Kuitwa kwenye usaili TANAPA

Kuitwa kwenye usaili TANAPA

Wewe bornagain ni muongo tena mchonganishi, na inawezekana una-chuki binafsi.
Hata uluchokiandika hapa juu unadanganya watu bila aibu. Muogope Mungu kwa kudanganya na kujidai unaifahamu TANAPA na kuisema mabaya na kuichafua. Udhibitisho wa wazi wazi kuwa wewe ni Muongo ni kuweka mapori ya akiba chini ya TANAPA. TANAPA haijawahi simamia mapori ya akiba (game reserves) hata siku moja.

Kajipange upya uje na hoja nyingine ya kujifanya wewe ulikuwa mtumishi wa TANAPA. Kafie mbali kwa uongo wako. PUMB..FU

Ndugu yangu wewe kwa kuwa upo ndani ya TANAPA basi unaitetea kama vile TANAPA ni baba yako ama mama yako,lakini ukweli ndiyo huo TANAPA 95% ya employees wa TANAPA wanapatikana kupitia vimemo.Tena nakuambia wewe ndiyo umuogope Mungu kwa kusimamia uongo mchana kweupe.Nataka unijibu kama kweli wewe mfanyakazi wa TANAPA ni mkweli hivi kwa nini mwaka jana nafasi zilizotangazwa mliwaita watu kuja kufanyia usaili University of Dar wakati TANAPA ipo Arusha kama siyo kutafuta perdiem ni nini.

Kwa nini kama nyie ni shirika makini mfano nafasi za Accountants zilikuwa 3 then mkashortlist watu 557 nadhani ni wote walioomba mliwachagua,kama siyo kupoteza muda wa watu ni nini hasa kazi ya HR si kufanya shortlist angalau kupata hata watu wa kuita kwenye interview na siyo wote.Mnatumia janja ya nyani eti muonekane kuwa ni an equal employer kwa kuwaita wote kumbe ni ushuzi tu mnawataabisha watoto wa watu.

Usushupalie ndugu yangu kwa kuwa unakula keki ya TANAPA kesho unaweza usiwepo hapo kwenye hiyo nafasi uliyopo then ukaona hata jasho ulilotumia kuitetea TANAPA ungelipeleka kwenye mashamba ya chai King'ori kuliko TANAPA.By the way usitokwe na mapovu ukaona kama TANAPA yako inaonewa sana ndiyo system ya taasisi za serikali maana baada ya mimi kuhama TANAPA nilitumia kibahasha kuhamia taasisi nyingine ya serikali,lakini alienisaidia ni mtu wa TANAPA alietaka nafasi yangu kwa udi na uvumba
 
hayakuhusu lakini nakuambia mimi nimekuwa tanapa for almost 5 years na hakuna mbuga ya tanzania sijawahi kufika na kujionea hali halisi, anzia katavi-rukwa, hifadhi za ugala mkoa mpya wa katavi, panda hifadhi za manyara, njoo kwenye mapori ya burigi huko kagera na mapori ya muyovosi na gombe kigoma, njoo serengeti national park na vigame reserves vyake vya fort ikoma na ikorongo game reserves, panda pangani tanga na shuka kote huko ruaha na selous kote ni nyumbani.so in short mimi naijua tanapa yote na kila linalotendeka.niliachana na tanapa baada ya kuona majungu yamezi na watu kuwinda nafasi yangu whether iam dead or alive someone wanted it kwa kuahidiwa bahasha.so am talking from my experience kwamba kuna mtu wa ndani aliniambia kuwa hata ile interview waliyokuja kufanyisha dar mwaka jana mwezi wa 8 ilikuwa ushahidi tu kazi walikuwa wameshapewa waliotanguliza vibahasha

ukweli utabaki ukweli tu, kwa kweli tanzania yetu imeoza yaani kama humjui m2 kupata kazi ni ishu sana. Nawashauri ni bora nguvu zenu nyingi izitupie kwenye ma ngo, maresearch yanayoendeshwa na wazungu maana wazungu hawana fitina kama ngozi nyeusi kama mkali utapata kazi bila zengwe.
 
ukweli utabaki ukweli tu, kwa kweli tanzania yetu imeoza yaani kama humjui m2 kupata kazi ni ishu sana. Nawashauri ni bora nguvu zenu nyingi izitupie kwenye ma ngo, maresearch yanayoendeshwa na wazungu maana wazungu hawana fitina kama ngozi nyeusi kama mkali utapata kazi bila zengwe.

Hata NGO kama paneli ya interview watakaa waTanzania ujue bado mpango unaendelea kama kawaida, lakini ukibahatika kwenye panel wakakaa wazungu ama wakachanganya na wazungu ujue haki bin haki na kazi utapata bila vikwazo, NGO kama Jhpiego ni ya wazungu tena wamarekani lakini kupata kazi pale ni issue maana waajiri ni waafrika kuna HR Manager pale anaitwa Mr. Mashaka ndiyo aneechair interview kwa hiyo bado ni janga la kitaifa pale kuchomoza ni issue na pia kule John Snow Inc ambayo pia ni ya Wamarekani nako hakuna kitu maana interview wanachair waafrika kuna jamaa mmoja anaitwa Lymo wa HR Department nae amejaa vimemo kama serikalini napo pale upendeleo kibao.NGO ya ukweli ni ABBOT pale Country director post yoyote anatinga kwenye interview kwa hiyo ndugu yangu anaepata anakuwa amepata kiuhalali maana hakuna longo longo
 
Back
Top Bottom