Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Mwanzo alikataa akadai bado hajalalanae ila baadae nilipo mbana vizuri ndio akakubali kuwa kasha lalanae.... Akalia sana kama kawaida yao na kuomba msamaha
Anaonyesha kujutia sana alicho fanya ila naogopa ku mwamini
Jamaa nilimpigia simu
Akakana hata kumfahamu wife inshot alijitia uchizi wa kukataa kitu kilicho dhahiri

Sent using Jamii Forums mobile app
angalia PM yako tuwasiliane huko
 
Ndg kwanza nakupa pole,
Tunaotoa michango hatujui kiasi gani unaumia,
Lakin nimependa aliyesema uchunguze mienendo yako we we,kwa kufanya hivi,
Kama nifedheha tayari maana kila issue iko nje tayari,

Kaa na wazazi wa pande zote kisha kwa upole,uombe mkeo aulizwe nini chanzo cha yy kuchukua uamzi huo!
Hivyo baada ya hatua hiyo ndo uchukue uamzi,


Natanguliza pole saana kaka,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If she was loyal kwa miaka 5 Ushajiuliza kwann sasa hivi amechepuka?
This is the best question. Cha kwanza ni lazima utambue hill. Kuna kitu kakosa si bure mtoa mada.

leta ufala nilete upuruzi. Nitapambana
 
Nimesoma huu uzi kwa makini nahisi kuumia sana utafikiri nimet.ombewa mimi...!
Ila sio siri siku nikajua kuwa mke wangu ameto.mbwa na lijamaa..!!!!! kudadadeck..!!!
Najua kuua ni kinyume cha sheria naweza kuishia jela, hivyo nikishindwa kumtwanga taraka pengine kwa kuhurumia watoto au labda kuna sababu flani ya kufanya nisimwache ok ila sintomsamehe mpaka nakufa bali ntaishi naye ila kuanzia siku hiyo (ntatembeza pira) ntagonga mademu mpaka atajuta kunifahamu!!! ntagonga house girl, na hata ndugu zake wa kike wakija hapo nyumbani nagonga, hata awe dadake,mamake mdogo hata mzazi akijipendekeza natwanga,
mademu wa karibu na hapo nyumbani,marafiki zake/wafanyakazi wenzake..yaani ataondoka mwenyewe tu..!!!
Hasira za mkizi....
In furaha kwa mvuvi .....
Mkuu, naomba ujibu swali langu. Ni ugunduzi wako kuwa ameshaliwa au alikwambia kuwa ameliwa? Ukijibu, nitakupa ushauri


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiana makombo hiyo kama sabuni ikianguka katika tope huoshwa na kuendelea kutumia, je wewe hujatoka nje yake yawezekana analipa.Kumbuka mtu hachungwi hujichunga mwenyewe pia hata kuku ukimkataza atakaka kujua kwa nini atakatazwa kuhurudi kujaribu anachokatazwa akiona kizuri acha tuuuu utaumia moyo.Kijana achana na kuhack simu za mke wako utakufa kwa kihoro na mabp,oryx or Gapco shauri yakooooooo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is the best question. Cha kwanza ni lazima utambue hill. Kuna kitu kakosa si bure mtoa mada.

leta ufala nilete upuruzi. Nitapambana
Naona amejump kwenye nin afanye anasahau kujiuliza kwann imetokea?
 
Pole sana kwa majanga yaliyokusibu mkuu.

Ulifanya mistake siku ile uliyomuonya wife bila kuchukua hatua kwa huyo mwizi wako.

Ilibidi umchimbe mkwara kwanza yule mwizi naamini usingefika hatua uliyofokia.

Ila maji yameshamwagika kuyazoa ni vigumu sana kama adhabu umeshatoa na inatosha ,muhenga Rich Mavoko alishasemaga ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani.

Naamini hata wewe huwa unachepuka ila wife hajakuotea tu kwenye 18 zake .

