Top 4 richest people in Tanzania 2014

Top 4 richest people in Tanzania 2014

Ndugu yangu bado unatambua dini za watu kwa kutizama majina yao na matendo yao kiasi wanayo yafanya hadharani kuwa adaa wanadamu?
Uislamu ni nini maana kuna watu we unadhani ni waislamu kumbe ata shetani anawaogopa.

ushauri wangu hapa duniani sidhani kama ni rahisi kuitambua dini ya mtu.maana tunawaona watu kwa majina yao na kukutana nao makanisani/misikitini ila nyuma ya pazia ni mashetani wakubwa.so dini isiwe prefernce yanapatajwa majina ya watu.wanadamu ni wa hovyo sanaa.mmi kwa sasa nalia na nafsi yangu ifike peponi.

Wengine ni mafreemasons
 
Hivi Dewji anamshindaje Bahresa mpunga?
 
Fikiria hao wazungu wa South Africa wangerudi kwao hiyo nchi ingekuwaje kama si kufanana na jirani yake Zimbabwe????

Hivi mnajua kuwa wachina wa Malaysia ndio wameifanya Malaysia kuwa tajiri na si Wamalay?????

Nyumba kubwa sina nia ya kuwabagua akina Dewji. Nilikuwa namjibu Kaka km ni kwa nini Mengi anagombana na wanasiasa; ni kwa sababu anatumia utajiri alionao kuwatetea watanzania masikini na wenye utajiri wa halali.
 
Hata Nelson Mandela alikuwa akigombana na makaburu alipokuwa akiongoza harakati za kuwakomboa waafrika weusi wa Afrika ya kusini. Anachofanya mengi ni kutumia uwezo aliojaliwa na Mungu kutetea wanyonge; hapo tunaona manufaa ya utajiri wake.

Hao akina Dewji, Bakhresa na Rostam utajiri wao unamanufaa gani ya kijamii? Achilia mbali kodi kidogo wanayolipa? Dewji ni mbunge je amelifanyia nini taifa hili? Achilia mbali rushwa /shanga ya/za visima vya maji anavyotoa jimboni kwake?

Mengi keep up usitishwe na mafisadi na mamburula wanasifia mafisadi.

Wanyonge wap hao anaowatetea mengi? yeye mengi kalifanyia nini taifa zaidi ya kugombana na viongozi wanaompinga anapotumia jina la wazawa kwa maslahi yake binafsi. Alishatumia jina la wazawa mara kibao kwa maslahi yake binafsi.

Mengi angekua na roho nzuri asingevutana na watu masikini kama joti wa ze comedi.
Ukiniambia mengi anawatetea watanzania nakua na mashaka na uwezo wako wa kufikiri.
 
Nyumba kubwa sina nia ya kuwabagua akina Dewji. Nilikuwa namjibu Kaka km ni kwa nini Mengi anagombana na wanasiasa; ni kwa sababu anatumia utajiri alionao kuwatetea watanzania masikini na wenye utajiri wa halali.

Nimemjibu mwenzako hapa chini nikauliza hao wanyonge anaowatetea mengi ni wap?

Wanyonge wap hao anaowatetea mengi? yeye mengi kalifanyia nini taifa zaidi ya kugombana na viongozi wanaompinga anapotumia jina la wazawa kwa maslahi yake binafsi. Alishatumia jina la wazawa mara kibao kwa maslahi yake binafsi.

Mengi angekua na roho nzuri asingevutana na watu masikini kama joti wa ze comedi.
Ukiniambia mengi anawatetea watanzania nakua na mashaka na uwezo wako wa kufikiri.
 
Kati ya hao matajiri,kuna tajiri mmoja anajifanya muongeaji sana,mwaka 2013 alikua wa pili,amekalia majungu na ugomvi na wanasiasa sasa amekua wa mwisho. Wakati wenzake wanapiga kazi yeye anatweet uharo na kugombana na wanasiasa.

We hapo ni number ngapi?
 
Yani hajafanya kitu,takwimu za mwaka 2013 zinaonyesha alikua na dola 550 milioni za marekani,akiwa sawa na Bakhresa akimtangulia Dewji,mwaka umeisha kaongeza only 10 million us dollars wakati Bakhresa kaongeza 25,Dewji kaongeza zaidi ya 200 milion us dollars.

Amekalia majungu,umbea,chuki,roho mbaya,ugomvi na wanasiasa. Yeye mwaka hauishi hajagombana na mtu,eiza mpinzani wake kibiashara au mwanasiasa.

Hovyo sana.

Who are you in this Country?
Hata baiskeli huna.umekalia majungu kumsema mtu aliyeongeza dollar milion 10.
 
Yani hajafanya kitu,takwimu za mwaka 2013 zinaonyesha alikua na dola 550 milioni za marekani,akiwa sawa na Bakhresa akimtangulia Dewji,mwaka umeisha kaongeza only 10 million us dollars wakati Bakhresa kaongeza 25,Dewji kaongeza zaidi ya 200 milion us dollars.

Amekalia majungu,umbea,chuki,roho mbaya,ugomvi na wanasiasa. Yeye mwaka hauishi hajagombana na mtu,eiza mpinzani wake kibiashara au mwanasiasa.

Hovyo sana.

Wewe unayeendekeza majungu hata USD umeshaitia machoni?.

Hata aibu huna eti kaongeza USD 10M tu!, wewe unazo hata 0.0001 ya fedha hiyo?, acheni majungu ya kike!.
 
Wewe unayeendekeza majungu hata USD umeshaitia machoni?.

Hata aibu huna eti kaongeza USD 10M tu!, wewe unazo hata 0.0001 ya fedha hiyo?, acheni majungu ya kike!.

Safi mwambie huyo jamaa,wao katika ukoo wao wote wakikusanya mapato yao yote wamekusanya dollar kiasi gani?
 
Na hang over yangu na akili yangu ya asubuhi, ukweli unabaki hivyo, Mengi ndo tajiri ambaye ana asili ya Tanzania na ndie 'No. Moko'. HUTAKI, ACHA. Nigeria wanajivunia Dangote kama Mnigeria tajiri mwenye asili ya Nigeria. Pia usiwe pusssy, kwako 10mil US Dollar kwa mwaka ni ndogo? Cha muhimu ni hajashuka kwa 10mil Us dollar. Acha kulinganisha watu, wao wahindi/ waarabu sio wanaoweka standard. Poor you!

Sikiliza dada kaylyn unajuaje mengi ANA asili ya tanzania??? Kisa rangi?? Au kuoza meno? Au ule mpua kama gobole??
 
Kati ya hao matajiri,kuna tajiri mmoja anajifanya muongeaji sana,mwaka 2013 alikua wa pili,amekalia majungu na ugomvi na wanasiasa sasa amekua wa mwisho. Wakati wenzake wanapiga kazi yeye anatweet uharo na kugombana na wanasiasa.

Acha kuponda watu, jadili mada ili wengi tufaidike.
 
Hata kama hampendi mengi lakin sikuzote laazma tukubaliane nae kwamba serikali laazma iwatengenezee uwezo wazawa na watanzania wote wawe na uwezo wa kumiliki mali zao leo hii naigeria katika sector ya mafuta wapo wanaigeria wengi tu ni matajili wahio nishati ndio sababu kubwa wapo wengi kwenye list ya matajiri.sisi tunayo gesi serikali ingetafuta namana ya kufanya ili watanzaia hata kwa ubia wawe moja wa miliki ya rasilimali zetu.achen mengi aongee cause anajua mengi na anapakusemea na tuheshimu juhudi alizofanya kufika alipofika leo
 
Nyumba kubwa sina nia ya kuwabagua akina Dewji. Nilikuwa namjibu Kaka km ni kwa nini Mengi anagombana na wanasiasa; ni kwa sababu anatumia utajiri alionao kuwatetea watanzania masikini na wenye utajiri wa halali.

Mengi ni mbinafsi tu hana lolote, alitaka vitalu vya gesi auze kwa wazungu. Kama yeye ni mtanzania mzalendo kwanini kauza maji ya kilimanjaro?
 
Back
Top Bottom