ushauri wenu watafuta ajira wezangu kwa hili

thehunk

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
533
Reaction score
233
ndugu zangu wana jf mimi nikija mwenzenu naetafuata ajira kila kukicha mitandaoni na man to man. sasa kilichonifanya kuomba ushauri leo ni kuwa kuna kazi ya data entry nimepata hapa kariakoo ni duka la mtanzania mmoja ila wakati napata hii kazi kuna interview kama mbili nimeshafanya na ndo nasubiria majibu ndani ya wiki 2 (bado hazijafika) na hizo ndo kazi nilizosomea chuo lakini kwa huyu mwajiri wangu wa kariakoo anataka niingie mkataba ambao minimum duration ni miez sita na akasisitiza kabisa kuwa hayuko tayari huo mkataba kuvunjwa kabla ya tarehe ya mwisho kufika kwani kasema amekuwa ana ajiri wafanyakazi graduates kama hivo lakinia hawakai mwezi au wiki kadhaa wanaondoka so yeye kazi zake zinakuwa haziendi sasa mimi kwa kuwa sina kazi nikasema kuwa sitofanya hivyo ila ukweli kuwa ninasehem mbili nazisubiria ambao huko mshahara wake ni mzuri tu mara mbili ya hapa napofanyia kazi na hapa kazi mpaka jumamosi kwa hiyo manake kwa kipindi chote cha hapa hakuna kuhudhuria interview yeyote wala kufatilia kitu chochote ila mpaka sasa bado sija sign mkataba japo ananiulizia kila siku juu ya ku sign ninmpa visingizio japo kesho kutwa naona hivi visingizio vitakwisha naomba ushauri niingie mkata na huyu jamaa na ni forgo mipango yangu yote kwa kipindi cha mkataba (yani hata hizoo kazi nikipigiwa simu nipotezee) au nipotezee hii kazi niendelee kutafuta huku nikisubiria hizo chance nyingine kwani mkumbuke kuwa tangu nimalize shule tarehe 22.06.2012 sina kazi mpaka leo na hivo hivo mkumbuke kuwa hizi sehemu zingine ni job of my dreams hasa ukizingatia kipato kizuri kwani mimi kama alivyo huyo mfanyabiashara (mwajiri wangu) naaaangalia super-profit
 
kwenye huo mkataba hakikisha kipengele cha kuwa mwajiriwa anaweza kutoa notice ya kuacha kazi ndani ya masaa 24 na atamlipa mwajiri wake mshahara wa mwezi mmoja.

Hapo ndo pona yako ipo, hiyo ya miezi sita ni full kuingia gerezani, usikubali kusaini.
 
ndugu zangu wana jf mimi nikija mwenzenu naetafuata ajira kila kukicha mitandaoni na man to man. sasa kilichonifanya kuomba ushauri leo ni kuwa kuna kazi ya data entry nimepata hapa kariakoo ni duka la mtanzania mmoja ila wakati napata hii kazi kuna interview kama mbili nimeshafanya na ndo nasubiria majibu ndani ya wiki 2 (bado hazijafika) na hizo ndo kazi nilizosomea chuo lakini kwa huyu mwajiri wangu wa kariakoo anataka niingie mkataba ambao minimum duration ni miez sita na akasisitiza kabisa kuwa hayuko tayari huo mkataba kuvunjwa kabla ya tarehe ya mwisho kufika kwani kasema amekuwa ana ajiri wafanyakazi graduates kama hivo lakinia hawakai mwezi au wiki kadhaa wanaondoka so yeye kazi zake zinakuwa haziendi sasa mimi kwa kuwa sina kazi nikasema kuwa sitofanya hivyo ila ukweli kuwa ninasehem mbili nazisubiria ambao huko mshahara wake ni mzuri tu mara mbili ya hapa napofanyia kazi na hapa kazi mpaka jumamosi kwa hiyo manake kwa kipindi chote cha hapa hakuna kuhudhuria interview yeyote wala kufatilia kitu chochote ila mpaka sasa bado sija sign mkataba japo ananiulizia kila siku juu ya ku sign ninmpa visingizio japo kesho kutwa naona hivi visingizio vitakwisha naomba ushauri niingie mkata na huyu jamaa na ni forgo mipango yangu yote kwa kipindi cha mkataba (yani hata hizoo kazi nikipigiwa simu nipotezee) au nipotezee hii kazi niendelee kutafuta huku nikisubiria hizo chance nyingine kwani mkumbuke kuwa tangu nimalize shule tarehe 22.06.2012 sina kazi mpaka leo na hivo hivo mkumbuke kuwa hizi sehemu zingine ni job of my dreams hasa ukizingatia kipato kizuri kwani mimi kama alivyo huyo mfanyabiashara (mwajiri wangu) naaaangalia super-profit

Ukishaacha hiyo job ni pm nam niende nikamwombe hiyo kaz kwn nam ni muhanga wa hlo cna job toka 2011 so itaweza kunisaidia angalau uku nikiendelea kusubir,Natanguliza shukran zangu.
 
Komaa nae muambie huo mkataba hauwezi kuingia kwani ya Mungu mengi. Muahidi utampa notice ya mwezi 1 kwa sababu ni junior position na kama ingekuwa senior position ungeweza kukubali kumpa notice ya miezi mitatu.
 
Acha ubwege, samahani kama neno hilo litakuwa limekukera, Dream job! kwa vijiinterview vyako viwili ulivyofanya? Kazi mbaya ukiwa nayo mbona hata kwenye madaladala imeandikwa? Wewe graduate hujajua sheria za kazi hata kidogo? kwani bado kuna ajira za kulazimishana? sheria imetoa muda wa notice ya kuacha kazi, we sign huo mkataba kwanza ni batili. Kufanya interview si kupata kazi. Fanya hiyo kazi tena kwa juhudi na uadilifu mkubwa, usipate mawazo ya kuanza kuendesha magari na kujimiminia bia na vimwana jenga cv vizuri kijana. Kazi moja huleta kazi nyingine kama vile safari lager moja huongeza safari nyingine. Acha mchezo fanya kazi, unaacha kazi ukiwa na kazi.
 
welcome to forex trading world and make tax free money
 
nitakupa like yangu.natumia cmu.!
 
sidhan kama atakubana baada ya ww kuondoka.mm nlfanya hvyo kwnye security company baada ya kudaka salary ya mwez 1,mpaka leo sijatafutwa.fanya kaz,michongo ikitiki sepa ILAhakksha kaz umekabidh vzur.copy kamanda?
 
ajira kila kukicha mitandaoni na man to man. sasa kilichonifanya kuomba ushauri leo ni kuwa kuna kazi ya data entry nimepata hapa kariakoo ni duka la mtanzania mmoja ila wakati napata hii kazi kuna interview kama mbili nimeshafanya na ndo nasubiria majibu ndani ya wiki 2 (bado hazijafika) na hizo ndo kazi nilizosomea chuo lakini kwa huyu mwajiri wangu wa kariakoo anataka niingie mkataba ambao minimum duration ni miez sita na akasisitiza kabisa kuwa hayuko tayari huo mkataba kuvunjwa kabla ya tarehe ya mwisho kufika kwani kasema amekuwa ana ajiri wafanyakazi graduates kama hivo lakinia hawakai mwezi au wiki kadhaa wanaondoka so yeye kazi zake zinakuwa haziendi sasa mimi kwa kuwa sina kazi nikasema kuwa sitofanya hivyo ila ukweli kuwa ninasehem mbili nazisubiria ambao huko mshahara wake ni mzuri tu mara mbili ya hapa napofanyia kazi na hapa kazi mpaka jumamosi kwa hiyo manake kwa kipindi chote cha hapa hakuna kuhudhuria interview yeyote
 
