Hivi kuna mgao wa Umeme?

Hivi kuna mgao wa Umeme?

Hiku Mbeya unakatika sana. Unakwamisha sana shughuli. Lakini ni kawaida kwa kiangazi. Tushukuru tu mvua ipo karibu. Viwanda hata umeme wa kuwasha laptop haupo!!!!
 
07b50f5104f3f36dc9b00460a88febfc.jpg
e45a65c4b6fe5d4697d06edb10538c23.jpg

Kuna marekebisho

mzee niuzie tV
 
aiseee sisi uku dar ukikatika asubuhi sa12 hadi jioni 12
 
Hakuna makerebisho kuna mgao usio julikana binafsi natumia line tofauti kazini na nyumbani lkn mara nyumbani upo kazini hamna

Mkuu mchana nilikuwa mjini Umeme ulikatwa, narudi jioni nyumbani wamekata Umeme.

Yaani hiyo hii slogan Viwanda sijui kama itafanikiwa.
 
Hiku Mbeya unakatika sana. Unakwamisha sana shughuli. Lakini ni kawaida kwa kiangazi. Tushukuru tu mvua ipo karibu. Viwanda hata umeme wa kuwasha laptop haupo!!!!

Hapa ndiyo tunapotakiwa kujua kuwa kifikra hatupo vizuri.

"TUNAWAZA KWENDA MWEZINI WAKATI HATA UWEZO KWA KUTENGENEZA VICHOKONOZI VYA KWENYE MENO HATUNA"
 
Huku kwetu mgao hamna kabisa, ni ukosefu wa pesa ya luku tu ndo unasumbua watu!!
 
Mbagala Chamazi we Acha kabisa Umeme wakatwa kama watakavyo bila taarifa biashara zakwama Nadhani Tanesco waje na jibu kwa wateja na wananchi
 
Habari wandugu?

Samahani naomba kuuliza kwa anayejua,

Hivi mgao wa Umeme umeanza tena?

Maana sielewi, tangu Baraza la Mawaziri lifanyiwe marekebisho huku kwetu Umeme unakatika kila siku Kuanzia SAA 12 JIONI hadi SAA 5 USIKU.

Hebu tujulishane kama na huko kwenu hali ni kama huku.
Kwenu Hakuna jina??
 
Mtwara na Lindi mgao wa umeme umeanza rasmi leo baada ya majenerata 7 kati ya 9 yanayozalisha umeme wa gasi asilia kuharibika. Tanesco wanasema matengenezo yatakamilika mwaka kesho mwezi wa kwanza.
 
Mtwara na Lindi mgao wa umeme umeanza rasmi leo baada ya majenerata 7 kati ya 9 yanayozalisha umeme wa gasi asilia kuharibika. Tanesco wanasema matengenezo yatakamilika mwaka kesho mwezi wa kwanza.
Duuh...!! Mkuu sasa hawa ndugu zetu Tanesco mtwara wameshindwa kututaarifu tujiandae kisaikolojia kabisa maana hii inaonekana shida endelevu.
 
Mtwara na Lindi mgao wa umeme umeanza rasmi leo baada ya majenerata 7 kati ya 9 yanayozalisha umeme wa gasi asilia kuharibika. Tanesco wanasema matengenezo yatakamilika mwaka kesho mwezi wa kwanza.

Kesho narudi zangu Kibaha kwa style hii.

Lete source ya taarifa yako Mkuu tafadhali
 
Back
Top Bottom