BUCHANAGANDE
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,512
- 482
Hii ndo Tz 101
aisee bado mnaamini kwenye max??all in all kama huna wa kukushika mkono lazima uhangaike sana alama hazisaidii watu wana mifirst class na tunagana nao benchi kitaa mpaka tunauliza kwa nini/??Ok powa kabisa hapo sasa nimekuelewa vizuri, ila kwa masomo yako mbona ilibidi upate kazi straight sidhani kama wangekuchelewesha au laah, also masomo yako unaweza kufanya kazi nyingi, sasa vile vile usitegemee tu agency the same time kama unapata nafasi pia nenda hata kwenye maoffice na acha CV yako huko, unaweza kuona kama unapoteza muda ila utafanikiwa tu trust me, na final year grades zako ulipata nzuri??
mbona naona kama these agencies are not helpful jamani, mtu unasambaza CV kote ila none of them hata kuita kwenye interview does it mean mimi sina kigezo hata kimoja katika hizo kazi wanazoletewa au ni nini? yaani sijui maana ya kusoma sasa,ukiwa fresh graduate bila expirience you are in trouble. tunafundisha nini wadogo zetu na hii hali.:angry:
nimsoma computer science na CV am 100% sure nimeandika vizuri na kwa msaada wa some people I know wanaiterview watu, so I believe its perfect written
nimsoma computer science na CV am 100% sure nimeandika vizuri na kwa msaada wa some people I know wanaiterview watu, so I believe its perfect written
This goes unfairly, maana wengine ni kiulaini tu!No pain No gain.....
asante sana mkuuPole. embu jaribu na hizi kama una sifa Eclof Tanzania
real talk.. asante sanaaliyetengenez bulb alijaribu mara 10000. endelea kujaribu.unonaonaje na kujiari? ulishawai kujiuliza anayechoma gunia la mahindi anapata tsh ngapi daily? na nayeuza matunda kwenye toroli? je anayeuza weza (MFANO TU), na wengi wengineo. <start small and grow big>
Its a typing error,my bad. I was writing this in a hurry."nimsoma computer science na
CV am 100% sure nimeandika
vizuri na kwa msaada wa
some people I know
(wanaiterview) watu, so I
believe its (perfect) written"
.
.
..
.
naomba ukafanye review ya English iliyotumika kwenye CV yako...maana hapa naona kuna matatizo fulani...minor things can act as hinderances ya wewe kupata job Lady Unbreakable
Sema wewe kiazi, nikisema mimi muhogo nitaambiwa nina mizizi. Kwa kweli max zetu dunia ya leo ni kigezo cha mwisho kabisa kwa sababu ya kujuana. MARA NYINGI, ITS ABOUT WHO YOU KNOWaisee bado mnaamini kwenye max??all in all kama huna wa kukushika mkono lazima uhangaike sana alama hazisaidii watu wana mifirst class na tunagana nao benchi kitaa mpaka tunauliza kwa nini/??
mijitu ina mipass kila mwaka sup hakosi kuwa nazo tatu na yupo kitengoooo mkwanja mnene na kicelica chake anatesa nacho mtaaani.
aliyetengenez bulb alijaribu mara 10000. endelea kujaribu.unonaonaje na kujiari? ulishawai kujiuliza anayechoma gunia la mahindi anapata tsh ngapi daily? na nayeuza matunda kwenye toroli? je anayeuza weza (MFANO TU), na wengi wengineo. <start small and grow big>
nimsoma computer science na CV am 100% sure nimeandika vizuri na kwa msaada wa some people I know wanaiterview watu, so I believe its perfect written
nimsoma computer science na cv am 100% sure nimeandika vizuri na kwa msaada wa some people i know wanaiterview watu, so i believe its perfect written