ndugu zangu wana jf mimi nikija mwenzenu naetafuata ajira kila kukicha mitandaoni na man to man. Sasa kilichonifanya kuomba ushauri leo ni kuwa kuna kazi ya data entry nimepata hapa kariakoo ni duka la mtanzania mmoja ila wakati napata hii kazi kuna interview kama mbili nimeshafanya na ndo nasubiria majibu ndani ya wiki 2 (bado hazijafika) na hizo ndo kazi nilizosomea chuo lakini kwa huyu mwajiri wangu wa kariakoo anataka niingie mkataba ambao minimum duration ni miez sita na akasisitiza kabisa kuwa hayuko tayari huo mkataba kuvunjwa kabla ya tarehe ya mwisho kufika kwani kasema amekuwa ana ajiri wafanyakazi graduates kama hivo lakinia hawakai mwezi au wiki kadhaa wanaondoka so yeye kazi zake zinakuwa haziendi sasa mimi kwa kuwa sina kazi nikasema kuwa sitofanya hivyo ila ukweli kuwa ninasehem mbili nazisubiria ambao huko mshahara wake ni mzuri tu mara mbili ya hapa napofanyia kazi na hapa kazi mpaka jumamosi kwa hiyo manake kwa kipindi chote cha hapa hakuna kuhudhuria interview yeyote wala kufatilia kitu chochote ila mpaka sasa bado sija sign mkataba japo ananiulizia kila siku juu ya ku sign ninmpa visingizio japo kesho kutwa naona hivi visingizio vitakwisha naomba ushauri niingie mkata na huyu jamaa na ni forgo mipango yangu yote kwa kipindi cha mkataba (yani hata hizoo kazi nikipigiwa simu nipotezee) au nipotezee hii kazi niendelee kutafuta huku nikisubiria hizo chance nyingine kwani mkumbuke kuwa tangu nimalize shule tarehe 22.06.2012 sina kazi mpaka leo na hivo hivo mkumbuke kuwa hizi sehemu zingine ni job of my dreams hasa ukizingatia kipato kizuri kwani mimi kama alivyo huyo mfanyabiashara (mwajiri wangu) naaaangalia super-profit

kuacha kazi kupo kwa haina mbili, unaweza kutoa notes ya 24 hrs ambapo utatakiwa kumlipa mwajiri mshahara wako wa mwezi au notes ya mwezi ambapo uta2mikia bure bila ya kulipwa. Chagua mwenyewe
 
Acha ubwege, samahani kama neno hilo litakuwa limekukera, Dream job! kwa vijiinterview vyako viwili ulivyofanya? Kazi mbaya ukiwa nayo mbona hata kwenye madaladala imeandikwa? Wewe graduate hujajua sheria za kazi hata kidogo? kwani bado kuna ajira za kulazimishana? sheria imetoa muda wa notice ya kuacha kazi, we sign huo mkataba kwanza ni batili. Kufanya interview si kupata kazi. Fanya hiyo kazi tena kwa juhudi na uadilifu mkubwa, usipate mawazo ya kuanza kuendesha magari na kujimiminia bia na vimwana jenga cv vizuri kijana. Kazi moja huleta kazi nyingine kama vile safari lager moja huongeza safari nyingine. Acha mchezo fanya kazi, unaacha kazi ukiwa na kazi.

Kazi nyingine za kuajiriwa sio zenyewe yaani aheri m2 upike maandazi uuze maana kila siku unaomba advance kwa muhindi mwisho wa mwezi ukifika hata hela ya kula huna. Nauli ndo usiseme yaani unaweza kupiga mguu mpaka soli inaisha uwezo wa kununua viatu huna. Unajua wakati mwingine visomo vyetu vina2pumbaza kuna watu hawajasoma wanafanya biashara ndogo sana lakini wanaingiza sana kuliko mwajiriwa wa muhindi.
 
we chukua ajira kisha ukiona vipi c unajifanya unaumwa kisha una deal na mambo yako mengine, ugonjwa haujali mkataba baba
 
Back
Top Bottom