Ushauri wangu kwako ni samehe na sahau kwani issue ilishatokea.
Unaweza kusamehe na kusahau lakini unarudi palepale kuna kitu gani kakikosa. So unaweza kushangaa baada ya muda anarudi kulekule
 
Nimesoma huu uzi kwa makini nahisi kuumia sana utafikiri nimet.ombewa mimi...!
Ila sio siri siku nikajua kuwa mke wangu ameto.mbwa na lijamaa..!!!!! kudadadeck..!!!
Najua kuua ni kinyume cha sheria naweza kuishia jela, hivyo nikishindwa kumtwanga taraka pengine kwa kuhurumia watoto au labda kuna sababu flani ya kufanya nisimwache ok ila sintomsamehe mpaka nakufa bali ntaishi naye ila kuanzia siku hiyo (ntatembeza pira) ntagonga mademu mpaka atajuta kunifahamu!!! ntagonga house girl, na hata ndugu zake wa kike wakija hapo nyumbani nagonga, hata awe dadake,mamake mdogo hata mzazi akijipendekeza natwanga,
mademu wa karibu na hapo nyumbani,marafiki zake/wafanyakazi wenzake..yaani ataondoka mwenyewe tu..!!!
Mkuu alivyo niambia tu kuwa nikweli kampa jamaa mzigo
Nilipoteza nguvu nikashindwa kufanya lolote... Nilihisi naweza kumuulia humo ndani
Nikaondoka home nisijue naenda wapi.. Kuja kupata uelewa nimesha fika kariakoo...
Nilikunywa pombe sana na sikurudi nyumbani mpka asubuhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama suala hili tuh!umeshindwa kulitolea maamuzi kama mwanaume!basi utaendelea kuchapiwa tena.!kama haujawai kumsaliti achana naye!kama umewai kumsaliti basi msamehe.!kuhusu mtoto ni ishu ndogo tuh!
 
pole sana mkuu! naomba nisimame upande wa mkeo ingawa unaweza usinielewe kwasasa! hongera kwakuwa na mke ulie mwamini!jaman mie kila siku naongea kama mkeo nyuma alikua mwaminifu ukaja jua anachepuka sasa! yaan huwa kuna sababu nyuma yake(ingawa wengn huwa wanafake akikaa sawa anarud alipotoka )mie nadhan kuna visababishi vimempelekea kukucheat,amini hili!muweke mkeo karibu acha jazba muulize kwa upendo kbs hakika atakuambia!hakikisha unamwangalia sana usoni!ukiona hakupi majibu murua jua huyu ashahamisha hisia kwa huyo men!


Ila tuseme ukweli wanaume wngi Mnajisahau sana nini kumtimizia mahitaj yakeyote 90%! mwingne anajihis amekuwa LONELY!aic usisikie UPWEKE unaweza kukuua!mtext kilamara mkeo,mpigie simu!mfanyie visuprise vya hapa napale ikiwemo( besdei tu yu yake! walah huyo akikucheat ni kunguru asofugika! alafu weng sana wanashindwa kukuambia km unamboa kitandani so usijisifu sanaaaa kuwa upo poa pande hizo!

mbaya zaid mara nyingi mwanamke akishachepuka tu huwa ngumu sana kurudi ndan90%!labda uombee Mungu atibuan na mchepuko wake huko nje la sivyo utasumbuka!(binafs sishauri wanwake kuchepuka maana huwa tuna hisia za ajabu tunashindwa kucontrol hisia zetu) usimpige tena mkeo ulichompa kisago kimetosha!usije UA bure!

POLE SANA MKUU
 
Msamehe mkeo, hayo ni makosa ya kawaida yanatokea. Jiulize je wewe umewahi kumsaliti, umewahi kutoka nje ya ndoa yenu? kama jibu litakuwa ndiyo usijaribu kumtupia mawe. Isipokuwa mweleze na kumwonyesha kuwa hukufurahia na hukupenda kabisa alichokufanyia na umsihi asirudie. muendelee na maisha. Kumbuka unaweza kumwacha huyu ukaangukia paliposhindikana
Asante kwa ushauri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je mkeo ulipomuuliza kuhusu kutembea na huyo jamaa alikubali na kuomba msamaha?
Je uliwahi kumuonya huyo jamaa anayetembea na mkeo?
Je mkeo anaonyesha kujutia hayo aliyoyafanya? Naomba majibu ya hayo maswali hata ukiweza njoo PM nikupe ushauri

Ndugu yangu hizo ndizo changamoto za ndoa na kusema ukweli kuchapiwa kunauma sana, Mwanamuziki Banana Zorro aliwahi kuimba kuwa maumivu ya mapenzi yanazidi hata msiba. Nashauri ili jambo umpelekee mzee yoyote ambaye ana uzoefu na maisha na ameishi kwenye ndoa miaka mingi anaweza kukupa ushauri mzuri sana kwani ameshapitia mengi. Tnajikaza tu kiume lakini haya mambo yanatokea kwenye ndoa nyingi sana sema wanaume uwa tunaumia na kuugulia kimya kimya bila kutangazia watu.

