Wewe unayeendekeza majungu hata USD umeshaitia machoni?.
Hata aibu huna eti kaongeza USD 10M tu!, wewe unazo hata 0.0001 ya fedha hiyo?, acheni majungu ya kike!.
Mimi nawashangaa ninyi mnao mjadili mtoa Mada, huyo hawezi jibu chochote kwa kuwa hiyo taarifa amepewa tu aiweke hapa jamvini hana analolijua.
Mada hii imekopiwa toka kwenye hotuba ya fisadi Rostam Aziz aliyokuwa anamjibu Bw. Region and Mengi, kama kuna mtu anaweza kui upload hutuba hiyo...
Hapa Mwanza hali ni mbaya kwa magamba, wamepigwa kama ifuatavyo:
Kata ya Machina CHADEMA - 11
CCM - 9
Kata ya Isamilo magamba yamepata mauaji ya kimbari kama ifuatavuo;
CHADEMA - 8
CCM - 3
Kata ya Kitangiri kule nyumbani kwa yule Meya chizi aliyefukuzwa CHADEMA akakimbilia CCM wamepigwa kama...
Mkuu acha kukurupuka
inaelekea na wewe unao huo mchezo wa kugegeda wake za watu
Kamanda wa Polisi Mkoa ndiye msemaji wa Jeshi la Polisi wa mkoa amethibitisha huyo mwanamke ni mke wa mmoja wa hao vijana na amekwenda mbali kwa kuahidi kuwachukulia hatua hao askari wake sasa wewe ni nani mpaka...
Tatizo Kanisa Anglican wanamuogopa sana Donald Mtetemela amekifanya Chuo kama taasisi yake binafsi, ameajiri watoto wake kila Campus ya Chuo wanna kibri balaa, ukiwagusa tu huna Chuo
Nakubali mimi mpumbafu haya wewe mwenye akili nenda kazikwe na marehemu, tafadhali usinisumbue niko kwenye maandalizi ya kufanya sherehe nina haki ya kufurahi kama wewe ulivyo na haki ya kusikitika shenzi wewe!!.
Yeye hakuuthamini utu wa watu wengine mimi nimsikitikie wa kazi gan?
Mkuu kware wanaishi porini hapa mjini utasubiri sana, mi nakushauri nenda bush na kama una ujasiri wa kutosha nenda Serengeti National Park lakini wale jamaa wenye uniform za kijani kama makada wa CCM wakikukamata usiwaambie kama mi ndo nimekushauri kwenda huko
Nilikuwa Rais wa SOSJUT, huyu marehemu na wenzie akina Chris, Mtetemela, Kobogo.... Ooh sorry Dobogo na wengineo nimepambana nao sana nikiwatetea wanafunzi kutokana na mabyanyaso yao utafikiri walikuwa hawajui kama kuna kifo na hii dunia ni mapito tu!!.
Mi nasema walaaniwe sana hata hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.