Recent content by gamber

  1. G

    JamiiForums Tanzania SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

    Yesu hakuja kutengua torati ya Mussa bali kuitimilza..na imeandikwa ole wake atakakae ondoa neno lolote ndani ya bibla Ufunuo 22:19
  2. G

    JamiiForums Tanzania SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

    Imebaki raha moja tuu ya Sabato kwa watu wa Mungu
  3. G

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu roman catholic mnalijua hili ?

    Nijuavyo mm wingi wa mapadri au maaskofu hata mashehe msibani kamwe hautabadilisha hukumu ya Mungu ...kwa hiyo ndugu zangu tutende yalio mema ili kifo chetu kiwe furaha kwa malaika mbinguni bila kujali umefanyiwa ibada ya mazishi na nani..Mungu awabariki wote
  4. G

    JamiiForums Tanzania NMB Named the Best Bank in Tanzania

    Nmb benki yako
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mpokea hundi wa CRDB Holland House anadharau sana

    Acha uzushi wewe,kama umempenda funguka
  6. G

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Kanda ya ziwa alikuepo Dominic Chilambo
  7. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA : Mmiliki wa Masai pub na Meridian afariki dunia

    May the comfort of God help you in difficult times. Lukumays family
  8. G

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

    Kitu pekee kinacho baki kutuunganisha wa watanzania sasa ni soka...siasa zimeshindwa ..dini moto mkali..makabila ndo kabisa.. Team Taifa Starz you will never walk alone Ndugu
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mtikila ashinda kesi ya 'ugombea huru' Mahakama ya Haki za Binadamu Africa

    Napenda the way jamaa anavyopigania haki ...japo kuwa huwa inacheleweshwa lakini mwisho wa siku anaipuka kidedea bila kumwaga damu Ndugu
  10. G

    JamiiForums Tanzania hii kazi nisipo acha jela inanita,ushauri please

    kaka haya ndo majaribu kwa walimu nA wengi wameingia mtegoni...waogope kaka ukoma watoto hawa JELA inakuita ukifanya mchezo Ndugu
  11. G

    JamiiForums Tanzania Live: Baadhi ya mambo muhimu yaliyomo ndani ya rasimu ya katiba mpya

    Bonge ya rasimu ....vp kuhusu wakuu wa mikoa na walaya ? Watabakia na kama ndio watapatikanae ? Manake hawa nao ni mzigo tosha Ndugu
  12. G

    JamiiForums Tanzania FIFA FRIEND MATCH SUDAN vs TAIFA STARS

    Mazoezi Mazuri ...safari njema to Morocco Ndugu
  13. G

    JamiiForums Tanzania mapenzi siku ya kwanza.

    Wengi hawajui wanataka nn...kazi ipo Ndugu
  14. G

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kwa Tanzania kuendelea kuwakilishwa na mashombe shombe Big Brother Africa??

    Haina shida ili mradi ni raia wa nchii hii Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Back
Top Bottom