Hahahaha umenikumbusha tukiwa wadogo ukitafuna huku unatoa sauti, unaambiwa hivyo hivyo acha kula kama nguruwe au mbwa.Kutafuna huku chakula kikipiga kelele kama nguruwe.
Mkuu, pole sana. Kama tungezaliwa tumbo moja na kuishi nyumba moja, mama yetu angekuwa anakukoyonga kila siku. Unaongea bila sababu wakati wa kula? Ungeipandika mwanamayu!
SIO KUKAA KIMWA.......TATIZO NI KUONGEA NA CHAKULA MDOMONI.Kukaa kimya na kuangaliana wakati wa kula hunifanya nikose amani, hasa niwapo ugenini.
Hivi, hebu nipe sababu muhimu zinazofanya uchongoe domo wakati wa kula!MKUU VIBAYA KUONGEA NA CHAKULA MDOMONI.......LAKINI SIO KUONGEA WAKATI WA KULA....
SI VIBAYA MI NAONA.
Duuh i kali sasaWANAWAKE KUCHEZESHA MAPAJA WAKATI WA KULA NI HATARI PIA
Hali halisiBaya huvuma kuliko zuri