyemwua Kibanda hajakamatwa, waliochoma makanisa Tanga hawajakamatwa. Intelijensia?? THE HAGUE IS CALLING.
Una akili ya mnyama ambaye Iringa ni kitoweo
Mungu ampumzishe kwa Amani.
Kwa mwananchi wa kawaida akisikia neno CHADEMA akilini mwake inakuja taswira ya vita na machafuko.
CHADEMA ilaaniwe.
Nadhani Mwigulu is very very happy.