Makala Jr
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,395
- 1,112
duchi; Naona ngonjera mliyokaririshwa na Nape mnaimba popote.Angalieni msije kugeuka vichwa vya kuku hatimaye mkawa hambebi fikra pevu.Mbona hamjiulizi aliyesema wana Arusha wakiikataa CCM watakufa na wamekufa kweli hamtaki kumsema? Mbona waliosema watahakikisha CHADEMA kinasambaratika kabla ya 2014 kwa gharama yoyote hamtaki kuwajadili? Mbona hata huyo kaka yenu Nape amekaririwa akisema CCM itatawala milele, kwa misingi gani?
Last edited by a moderator: