Recent content by GABRIEL LAZARO

  1. GABRIEL LAZARO

    JamiiForums Tanzania Pamoja na jitihada zote ikiwemo ya lockdown jirani zetu Kenya, Uganda, Rwanda maambukizi ya Corona yanapanda iweje kwetu yashuke kutoka 509 mpaka 20?

    Mm nikuambie tu siku zote imani ni kitu cha hatari sana ina hasara na faida kijua kuitumia vyema
  2. GABRIEL LAZARO

    JamiiForums Tanzania Naomba maelekezo namna ya kuanza kujiandaa kuacha ajira niliyonayo na kuanza kujiajiri mwenyewe

    Ahsante Mr IBU Sent using Jamii Forums mobile app
  3. GABRIEL LAZARO

    JamiiForums Tanzania Naomba maelekezo namna ya kuanza kujiandaa kuacha ajira niliyonayo na kuanza kujiajiri mwenyewe

    Mimi nafanya kazi hotelini lakini natamani sana kwa sasa niache hii kazi nikafungue kazi zangu ndogondogo, ahsanteni sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. GABRIEL LAZARO

    JamiiForums Tanzania Nimechoka sana na maisha

    Dah pole ndugu unajua kila kitu na wakati wake usikate tamaa namna hiyo jitahidi kumlilia Mungu zaidi sana na pia usiangalie maneno ya watu Angalia malengo yako haijalishi kwamba una hela au huna madeni yatapita tu mm mwenyewe madeni kibao nadaiwa lakini najua ipo siku nitalipa yooooteee kwa...
  5. GABRIEL LAZARO

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kwa wote ambao tumeshagongewa wake zetu

    Mmmmmmmmmhhhh ila ndugu yangu nikuambie kitu jikaze kiume inauma najua lakini huna budi kuchukua maamuzi sahihi my dear friend
  6. GABRIEL LAZARO

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Haina noumaaaa washkajiiii Sent using Jamii Forums mobile app
  7. GABRIEL LAZARO

    JamiiForums Tanzania Wadau hii hainifikishi mtoni (Marekani )

    Dah man umewaza sana you are unique hero but take care of everything Sent using Jamii Forums mobile app
  8. GABRIEL LAZARO

    JamiiForums Tanzania Ni aibu lakini hakuna jinsi

    Mmmmmmhhh mm napitaaa
  9. GABRIEL LAZARO

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    Mmmmmmhhh mm sipo MUNGU akurehemu buuuuuuurrreeee na akufunguee hiyo akili uliotekwa
Back
Top Bottom