Muombe sana Mungu kipindi hiki ili akuvushe katika huu mtihani. Sikushauri kuachana labda mpaka utakaponijibu maswali ya msingi hapo juu. Kwa ufupi hiyo ya kuchapiwa ni moja ya changamoto za ndoa ingawa kuna changamoto nyingi kubwa Zaidi ya hiyo
Mkuu kuna inayozidi kuchapiwa na ukajua umechapiwa na ukaona msg ya mkeo akimsifu aliyemchapa?
Nadhani hii ndo changamoto kubwa ya pili ukiacha ya kutambua watoto uliodhani ni wako ukawalea kwa mapenzi kumbe si wako, lakini hii pia inaanza na kuchapiwa. Nieleze inayozidi hizi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndg kwanza nakupa pole,
Tunaotoa michango hatujui kiasi gani unaumia,
Lakin nimependa aliyesema uchunguze mienendo yako we we,kwa kufanya hivi,
Kama nifedheha tayari maana kila issue iko nje tayari,

Kaa na wazazi wa pande zote kisha kwa upole,uombe mkeo aulizwe nini chanzo cha yy kuchukua uamzi huo!
Hivyo baada ya hatua hiyo ndo uchukue uamzi,


Natanguliza pole saana kaka,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuwaita wazazi kwa kosa la kwanza sioni kama ni sawa kwa mwanaume unae jielewa,pili atatakiwa aonyeshe ushaidi wa picha kwa wazazi ile ya utupu tatu hakuna wazazi watakao washauri muachane watawaambia sameheaneni kisha mtarudi chumbani nyie wawili na jua mkifika chumbani ni kama mtakuwa mnaanza maongezi upya ya kesi na utakuwa umemzalilisha mkeo na kumbuka ujinga wa mkeo ni wako pia
akae na mkewe kiume asitake kujifanya anamoyo wa kuumia sana haya mambo yapo tu apa duniani
 
Wanabodi..
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja..
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake... Ni mwanamke mwenye vission

Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha
Pili sio mvivu ni mchapa kazi
Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.

Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa..
Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.

Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake..

Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na msg za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa..

Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae..

Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi..

Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack whatsup ya wife kwa kutumia whatsapp web..

Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live.. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi...

Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta...

Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.

Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi [emoji24][emoji24] tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..

Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli
Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji
Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo..

Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa..
Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje..

Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha...

Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa Jamiiforum nimeona ndio kimbilio langu pekee..

Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza...

Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni..

Sent using Jamii Forums mobile app
FILOSOFI YANGU HUWA NI "SIWEZI KUFA KWA PRESSURE KWA AJILI YA KUWAHURUMIA WATOTO, WATOTO WATAKUA TU KWA UWEZO WA MUNGU" NA UZURI ZAIDI MUNGU ATAKUWA PAMOJA NAMI.
 
Baada ya kumbana sana na kummwambia nazituma hizi screen shoot kwa baba yake ndio akaniambia yeye mwenyewe ukweli wote

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana,
Anza na huyo jamaa yake kwanza, lazima ajue kuwa kutembea na wake za watu sio sawa, Kama una Nyundo nenda nayo na kampige beat.Kuhusu Mke wako? amua mwenyewe, mke anaachwa kwa uzinzi, Kama huna amani chukua hatua, kama una amani msamehe na tafuta sababu kwanini amechepuka ili uweze kuepuka matatizo hapo baadaye, Toka enzi wanawake wanachepuka kwa sababu mbalimbali, ila huwezi kujua kwa kuwa wanafanya siri sana.Hawa watu ni wajanja sana, wanajificha kwenye weak point zetu. Kingine mfahamu mkeo, fahamu wakati gani anakuwa ametosheka kwenye sex na wakati gani anakuwa kapa, kwa miaka mitano uliyokaa naye utajua bila ya kumuuliza kama anatosheka au la!!!
 
Wanawake akili zao ni shida but

sent from my iPhone 6
 
Back
Top Bottom