Recent content by Galolile

  1. G

    Nitafurahi Kilimanjaro Stars wakipandishwa kwenye lori kurudi nyumbani baada ya mechi ya mwisho, wametuaibisha mno!

    Wakati wengine wanakosa hata nauli ya usafiri kushirika mashindano ya michezo na serikali ipo ipo tu haisaidii vyama na vilabu vya michezo sasa ifikie wakati serikali itoe vipaumbele kwa michezo yote I love Tanzania I love sports
  2. G

    The Indomitable Lions: Simba Wasiofugika waliosumbua Afrika

    Umri baba yeye ndo anakumbuka hao WA 1990 si kosa lake ingawa nao walisumbua Africa
  3. G

    Naombeni ushauri,nataka kununua simu za Infinix

    Infinix ni simu nzuri kwa nyanja zote hasa betri na kamera naitumia 5yrs now Haina. Tatizo.Matatizo mengine watumiaji huyasababisha
  4. G

    Njoo Tuongee na Mwakyembe: Afunguka kuhusu Bunge Live, asema mwenye pesa ya kurusha Bunge Live ajitokeze asipige porojo

    Swali Waziri aoni muda sasa unafika WA kuruhusu BMT kuratibu maombi yote ya fadhili hii pamoja na kuwaunganisha waombaji na watadhili wanaomba wataweza kusaidia vyema ciao (hasa vyema au vilabu vidogo) na kusimamia fedha Ipatikanayo kwani vyema hivi vinashindwa kujiendesha kwani...
  5. G

    Hivi kuna mgao wa Umeme?

    Mbagala Chamazi we Acha kabisa Umeme wakatwa kama watakavyo bila taarifa biashara zakwama Nadhani Tanesco waje na jibu kwa wateja na wananchi
  6. G

    Amri ya mahakama ya kupelekwa kwa Singh Seth Muhimbili yapuuzwa, mawakili wa utetezi wataka kesi ifutwe

    Wewe hakimu au mwendesha mashitaka? Acha mahakama ifanye kazi yake si kujitolea maamuza wewe hata mfumo wa sheria hujui.Ushahidi gani usemao unao wewe wakati waendesha mashitaka wanasema upelelezi bado kukamilika.Nadhani busara itumike Singh Seti apelekwe hospitali kwani ni haki ya kila raia...
  7. G

    Uongozi wa Mabasi ya TASHRIFF tafadhalini rekebisheni kasoro hizi.

    Pia matangazo yao ndani ya basi hakika ni ya uongo mfano tarehe 7/9/17 Basi lilotoka Mtwara tulitangaziwa Ubungo basi litakaa robo saa lakini tulikaa saa nzima na zaidi, pia abiria tulitangaziwa basi litapitia njia ya Bagamoyo Msata hivyo kuwataka wanaoshukia Kimara,Mbezi,Kibaha washukie Ubungo...
  8. G

    Mwarabu fighter

    Yaonekana humjui Mwarabu Mirundi, Fighter zaidi ya kuwa mlinzi wa Diamond ni mchezaji wa mchezo wa Zurkhaneh upande wa Khosti Pahalvan ambapo amepata medali nyingi tu mfano 2011 All African game Mozambique medali ya Shaba na Silver,Ethiopia medali ya Shaba 2015, Tajikistan alifanikiwa kuingia...
  9. G

    Fahamu tabia za kuziepuka wakati unapokula

    Sidhani kama ni kweli wazee wetu hawakutufunza hayo, sisi tuliokulia kwa kina bibi na babu hakika tulifunzwa vyema tabia njema wakati wa kula tena zaidi ya hayo.Nafurahi umeyakumbusha kwa sasa lakini jamii za kiafrika zina tabia tofauti na mafundisho bora ya ulaji wa vyakula vya jamii yao...
  10. G

    Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    Hiana makombo hiyo kama sabuni ikianguka katika tope huoshwa na kuendelea kutumia, je wewe hujatoka nje yake yawezekana analipa.Kumbuka mtu hachungwi hujichunga mwenyewe pia hata kuku ukimkataza atakaka kujua kwa nini atakatazwa kuhurudi kujaribu anachokatazwa akiona kizuri acha tuuuu utaumia...
  11. G

    Kasheshe ya kodi ya nyumba Dar

    Watu wengine walikuwa wakilipia kupitia manispaa au wilaya zao kwani hawakuunganishwa na mtandao WA TRA na kwa sasa wametakiwa kujisajili upya TRA. Nadhani TRA waweke mawakala wao ofisi za serikali za mitaa ili kurahisiha zoezi hili
  12. G

    Mabenki ni kilio: Wafanyakazi 10,000 walikopeshwa Tsh ngapi na mabenki je, serikali itafidia madeni?

    Hiyo list ya wenye vyeti Feki wengi Wanawake kunani hapo
  13. G

    Zanzibar wamepewa mwezi mmoja kulipa deni vinginevyo kiza kutanda Unguja na Pemba

    Hakuna Tanzania bila ya Zanzibar, ikumbukwe Tanzania ni nchi ya muungano Kati ya Tanganyika na Zanzibar. Nadhani Tanesco ndio wanaoidai Zeco.
  14. G

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Shirika la Umeme Tanzania - TANESCO

    No husemi kweli wataka kuonyesha kwa kuwa ni Wateja wadogo hatuna haki ya kujulishwa? Hawa Jamaa waangalie usumbufu tunaopata wananchi kwa kukata Umeme Mara kwa Mara
  15. G

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Nyingi zinazoingizwa sasa zimefasiriwa kwa kiswahili zinapunguza radha yake
Back
Top Bottom